Bush Dokta
JF-Expert Member
- Apr 11, 2023
- 42,525
- 74,605
200M capital, na profit ya sawa na 1.2M kwa mwezi, gawanya kwa 40 inakuja elfu 30 tu.Ndugu watanzania, nimewaza, hapa natamani TUPATIKANE WATU arobaini tuunganishe mitaji ya Mil 5 ili kuitimiza Mil 200 then tuwekeze kupitia Vodacom M-wekeza, huku tukitarajia kupata faida ya zaidi ya asilimia 13 kwa mwaka. Ambapo tujihakikishie kupata zaidi ya Mil 26 kwa mwaka na kwa mwezi 2.1M, ambapo tutakubaliana kuziacha kwa miezi sita then tukapanga mradi Upi wa kufanya.
UNAJUA..
Wenzetu wazungu wanaakilinsana huungana na kufanya mambo kama haya na mwisho wa siku hufanikiwa sana, ila sisi wabongo tunachoweza ni umimi na kupambana kiume. Sasa nimewaza why tusifanye kitu kama vijana?
If interested nicheki tuyajenge.
Sio 1.2M ni 2.1 per month na zaidi.200M capital, na profit ya sawa na 1.2M kwa mwezi, gawanya kwa 40 inakuja elfu 30 tu.
It sounda good kuzitamka kwa pamoja lakini Net Growth per individual ni kidogo sana.
By the way ni idea nzuri
Bado faida ni ndogo ukilinganisha na uwekezaji wa mtu mmoja mmoja maana kwa kila mtu hapo anakua amepata 52,500 kwa mwezi ambapo hiyo M5 ukiweka ktk baadhi ya biashara unapata hadi laki 200,000 kwa mweziSio 1.2M ni 2.1 per month na zaidi.
Kunabaadhi ya biashara ukiwekeza kwa hiyo M 200 unapata hadi M5 kwa mweziInvestment ya 200m upate 2m faida kwa mwezi ???
Haya mambo ya M-wekeza, UTT and the likes zimeundwa kwa ajili ya watu wavivu au kwa lugha nyingine waajiriwa kwa mpambanaji mwenye ndoto za kutoboa huko hakukufai
Yes tena hiyo ni gross profit kabisaKunabaadhi ya biashara ukiwekeza kwa hiyo M 200 unapata hadi M5 kwa mwezi
hapo umepinga ILA hujaleta WAZO mbadala ambalo ni zuri zaidi (low risk) kwa uwekezaji wa shs 5000,000 aliopendekeza. Amekuja na wazo lake msaidie sio kumponda.....mradi wa hovyo kuwahi kutokea, watu 40 kila mwezi faida milioni 2. kwa mwaka faida milioni 24 ukigawanya kwa watu 40 kila mtu anapata faida laki 6. huu ni ukichaa unaweka milion 5 upate laki 6 kwa mwaka
aendelee kufanya kilichompa hiyo m5, halafu wewe tunajua nia yako upate wazo. mawazo ya kuingiza pesa yanauzwa mkuuhapo umepinga ILA hujaleta WAZO mbadala ambalo ni zuri zaidi (low risk) kwa uwekezaji wa shs 5000,000 aliopendekeza. Amekuja na wazo lake msaidie sio kumponda.....
Kusema aendelee na alichokuwa anafanya, huo ni kati ya ushauri ambao siukubali kabisaaendelee kufanya kilichompa hiyo m5, halafu wewe tunajua nia yako upate wazo. mawazo ya kuingiza pesa yanauzwa mkuu