Kisesetusese
JF-Expert Member
- Sep 12, 2022
- 547
- 892
Wakuu
Sina uwezo mkubwa kujenga hoja Bali hapa nitajaribu. Ni suala la vyama vya siasa, hapa nikiweke pembeni CCM na chadema.
Kuna zaidi ya vyama 10 na nakumbuka vilishiriki uchaguzi wa 2025 oct. Vyama hivi zaidi ya Kumi ukitoa CCM na chadema ni vikundi vya wahuni.
Ni afadhari hawa wawili wabaki katika siasa za nchi hii. Kwa nn nasema haya.
Mosi, katika uchaguzi wa Oktoba mwaka Jana 2025 ni sawa na CCM aligombea mwenyewe
Mbaya zaidi magari na ruzuki walizopewa zingetumika kwingine.
Tuombe Mungu tupate nadhani usalama wa taifa waaminifu wazuie uhuni huu wa kisiasa.