Kisesetusese
JF-Expert Member
- Sep 12, 2022
- 547
- 892
Kama ni nonsense sawa mkuuI think this is nonsense narrative, idea and useless free opinion gentleman π
Ili tuendelee kupanua mjadala huu , tuungane kutafakari:Wakuu
Sina uwezo mkubwa kujenga hoja Bali hapa nitajaribu. Ni suala la vyama vya siasa, hapa nikiweke pembeni CCM na chadema.
Kuna zaidi ya vyama 10 na nakumbuka vilishiriki uchaguzi wa 2025 oct. Vyama hivi zaidi ya Kumi ukitoa CCM na chadema ni vikundi vya wahuni. Ni afadhari hawa wawili wabaki katika siasa za nchi hii. Kwa nn nasema haya.
Mosi, katika uchaguzi wa October mwaka Jana 2025 ni sawa na CCM aligombea mwenyewe
Mbaya zaidi magari na ruzuki walizopewa zingetumika kwingine.
Tuombe Mungu tupate nadhani usalama wa taifa waaminifu wazuie uhuni huu wa kisiasa.
Nadhani ni ishu ya kikatiba. Kuweka idadi ya vyama, kuwaondoa wahuniIli tuendelee kupanua mjadala huu , tuungane kutafakari:
- Je, ni vigezo gani vya kisheria unafikiri vitumike ili kufuta vyama visivyo na tija bila kuua demokrasia?
- Je, unadhani kuna umuhimu wa upinzani kuwa na mgombea mmoja wa muungano katika chaguzi zijazo ili kuleta ushindani wa kweli kama wanavyofanya wakenya japo nao wanakutana na matapeli kama Ruto na Gachagua?
okay,Kama ni nonsense sawa mkuu
pia badala ya kuweka kikomo cha idadi ya vyama, katiba inaweza kuweka masharti magumu sana ya chama kubaki hai. Mfano, chama kikishindwa kushinda hata kiti kimoja cha ubunge au udiwani katika chaguzi mbili mfululizo, kinafutwa usajili wake automatikally. Hii inafanya "vyama vya msimu kama UDP na takataka nyingine" vife vyenyewe.Nadhani ni ishu ya kikatiba. Kuweka idadi ya vyama, kuwaondoa wahuni
Wee jamaa lazima utakuwa na matatizookay,
reduce useless obstacles that hinders democratic prosperous within the country then, gentleman okay?π
Gentleman usie na matatizo,Wee jamaa lazima utakuwa na matatizo
Mkuu achana na hili shoga Tlaatlaah litakupotezea muda tuKama ni nonsense sawa mkuu
Yes,Mkuu achana na hili shoga Tlaatlaah litakupotezea muda tu