mzushi flani
JF-Expert Member
- Jan 20, 2020
- 1,627
- 2,473
mitano tena!
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Tungesikilizana ingekuwa safi sana.Tatizo mabaharia hamsikilizani, ndio uzuri wenyewe 🤣
Wanaume wasio na hela Wana shida kweliNisipohonga najisikia vibayaaaaa, yaani kama Nina alosto vile
Kweli 'mwenye shibe hamjui mwenye njaa...' Hivi unafahamu karaha ya punyeto wewe? Unafikiri wahongaji wanapenda?Hio hela ya kuhonga Malaya bora ukampe mama mzazi hata gunia la mchele,
Siku moja wakati natoka lindo nikafika bar moja asubuhi nikapaki Suzuki yangu ili nipate supu. Mara mdada mmoja akaja kunisalimia na kujichekesha. Akaniuliza unanikumbuka nikasema yes. Nikamkaribisha supu akasema ameshiba. Wakati nainuka nikampa cha ten, akasema sasa tutawasiliana vipi. Nikashangaa !!! Nikajiuliza moyoni kwani kuna ulazima kila mtu mnayefahamiana kubadilishana namba. Tumebadilishana namba. Next day mtu ananiomba kodi ya nyumba. Huu ni udangaji wa dhahiri.
Huu ni mfano mmoja tu. Kila siku tunakutana na wadangaji. Mmoja aliniomba hela akanunue iPhone huku mimi simu zangu ni za laki na nusu. Hii hali tumeisababisha sisi wanaume kwa kutanguliza fedha kama ulimbo nao wamezoea. Wanaona ni haki yao kununuliwa simu, kulipiwa kodi ya nyumba, umeme, kununuliwa usafiri n.k
From now onwards nitaichunga senti yangu.
Nimemfungulia ranch ya borani mpaka Sasa tuna kama ng'ombe sitini na nneHio hela ya kuhonga Malaya bora ukampe mama mzazi hata gunia la mchele, au ukamtoe hata out mama yako..hela umeitafuta kwa jasho jingi unaenda kuhonga kimalaya kwa starehe ya dakika 10 hadi 20..for what..bora hata awe mkeo au mpenzi ambaye mna malengo, lakini hawa Malaya unawapa hela yako...UTAFILISIKA TU
Kwa mchina mbezi BeachSiku moja wakati natoka lindo nikafika bar moja asubuhi nikapaki Suzuki yangu ili nipate supu. Mara mdada mmoja akaja kunisalimia na kujichekesha. Akaniuliza unanikumbuka nikasema yes. Nikamkaribisha supu akasema ameshiba. Wakati nainuka nikampa cha ten, akasema sasa tutawasiliana vipi. Nikashangaa !!! Nikajiuliza moyoni kwani kuna ulazima kila mtu mnayefahamiana kubadilishana namba. Tumebadilishana namba. Next day mtu ananiomba kodi ya nyumba. Huu ni udangaji wa dhahiri.
Huu ni mfano mmoja tu. Kila siku tunakutana na wadangaji. Mmoja aliniomba hela akanunue iPhone huku mimi simu zangu ni za laki na nusu. Hii hali tumeisababisha sisi wanaume kwa kutanguliza fedha kama ulimbo nao wamezoea. Wanaona ni haki yao kununuliwa simu, kulipiwa kodi ya nyumba, umeme, kununuliwa usafiri n.k
From now onwards nitaichunga senti yangu.
HAKUNA changu au danga lenye thamni ya zaidi ya shillingi 2,000 tena hii nasema kwa upendeleo na huruma. Danga likija sana sana linunulie mshikaki wa jero na juisi ya muwa tu, akitaka shoo ni bure. Eti umnunulie IPhone yeye ni malaika wa kufuta dhambi, pumbafuuuuu, kwendraaaaa.Siku moja wakati natoka lindo nikafika bar moja asubuhi nikapaki Suzuki yangu ili nipate supu. Mara mdada mmoja akaja kunisalimia na kujichekesha. Akaniuliza unanikumbuka nikasema yes. Nikamkaribisha supu akasema ameshiba. Wakati nainuka nikampa cha ten, akasema sasa tutawasiliana vipi. Nikashangaa !!! Nikajiuliza moyoni kwani kuna ulazima kila mtu mnayefahamiana kubadilishana namba. Tumebadilishana namba. Next day mtu ananiomba kodi ya nyumba. Huu ni udangaji wa dhahiri.
Huu ni mfano mmoja tu. Kila siku tunakutana na wadangaji. Mmoja aliniomba hela akanunue iPhone huku mimi simu zangu ni za laki na nusu. Hii hali tumeisababisha sisi wanaume kwa kutanguliza fedha kama ulimbo nao wamezoea. Wanaona ni haki yao kununuliwa simu, kulipiwa kodi ya nyumba, umeme, kununuliwa usafiri n.k
From now onwards nitaichunga senti yangu.
Hata usipohonga kama Brain yako ni empty utafilisika..Hio hela ya kuhonga Malaya bora ukampe mama mzazi hata gunia la mchele, au ukamtoe hata out mama yako..hela umeitafuta kwa jasho jingi unaenda kuhonga kimalaya kwa starehe ya dakika 10 hadi 20..for what..bora hata awe mkeo au mpenzi ambaye mna malengo, lakini hawa Malaya unawapa hela yako...UTAFILISIKA TU
Awamu zile zilizopita watu walikuwa wana hela za kumwaga ndio waliowaharibia...Ila kuna wanaume wenzetu MABWEGE wengi tu huwa wanahonga. Na wengine familia inalala njaa, wakati pisi kali inakula life haswaa. Ama sivyo mademu wangeacha hizo tabia.
Wewe mbona unakuta umewapanga wanawake na hauna mpango wa kumuoa hata mmoja? Unataka na wao wafanyaje?Tungesikilizana ingekuwa safi sana.
Watu wote wangefanya kazi kwa bidii bila kujali jinsia.
Ni mambo ya ajabu sana binti amepanga anawapanga wanaume na kila mmoja anajiona ana zari.
Mkuu ukitaka usiwape hao malaya hizo hela usitembee nao tulia na mke wako na tena ndiyo itakuwa vizuri sana huyo huyo ndiyo umpe hela na huyo huyo ndiyo utembee naye! Siyo unaenda kumbinua mtoto wa watu huko hauna mpango wa kumuoa halafu unataka umbinue bure nani atakubali huo ujinga?Hio hela ya kuhonga Malaya bora ukampe mama mzazi hata gunia la mchele, au ukamtoe hata out mama yako..hela umeitafuta kwa jasho jingi unaenda kuhonga kimalaya kwa starehe ya dakika 10 hadi 20..for what..bora hata awe mkeo au mpenzi ambaye mna malengo, lakini hawa Malaya unawapa hela yako...UTAFILISIKA TU
Aiseee sasa kama hamtaki kuwahonga mnatembea nao wa nini si mtulie na mwanamke mmoja? Mnataka mtoto wa nani akubali kubinuliwa bure wakati anajua kabisa hauna mpango wa kumuoa unapita tu?HAKUNA changu au danga lenye thamni ya zaidi ya shillingi 2,000 tena hii nasema kwa upendeleo na huruma. Danga likija sana sana linunulie mshikaki wa jero na juisi ya muwa tu, akitaka shoo ni bure. Eti umnunulie IPhone yeye ni malaika wa kufuta dhambi, pumbafuuuuu, kwendraaaaa.