Natamani wanaume wote tungeweka mgomo kwenye suala la kuhonga. Imefika wakati wadada wa mjini wamegeuza miili kuwa duka

Aiseee sasa kama hamtaki kuwahonga mnatembea nao wa nini si mtulie na mwanamke mmoja? Mnataka mtoto wa nani akubali kubinuliwa bure wakati anajua kabisa hauna mpango wa kumuoa unapita tu?
Uzi mzima wewe ndo umeongea point. Wanaume wanakazana oo wanawake siku hizi wanataka pesa mara oo tutapata wapi wastaarabu.
Ni hivi wanaume wataacha kuwa ma ATM pale tu watakapoacha kuwafanya wanawake vyombo vya starehe.
La sivyo wakubaliane tu na hali hakuna cha bure.
 
Siku moja wakati natoka lindo nikafika bar moja asubuhi nikapaki Suzuki yangu ili nipate supu. Mara mdada mmoja akaja kunisalimia na kujichekesha. Akaniuliza unanikumbuka nikasema yes. Nikamkaribisha supu akasema ameshiba. Wakati nainuka nikampa cha ten, akasema sasa tutawasiliana vipi. Nikashangaa !!! Nikajiuliza moyoni kwani kuna ulazima kila mtu mnayefahamiana kubadilishana namba. Tumebadilishana namba. Next day mtu ananiomba kodi ya nyumba. Huu ni udangaji wa dhahiri.

Huu ni mfano mmoja tu. Kila siku tunakutana na wadangaji. Mmoja aliniomba hela akanunue iPhone huku mimi simu zangu ni za laki na nusu. Hii hali tumeisababisha sisi wanaume kwa kutanguliza fedha kama ulimbo nao wamezoea. Wanaona ni haki yao kununuliwa simu, kulipiwa kodi ya nyumba, umeme, kununuliwa usafiri n.k

From now onwards nitaichunga senti yangu.
Matatizo mnayasababisha wenyewe alafu unakuja kulalamika ujinga wenu hapa. kwani hiyo elfu 10 alikuomba au ni kiherehere chako tu
 
Mkuu hiki cha ten ulichompa kilikua cha nini?!
Halafu alisema unamfahamu ukasema ndio. Mlifahamina kuhusu nini!? Weka hizi Sawa kabla hujatuuumiza kichwa
 
Uzi mzima wewe ndo umeongea point. Wanaume wanakazana oo wanawake siku hizi wanataka pesa mara oo tutapata wapi wastaarabu.
Ni hivi wanaume wataacha kuwa ma ATM pale tu watakapoacha kuwafanya wanawake vyombo vya starehe.
La sivyo wakubaliane tu na hali hakuna cha bure.
Asante. Umeshamaliza kila kitu.
 
Mleta mada Mwanaume ataacha kuhonga kama hana hela tu, au ni mjinga mjinga, au wale wanaume wanaolelewa.

Unajua kwa nini viumbe vya kiume vina upper strenght kubwa kuliko vya kike?, that is natural.

Ili Simba aweze kupata jike anapokuwa kijana lazima apigane na Dume lingine ili aonekane udume wake kwa majike.

Sio Simba tu Hata Farasi tena wale wanaoshindwa huwa wanavikundi vyao vinaitwa Bachelors Only Groups, Sio Simba tu hata Majogoo...

Hata hawa wanawake wanodanga ni kwamba hawajakutana tu na mwanaume wa kumhudumia materially.

Kama una malengo makubwa na kufanikiwa kama Mwanaume usiitoe hii Natural Behavior kwako, Kamwe kwame.
Usikubali kuwa dhaifu kifikra eti hutaki kuhonga, yaani hiyo 10K izidishe mara 10.

Sent using Jamii Forums mobile app
Ndio umeeandika nini na wewe sasa?

Kama una honga wewe endelea kuhonga, lakini sio kutuaminisha kwamba mwanaume kamili lazima ahonge .

Fikiria kwanza kabla ya kuandika
 
Nasikia sifa ya kidume cha mbegu ni ubahiri. Tatizo wengine tuna aibu, tukishavuliwa pichu tu misimbazi inatembezwa
Kumbe hata huyo alikuvulia ndiyo ukampa kaka😂😂umefichaa weee mwishowe umeacha nyeti wazi mwenyewe 😂😂
 
Uzi mzima wewe ndo umeongea point. Wanaume wanakazana oo wanawake siku hizi wanataka pesa mara oo tutapata wapi wastaarabu.
Ni hivi wanaume wataacha kuwa ma ATM pale tu watakapoacha kuwafanya wanawake vyombo vya starehe.
La sivyo wakubaliane tu na hali hakuna cha bure.
Na wewe ni Danga tu, ndio maana unatetea kuhongwa , pole
 
Siku moja wakati natoka lindo nikafika bar moja asubuhi nikapaki Suzuki yangu ili nipate supu. Mara mdada mmoja akaja kunisalimia na kujichekesha. Akaniuliza unanikumbuka nikasema yes. Nikamkaribisha supu akasema ameshiba. Wakati nainuka nikampa cha ten, akasema sasa tutawasiliana vipi. Nikashangaa !!! Nikajiuliza moyoni kwani kuna ulazima kila mtu mnayefahamiana kubadilishana namba. Tumebadilishana namba. Next day mtu ananiomba kodi ya nyumba. Huu ni udangaji wa dhahiri.

Huu ni mfano mmoja tu. Kila siku tunakutana na wadangaji. Mmoja aliniomba hela akanunue iPhone huku mimi simu zangu ni za laki na nusu. Hii hali tumeisababisha sisi wanaume kwa kutanguliza fedha kama ulimbo nao wamezoea. Wanaona ni haki yao kununuliwa simu, kulipiwa kodi ya nyumba, umeme, kununuliwa usafiri n.k

From now onwards nitaichunga senti yangu.
Mkubwa simamia hapo hapo ,[emoji110][emoji109][emoji106]
 
Mkuu ukitaka usiwape hao malaya hizo hela usitembee nao tulia na mke wako na tena ndiyo itakuwa vizuri sana huyo huyo ndiyo umpe hela na huyo huyo ndiyo utembee naye! Siyo unaenda kumbinua mtoto wa watu huko hauna mpango wa kumuoa halafu unataka umbinue bure nani atakubali huo ujinga?
Hahahahahahah
 
Aiseee sasa kama hamtaki kuwahonga mnatembea nao wa nini si mtulie na mwanamke mmoja? Mnataka mtoto wa nani akubali kubinuliwa bure wakati anajua kabisa hauna mpango wa kumuoa unapita tu?
Lazima mliwe na kuachwa kwavile kwa njaa zenu mnajirahisisha ...Nan atabaki wakati mzigo ushatembezwa kilometers nyingi .... Yan Kama yaliyomo hayamo ...utapigwa chini tuu
 
Ndiyo hivyo mkuu. We pita naye MPE CHAKE mwache apambane na kilometa zake simple tu.

Halafu kuwa makini na unapomuaddress mtu humu JF. Hamna mahali nimesema mimi ni KE.
 
Back
Top Bottom