Natamani wanaume wote tungeweka mgomo kwenye suala la kuhonga. Imefika wakati wadada wa mjini wamegeuza miili kuwa duka


Gomeni[emoji1317]
 
Nimemfungulia ranch ya borani mpaka Sasa tuna kama ng'ombe sitini na nne
 
Kwa mchina mbezi Beach
 
HAKUNA changu au danga lenye thamni ya zaidi ya shillingi 2,000 tena hii nasema kwa upendeleo na huruma. Danga likija sana sana linunulie mshikaki wa jero na juisi ya muwa tu, akitaka shoo ni bure. Eti umnunulie IPhone yeye ni malaika wa kufuta dhambi, pumbafuuuuu, kwendraaaaa.
 
Mleta mada Mwanaume ataacha kuhonga kama hana hela tu, au ni mjinga mjinga, au wale wanaume wanaolelewa.

Unajua kwa nini viumbe vya kiume vina upper strenght kubwa kuliko vya kike?, that is natural.

Ili Simba aweze kupata jike anapokuwa kijana lazima apigane na Dume lingine ili aonekane udume wake kwa majike.

Sio Simba tu Hata Farasi tena wale wanaoshindwa huwa wanavikundi vyao vinaitwa Bachelors Only Groups, Sio Simba tu hata Majogoo...

Hata hawa wanawake wanodanga ni kwamba hawajakutana tu na mwanaume wa kumhudumia materially.

Kama una malengo makubwa na kufanikiwa kama Mwanaume usiitoe hii Natural Behavior kwako, Kamwe kwame.
Usikubali kuwa dhaifu kifikra eti hutaki kuhonga, yaani hiyo 10K izidishe mara 10.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hata usipohonga kama Brain yako ni empty utafilisika..

Mbona wanaolalamikia wahongaji ndio wengi wanakuwa hoehae?



Sent using Jamii Forums mobile app
 
Tungesikilizana ingekuwa safi sana.
Watu wote wangefanya kazi kwa bidii bila kujali jinsia.
Ni mambo ya ajabu sana binti amepanga anawapanga wanaume na kila mmoja anajiona ana zari.
Wewe mbona unakuta umewapanga wanawake na hauna mpango wa kumuoa hata mmoja? Unataka na wao wafanyaje?
 
Mkuu ukitaka usiwape hao malaya hizo hela usitembee nao tulia na mke wako na tena ndiyo itakuwa vizuri sana huyo huyo ndiyo umpe hela na huyo huyo ndiyo utembee naye! Siyo unaenda kumbinua mtoto wa watu huko hauna mpango wa kumuoa halafu unataka umbinue bure nani atakubali huo ujinga?
 
Aiseee sasa kama hamtaki kuwahonga mnatembea nao wa nini si mtulie na mwanamke mmoja? Mnataka mtoto wa nani akubali kubinuliwa bure wakati anajua kabisa hauna mpango wa kumuoa unapita tu?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…