Wordsworth
JF-Expert Member
- Jan 14, 2019
- 1,191
- 3,360
Uzi mzima wewe ndo umeongea point. Wanaume wanakazana oo wanawake siku hizi wanataka pesa mara oo tutapata wapi wastaarabu.Aiseee sasa kama hamtaki kuwahonga mnatembea nao wa nini si mtulie na mwanamke mmoja? Mnataka mtoto wa nani akubali kubinuliwa bure wakati anajua kabisa hauna mpango wa kumuoa unapita tu?
Matatizo mnayasababisha wenyewe alafu unakuja kulalamika ujinga wenu hapa. kwani hiyo elfu 10 alikuomba au ni kiherehere chako tuSiku moja wakati natoka lindo nikafika bar moja asubuhi nikapaki Suzuki yangu ili nipate supu. Mara mdada mmoja akaja kunisalimia na kujichekesha. Akaniuliza unanikumbuka nikasema yes. Nikamkaribisha supu akasema ameshiba. Wakati nainuka nikampa cha ten, akasema sasa tutawasiliana vipi. Nikashangaa !!! Nikajiuliza moyoni kwani kuna ulazima kila mtu mnayefahamiana kubadilishana namba. Tumebadilishana namba. Next day mtu ananiomba kodi ya nyumba. Huu ni udangaji wa dhahiri.
Huu ni mfano mmoja tu. Kila siku tunakutana na wadangaji. Mmoja aliniomba hela akanunue iPhone huku mimi simu zangu ni za laki na nusu. Hii hali tumeisababisha sisi wanaume kwa kutanguliza fedha kama ulimbo nao wamezoea. Wanaona ni haki yao kununuliwa simu, kulipiwa kodi ya nyumba, umeme, kununuliwa usafiri n.k
From now onwards nitaichunga senti yangu.
Jamaa angesema uwezo wake kuhonga ni 10K...Mkuu hiki cha ten ulichompa kilikua cha nini?!
Halafu alisema unamfahamu ukasema ndio. Mlifahamina kuhusu nini!? Weka hizi Sawa kabla hujatuuumiza kichwa
Kama ulikuwepo,Nimewaza hivyo pia.Ila wakishavumilia mwisho wa siku wanaambulia nini? Matusi dharau na kejeli tu!
Asante. Umeshamaliza kila kitu.Uzi mzima wewe ndo umeongea point. Wanaume wanakazana oo wanawake siku hizi wanataka pesa mara oo tutapata wapi wastaarabu.
Ni hivi wanaume wataacha kuwa ma ATM pale tu watakapoacha kuwafanya wanawake vyombo vya starehe.
La sivyo wakubaliane tu na hali hakuna cha bure.
Si ndio hapo sasa. Tatizo hawakubaligi.Kama ulikuwepo,Nimewaza hivyo pia.
Wanataka kuvumiliwa wakiwa hawana ila wakizipata wanadharau kwa kutembea na vidosho vya nje na kusahau walikotoka.
Sent from my Redmi 5 using JamiiForums mobile app
Huo motto nimeupenda sana.Karibuni UWABATA, huku kiasi cha mwisho kuhonga ni 1000.View attachment 1684680
Ndio umeeandika nini na wewe sasa?Mleta mada Mwanaume ataacha kuhonga kama hana hela tu, au ni mjinga mjinga, au wale wanaume wanaolelewa.
Unajua kwa nini viumbe vya kiume vina upper strenght kubwa kuliko vya kike?, that is natural.
Ili Simba aweze kupata jike anapokuwa kijana lazima apigane na Dume lingine ili aonekane udume wake kwa majike.
Sio Simba tu Hata Farasi tena wale wanaoshindwa huwa wanavikundi vyao vinaitwa Bachelors Only Groups, Sio Simba tu hata Majogoo...
Hata hawa wanawake wanodanga ni kwamba hawajakutana tu na mwanaume wa kumhudumia materially.
Kama una malengo makubwa na kufanikiwa kama Mwanaume usiitoe hii Natural Behavior kwako, Kamwe kwame.
Usikubali kuwa dhaifu kifikra eti hutaki kuhonga, yaani hiyo 10K izidishe mara 10.
Sent using Jamii Forums mobile app
Una ushahidi na unachoandika hapa?Hata usipohonga kama Brain yako ni empty utafilisika..
Mbona wanaolalamikia wahongaji ndio wengi wanakuwa hoehae?
Sent using Jamii Forums mobile app
Kumbe hata huyo alikuvulia ndiyo ukampa kaka😂😂umefichaa weee mwishowe umeacha nyeti wazi mwenyewe 😂😂Nasikia sifa ya kidume cha mbegu ni ubahiri. Tatizo wengine tuna aibu, tukishavuliwa pichu tu misimbazi inatembezwa
Na wewe ni Danga tu, ndio maana unatetea kuhongwa , poleUzi mzima wewe ndo umeongea point. Wanaume wanakazana oo wanawake siku hizi wanataka pesa mara oo tutapata wapi wastaarabu.
Ni hivi wanaume wataacha kuwa ma ATM pale tu watakapoacha kuwafanya wanawake vyombo vya starehe.
La sivyo wakubaliane tu na hali hakuna cha bure.
Lol nilishawahi kukuhonga?Na wewe ni Danga tu, ndio maana unatetea kuhongwa , pole
Mkubwa simamia hapo hapo ,[emoji110][emoji109][emoji106]Siku moja wakati natoka lindo nikafika bar moja asubuhi nikapaki Suzuki yangu ili nipate supu. Mara mdada mmoja akaja kunisalimia na kujichekesha. Akaniuliza unanikumbuka nikasema yes. Nikamkaribisha supu akasema ameshiba. Wakati nainuka nikampa cha ten, akasema sasa tutawasiliana vipi. Nikashangaa !!! Nikajiuliza moyoni kwani kuna ulazima kila mtu mnayefahamiana kubadilishana namba. Tumebadilishana namba. Next day mtu ananiomba kodi ya nyumba. Huu ni udangaji wa dhahiri.
Huu ni mfano mmoja tu. Kila siku tunakutana na wadangaji. Mmoja aliniomba hela akanunue iPhone huku mimi simu zangu ni za laki na nusu. Hii hali tumeisababisha sisi wanaume kwa kutanguliza fedha kama ulimbo nao wamezoea. Wanaona ni haki yao kununuliwa simu, kulipiwa kodi ya nyumba, umeme, kununuliwa usafiri n.k
From now onwards nitaichunga senti yangu.
Subiri niwakomesheMkubwa simamia hapo hapo ,[emoji110][emoji109][emoji106]
HahahahahahahMkuu ukitaka usiwape hao malaya hizo hela usitembee nao tulia na mke wako na tena ndiyo itakuwa vizuri sana huyo huyo ndiyo umpe hela na huyo huyo ndiyo utembee naye! Siyo unaenda kumbinua mtoto wa watu huko hauna mpango wa kumuoa halafu unataka umbinue bure nani atakubali huo ujinga?
Lazima mliwe na kuachwa kwavile kwa njaa zenu mnajirahisisha ...Nan atabaki wakati mzigo ushatembezwa kilometers nyingi .... Yan Kama yaliyomo hayamo ...utapigwa chini tuuAiseee sasa kama hamtaki kuwahonga mnatembea nao wa nini si mtulie na mwanamke mmoja? Mnataka mtoto wa nani akubali kubinuliwa bure wakati anajua kabisa hauna mpango wa kumuoa unapita tu?
Ndiyo hivyo mkuu. We pita naye MPE CHAKE mwache apambane na kilometa zake simple tu.Lazima mliwe na kuachwa kwavile kwa njaa zenu mnajirahisisha ...Nan atabaki wakati mzigo ushatembezwa kilometers nyingi .... Yan Kama yaliyomo hayamo ...utapigwa chini tuu