Natamani wanaume wote tungeweka mgomo kwenye suala la kuhonga. Imefika wakati wadada wa mjini wamegeuza miili kuwa duka

Kwanza kwann ulimpa io elfu
 
Nikamkaribisha supu akasema ameshiba. Wakati nainuka nikampa cha ten, akasema sasa tutawasiliana vipi.

Ulimpa cha ten na sijaona ulipodai chenchi. Kimsingi wewe ni muhongaji unaeshauri wengine wasihonge[emoji28]
 
Tatizo ni kuhonga ukiwa masikini kwasababu una muda wa kutosha kutongoza demu alafu every penny yako counts so ni bora ukaipa hata familia. Mtoa mada nadhani ungeweka tabaka katika huu uzi coz hauwahusu madoni. Swali hivi tajiri anahonga kweli? Point nyningine kuhonga kumesaidia sana wanaume kwa kiasi fulani kwasababu unaeza pata demu ambae naturally sio hadhi yako kabisa so never stop won't stop.
 
Ushauri mzuri, ila wanaume tulivyo waroho it's almost impossible! Tutagoma wachache wenzetu wakifurahia mwanya wa kufaidi pisi kali..
 
Ndiyo hivyo mkuu. We pita naye MPE CHAKE mwache apambane na kilometa zake simple tu.

Halafu kuwa makini na unapomuaddress mtu humu JF. Hamna mahali nimesema mimi ni KE.
Sijakutana nimejibu kutokana na comment
 
Huyu alikua na uhakika kwamba kwa buku ten ashajinunulia kifurushi ndo maana Ana hasira.. [emoji1787][emoji1787]Shubamiiit.
Nilitarajia nitakutana na comment za namna hii. Mission complete. Nalog out
 
Aiseee sasa kama hamtaki kuwahonga mnatembea nao wa nini si mtulie na mwanamke mmoja? Mnataka mtoto wa nani akubali kubinuliwa bure wakati anajua kabisa hauna mpango wa kumuoa unapita tu?
Yaani danga anifuate mimi kujitongozesha mwenyewe baada ya kukosa mwanamme wa kumtapeli....huyo ataambulia mshikaki wa jero tu na juisi ya muwa au togwa......hii tabia ya kuhonga wanawake imepitwa na wakati na ni ujinga tu
 
Yaani danga anifuate mimi kujitongozesha mwenyewe baada ya kukosa mwanamme wa kumtapeli....huyo ataambulia mshikaki wa jero tu na juisi ya muwa au togwa......hii tabia ya kuhonga wanawake imepitwa na wakati na ni ujinga tu
Tabia za kuhonga wanawake ni ya dunia ya tatu
 
MWANAUME LAZIMA UHONGE.......kwa malengo tuu....kama unataka kula tunda kimasihara sawa....malengo muhimu.....hata wife materials.....bila njuruku......humpati.......wako same.....95% kama sio 99%
 
Yaaani mlifika fikaje hadi ukampa elfu 10 inamaana kuna vitu ulimuomba.!
 
Yaaani mlifika fikaje hadi ukampa elfu 10 inamaana kuna vitu ulimuomba.!
Alifika mahali nilipokuwa napata supu. Nikamkaribisha supu akasema ameshiba so nikampa ten imsaidie hata kwa nauli. Maana alianza kuniulizauliza unakwenda wapi sasa hivi. Nikahisi anataka lift
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…