Natangaza rasmi kuachana na masuala ya Siasa, nina ya kujutia mengi

4.Unajuta kuamini kuwa Upinzani ipo siku utaongoza hii nchi

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Unajitekenya ee si useme ukwel tu, karibu nyumbani tuendeleze kilimo cha mananasi. Ila pole kwa yaliyokukuta.
 
Dr. Mashinji. Karibu Bugando huku ndipo taaluma yako ilipo, huko ulikuwa umejikinga mvua tu.
 
Mungu hasimami na chama bali husimama na wenye haki. Watu wanaojinyenyekesha kwake na wanatambua kuwa matendo mema na ya haki dhidi ya jirani zao ndiyo amri iliyo kuu.
Vizuri watambua hilo. Haukua sahihi kuwahukumu watu kuhusu Mungu kwa kuwa wako Ccm kiitikadi. Kila chama kina watu wazuri na waovu. Na sio kila mtu kwenye chama cha siasa ni mtendaji wa chama husika. Na tunaamini kuwa Mungu wetu anaangalia moyo baba, sio kama sisi binadamu tunavyoangalia, 1 Samuel 16:7
 
Wewe Britannica Kwasababu umeshiriki kwa kiasi kikubwa kuhujumu mawazo ya watanzania na inawezekana wewe nsiye uliosababisha tufikie hapa tulipo km Taifa. Je kwanini usichukuliwe hatua za kinidhamu kutoka kwa wananchi wenye hasira Kali? Pili Unaweza kutusaidia kututajia wengine ulioshirikiana nao kuhujumu mawazo ya watanzania ya kutengeneza serikali?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mkuu uko Russia?. Bora umeeongelea huko.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…