Makwizi Band
JF-Expert Member
- Aug 19, 2024
- 1,535
- 2,565
I THINK ITS ONLY LISU PEKEEE HAKUNA MWINGINE zaidi.Kila nikiusoma uzi wa yoga kule jamii intelligence halafu niki connect alicho wahi kukiandika The Boss baada ya tukio la Clouds kushambuliwa, jamaa alieleza utoto wa mjini wa Mbowe na born town, nalinganisha na matukio yanayo tokea sasa hvi then narudisha kumbukumbu nyuma wakati wa sakata la Escrow jinsi pesa zilivo gawiwa, kuna zile zilizo pitia ile bank nyingine zamani ilikuaha pale Sukari house kwamba mwamba nae alikula yaani...., nachoka kabisa. Kwasasa huko upinzani I think is only Lissu, Lema, Heche ndio wanaweza kua wasafi. Safari hi Mbowe ametukatisha tamaa wengi, kaporomosha imani yetu kubwa tuliokua nayo kwake. RIP CDM
Apambane akiwa hapo hapo chadema?Ndugu kabla ya kuondoka CHADEMA, nikuulize,
Umewahi kusoma kisa Cha kamanda mmoja, jemedari, hero aliyeshinda vita nyingi lakini mwisho wake alikuja kuuwawa na mwanamke kirahisi tu!!
Yaani mlisurvive Kwa Magu, Leo mnapoteana chini ya uongozi wa Sa100?
Futa thread Yako wewe ni jemedari, pambana, njia IPO mbeleni Sema huioni.
Ubarikiwe 🙏
Kwa vile hukututaafu unavyoingia siasa, hukuwa na sababu ya kutuaga piaHii I'd hamtaiona tena natangaza kuachana na siasa maisha yangu yote.
Sina Cha kuongeza ila Mimi ni mmoja wa watu nilio risk maisha yangu na biashara zangu kupigania CHADEMA.
Account yangu ya biashara ilifungwa kipindi cha utawala wa Magufuli sababu ya kukataa ujinga wa utawala wake.
Sitaki kuongea mengi ila niseme tu ukweli Mimi ni Mchaga pure kabisa nimekuwa nikisapoti CHADEMA sio kwa sababu ya Mbowe kuwa mchaga hapana.
Nimekuwa nikisapoti CHADEMA kwa sababu ni chama ambacho angalau niliona kina mwanga wa kuleta mageuzi.
Nimekuwa mwanachama wa CHADEMA toka mwaka 2009 baada ya kumaliza kidato Cha nne nikiwa mdogo kabisa niseme tu damu yangu ilikuwa CHADEMA kabisa pure maana sijawai kuwa CCM.
Nilianza kuwa na mashaka mwaka 2015 baada ya Mbowe kumpokea Lowassa kwenye chama lakini nikasema bado siwezi kuasi chama.
Kwa alichokifanya Mbowe kututukana wanachama kwamba hatuna mchango wowote ndiye mwenye chama na anaweza kufanya anachotaka nimejiridhisha bila mashaka Mbowe ni Tapeli, Mwizi, Muongo, Mfanyakazi wa CCM , kibraka wa Samia na Fisadi Kama mafisadi mengi yaliyo CCM .
Nang'atuka CHADEMA sitoshiriki aina yeyote ya siasa wala kutumia hata mia yangu kwenye chama na vyama mfu vya upinzani inatosha.
Siwezi kufanya siasa za unafiki siwezi kuwa mnafiki nitarudi kwenye siasa siku Tundu Lissu akianzisha chama kipya na ndani yake kusiwemo wafanyakazi wa CCM na majambazi wa siasa za Tanzania .
Poleni kwa ndugu zangu mliopata misukosuko wakati nasumbuliwa na utawala wa CCM
Poleni marafiki zangu ambao mlipata shida nilipokuwa napata misukosuko ya kisiasa.
Poleni Sana ndugu wa watu wote waliopotea mpaka leo hawajapatika.
Poleni Sana wote waliofariki Kama Chacha Wangwe, Kibao, Mawazo, Akwilina, Zoka, Mwangosi na wengine ambao sijawataja!!..
Poleni poleni Sana watu wote niliowatukana kwa sababu ya ya chama natubu naomba mnisamehe maisha yaendelee!!.
Nipo Moshi Mlliopo Moshi Karibuni tule nyama na bia.
Kupigania hvyo nje ya vyama kwa Tz ni ndoto,nchi ya wanasiasa hiii
Hii I'd hamtaiona tena natangaza kuachana na siasa maisha yangu yote.

We pimbi niko kwenye civil service hadi mwaka Y. Mamaeee!Kichaa wewe wapinzani wenyewe chadema hasira zako za kutumbuliwa na licheti lako feki ndio unamchukia jeshi
Kwenda huko, who are you! We ilitakiwa utekwe kabisaHii I'd hamtaiona tena natangaza kuachana na siasa maisha yangu yote.
Sina Cha kuongeza ila Mimi ni mmoja wa watu nilio risk maisha yangu na biashara zangu kupigania CHADEMA.
Account yangu ya biashara ilifungwa kipindi cha utawala wa Magufuli sababu ya kukataa ujinga wa utawala wake.
Sitaki kuongea mengi ila niseme tu ukweli Mimi ni Mchaga pure kabisa nimekuwa nikisapoti CHADEMA sio kwa sababu ya Mbowe kuwa mchaga hapana.
Nimekuwa nikisapoti CHADEMA kwa sababu ni chama ambacho angalau niliona kina mwanga wa kuleta mageuzi.
Nimekuwa mwanachama wa CHADEMA toka mwaka 2009 baada ya kumaliza kidato Cha nne nikiwa mdogo kabisa niseme tu damu yangu ilikuwa CHADEMA kabisa pure maana sijawai kuwa CCM.
Nilianza kuwa na mashaka mwaka 2015 baada ya Mbowe kumpokea Lowassa kwenye chama lakini nikasema bado siwezi kuasi chama.
Kwa alichokifanya Mbowe kututukana wanachama kwamba hatuna mchango wowote ndiye mwenye chama na anaweza kufanya anachotaka nimejiridhisha bila mashaka Mbowe ni Tapeli, Mwizi, Muongo, Mfanyakazi wa CCM , kibraka wa Samia na Fisadi Kama mafisadi mengi yaliyo CCM .
Nang'atuka CHADEMA sitoshiriki aina yeyote ya siasa wala kutumia hata mia yangu kwenye chama na vyama mfu vya upinzani inatosha.
Siwezi kufanya siasa za unafiki siwezi kuwa mnafiki nitarudi kwenye siasa siku Tundu Lissu akianzisha chama kipya na ndani yake kusiwemo wafanyakazi wa CCM na majambazi wa siasa za Tanzania .
Poleni kwa ndugu zangu mliopata misukosuko wakati nasumbuliwa na utawala wa CCM
Poleni marafiki zangu ambao mlipata shida nilipokuwa napata misukosuko ya kisiasa.
Poleni Sana ndugu wa watu wote waliopotea mpaka leo hawajapatika.
Poleni Sana wote waliofariki Kama Chacha Wangwe, Kibao, Mawazo, Akwilina, Zoka, Mwangosi na wengine ambao sijawataja!!..
Poleni poleni Sana watu wote niliowatukana kwa sababu ya ya chama natubu naomba mnisamehe maisha yaendelee!!.
Nipo Moshi Mlliopo Moshi Karibuni tule nyama na bia.
Too much is harmfulHii I'd hamtaiona tena natangaza kuachana na siasa maisha yangu yote.

Pole sana!tena hauko peke yako mko wengi Kwa heri Chadema, sitakuwa siwezi kuwa chawa wa kumsafishia njia Samianatubu naomba mnisamehe maisha yaendelee!!.
Pole,tumekusamehe, kula bia yako。
P
Umemaliza kila kitu.nimejiridhisha bila mashaka Mbowe ni Tapeli, Mwizi, Muongo, Mfanyakazi wa CCM , kibraka wa Samia na Fisadi Kama mafisadi mengi yaliyo CCM .
Huyo Kijana anazingua mkuuUmemaliza kila kitu.
its true,Siasa ni Biashara kubwa
ni kweli alichopanda,ndicho alichovuna!ndo maana yule mzee wa sound from within alijaribu kuomba ubunge japo aliishia kupata kura 1.
Huwezi kuhimili mikiki ya upinzani Tanzania nakushauri tafuta kadi ya ccm.Hii I'd hamtaiona tena natangaza kuachana na siasa maisha yangu yote.
Sina Cha kuongeza ila Mimi ni mmoja wa watu nilio risk maisha yangu na biashara zangu kupigania CHADEMA.
Account yangu ya biashara ilifungwa kipindi cha utawala wa Magufuli sababu ya kukataa ujinga wa utawala wake.
Sitaki kuongea mengi ila niseme tu ukweli Mimi ni Mchaga pure kabisa nimekuwa nikisapoti CHADEMA sio kwa sababu ya Mbowe kuwa mchaga hapana.
Nimekuwa nikisapoti CHADEMA kwa sababu ni chama ambacho angalau niliona kina mwanga wa kuleta mageuzi.
Nimekuwa mwanachama wa CHADEMA toka mwaka 2009 baada ya kumaliza kidato Cha nne nikiwa mdogo kabisa niseme tu damu yangu ilikuwa CHADEMA kabisa pure maana sijawai kuwa CCM.
Nilianza kuwa na mashaka mwaka 2015 baada ya Mbowe kumpokea Lowassa kwenye chama lakini nikasema bado siwezi kuasi chama.
Kwa alichokifanya Mbowe kututukana wanachama kwamba hatuna mchango wowote ndiye mwenye chama na anaweza kufanya anachotaka nimejiridhisha bila mashaka Mbowe ni Tapeli, Mwizi, Muongo, Mfanyakazi wa CCM , kibraka wa Samia na Fisadi Kama mafisadi mengi yaliyo CCM .
Nang'atuka CHADEMA sitoshiriki aina yeyote ya siasa wala kutumia hata mia yangu kwenye chama na vyama mfu vya upinzani inatosha.
Siwezi kufanya siasa za unafiki siwezi kuwa mnafiki nitarudi kwenye siasa siku Tundu Lissu akianzisha chama kipya na ndani yake kusiwemo wafanyakazi wa CCM na majambazi wa siasa za Tanzania .
Poleni kwa ndugu zangu mliopata misukosuko wakati nasumbuliwa na utawala wa CCM
Poleni marafiki zangu ambao mlipata shida nilipokuwa napata misukosuko ya kisiasa.
Poleni Sana ndugu wa watu wote waliopotea mpaka leo hawajapatika.
Poleni Sana wote waliofariki Kama Chacha Wangwe, Kibao, Mawazo, Akwilina, Zoka, Mwangosi na wengine ambao sijawataja!!..
Poleni poleni Sana watu wote niliowatukana kwa sababu ya ya chama natubu naomba mnisamehe maisha yaendelee!!.
Nipo Moshi Mlliopo Moshi Karibuni tule nyama na bia.
Watu wamekufa haswa lakini Mbowe hafi wala Mtoto wake haguswi....Teh tehHii I'd hamtaiona tena natangaza kuachana na siasa maisha yangu yote.

Hajaanza kufika leo, watu tu ndio wamechelewa kumfahamuMangi hapa ni kurudi nyumbani kimya kimya huyu Mbowe ni Kahaba wa CCM aliefika bei
Hawa ndo wanampa lisu nguvu asiyokuwa nayoWanachama wa mitandaoni mmechanganyikiwa , field hamuonekani ila mmejaa
Andamaneni kama mna ubavu
😝