mkulu senkondo
JF-Expert Member
- Feb 19, 2017
- 1,862
- 3,574
Couldn't be more true....................Fact.Chochote utakachofanya kwa mkeo, dont think u will be appreciated so fanya kwakua ni wajib wako kufanya usifanye ili wakushukuru kumbuka u will never be seen a hero until they lose you.
Habari wakuu,
Mimi ni ME, wiki chache zijazo natarajia kuingia katika ndoa, naomba wenye uzoefu na wanaofahamu mambo wanipe maneno ya hekima yatakayonisaidia kwenye maisha ya ndoa.
Usiniambie kataa ndoa kwakua nimeshafanya maamuzi ya kuingia kwenye ndoa.
Natanguliza shukran zangu za dhati.
Jiandae kupiga punyeto bila kupenda, jiandae kushinda kwenye vijiwe vya baa na vijiwe vya kubeti bila kutaka .. mi naenda zanguHabari wakuu,
Mimi ni ME, wiki chache zijazo natarajia kuingia katika ndoa, naomba wenye uzoefu na wanaofahamu mambo wanipe maneno ya hekima yatakayonisaidia kwenye maisha ya ndoa.
Usiniambie kataa ndoa kwakua nimeshafanya maamuzi ya kuingia kwenye ndoa.
Natanguliza shukran zangu za dhati.
Sahihi hata Biblia 1 Petro 3: 7 inataka mwanaume aishi na mwanamke kwa akiliIshi nae kwa akili,narudia tena ishi nao kwa akili
Jambo la kwanza kuweka akilini ni hakuna mwanamke wa maana kuzidi mkeo,hii itakusaidia kutomchoka,maana ukimkinai haitachukua miaka mitano kuanza kutia nje,mtreat vizuri kipindi hiki Cha kuzaa ili asibebe mimba nje,wanawake hawana shukrani hivyo usije vunjika moyo siku moja Hilo likidhihiri,usipange mipango ya maendeleo ukihesabia kipato Cha mkeo,Mara nyingi kipato Chao hakina mchango kwenye familiaHabari wakuu,
Mimi ni ME, wiki chache zijazo natarajia kuingia katika ndoa, naomba wenye uzoefu na wanaofahamu mambo wanipe maneno ya hekima yatakayonisaidia kwenye maisha ya ndoa.
Usiniambie kataa ndoa kwakua nimeshafanya maamuzi ya kuingia kwenye ndoa.
Natanguliza shukran zangu za dhati.
Uninga gani sasa kwani wee kama kidume hutombi mbususu zingine? Why mkeo asiitombwee na de liboloz jingine? Acha ubinafsi weweAcha ujinga mzabzab, hicho kitu asije kubaliana nacho abadani
Sasa kama kipato chao hakina mchango unaoa ili iwejeJambo la kwanza kuweka akilini ni hakuna mwanamke wa maana kuzidi mkeo,hii itakusaidia kutomchoka,maana ukimkinai haitachukua miaka mitano kuanza kutia nje,mtreat vizuri kipindi hiki Cha kuzaa ili asibebe mimba nje,wanawake hawana shukrani hivyo usije vunjika moyo siku moja Hilo likidhihiri,usipange mipango ya maendeleo ukihesabia kipato Cha mkeo,Mara nyingi kipato Chao hakina mchango kwenye familia
Ndoa ni kuoana watu wawili wenye haki sawa ndani ya ndoa1. Hakikisha anafuata maelekezo unayompa.
2. Akutii kwa sababu wewe ni baba yake mpya.
3. Expect Less.
4. Timiza wajibu wako kama mwanaume.
5. Peleka moto vizuri (wahuni wapo kila mtaa, ni kama mawakala wa Tigo Pesa so ukilegea imekula kwako).
6. Usimchekee ovyo. Ajue kuwa kuna makosa akifanya baba Jane bye bye.
7. Ajue kuwa wewe ndiye uliyeishikilia hiyo ndoa na sio watu wa dini, wazee na watu wengine. She must know that your decision is the last.
8. Usimpe kila kitu anachotaka.
9. Mheshimu.
10. Tumia akili. Women are masters of illusion & manipulation so be care when you are going to deal with any case they present to you.
Mengine wataongezea walume ndago wengine.
Ndoa siyo upatu,hatuoi kufuata kipato Cha mkeSasa kama kipato chao hakina mchango unaoa ili iweje
Brother mbali na hoja ningekushauri urudi darasani ujifunze kuandika labda ntakuelewa ulimaanisha niniNdoa hazifanani yaliyokushinda wewe udisukumize kwa wengine
Muoaji jua hilo.kuwa ndoa hazifanani epuka ushauri kama wa huyu yaliyemshinda
Ksfinge.ndoa kanisani ipate baraka za Mungu
Hao wasiorasimisha asilimia kubwa hata wakizaa huzaa mitoto mijinga mijinga na mizigo kuanzia kwao wenyewe kwenye jamii na na taifa sababu imezaliwa bila baraka ya Mungu
Habari wakuu,
Mimi ni ME, wiki chache zijazo natarajia kuingia katika ndoa, naomba wenye uzoefu na wanaofahamu mambo wanipe maneno ya hekima yatakayonisaidia kwenye maisha ya ndoa.
Usiniambie kataa ndoa kwakua nimeshafanya maamuzi ya kuingia kwenye ndoa.
Natanguliza shukran zangu za dhati.
Kila la kheri.Habari wakuu,

Ndoa hazifanani yaliyokushinda wewe usisukumize kwa wengineIshi nae kimkakati, lipia mahari ila usi-sign cheti Cha ndoa kanisani wala msikitini namaanisha usirasimishe
1. Jua kuwa uhuru wako wa kufanya mambo, umepungua hadi kufikia 50%, toka 100%.Habari wakuu,