Natarajia kufunga ndoa, nipe maneno ya hekima yatakayonisaidia

Harusi ni sunna njema, kitendo cha watu Wema,owaneni mkae daima kwa mapenzi yalo mema.

Mpende mkeo mlezi wa familia tena ni rafiki yako mchunga nyumba nzima,ukija nyumba kwako mkweli mwaminifu mzuri aso khalifu mcheshi mwenye heshima huondosha hamu yako ukija na maudhiko tena mshauri wako mlinda nyumba nzima.

Twawaombea Salama furaha zisizo mfano kwa Baraka na Neema Allah awape afya nzuri na Watoto wa Kheir.

Rahaaatul Aruusi Yauman Washiddatul Aruusi Daaiman Wabaynahumaa Burdan Burdan,(Raha/Furaha ya harusi ni siku 1ambayo hufanyika sherehe,na shida za harusi zipo kila siku mikwaruzo ktk ndoa,na katika hizo raha na shida kunapatikana burudani furaha ilopitiliza.

Kubwa hili nasisitizaga kwa ndugu zangu wote jamani usisahau ibada mtegemee Mwenyezi Mungu mtangulize Allah kwa kila kitu popote atakuvusha salama.
 
  • Pongezi kwako, ndoa ni tamu sana kama umepata mtu sahihi; mkeo ndio atakuwa muhimu sana kwako kuliko ata wazazi wako. Migogoro yote ya ndoa mtaisuluhisha nyie wenyewe wawili na si mtu baki.​
  • Kama mkeo ni mvivu wa kutoa tendo, chepuka kwa akili ili ndoa izidi kuwa na afya​
  • Mwaka wa 15 sasa naona kama tumeoana juzi tu.​
 
Hakikisha hulali na nguo yeyote yaani unaenda kuingia rasmi kwenye Chama cha walala uchi.
Chumba kinatakiwa kuwa na kitu kimoja tu kitanda na godoro tu, Vitu kama Laptop ,simu viachwe chumba kingine au sebulemi huko

Mtu akienda chumbani ajue agenda moja tu hadi kieleweke
 
Asipozingatia haya shauri yake...
 
Ndoa siyo upatu,hatuoi kufuata kipato Cha mke
Mwee....msaidizi wako maana yake kama ana hela anapaswa kukusaidia sasa wats the point ya kuwa na mtu kisa mbususu tuu wakati kitu hicho kwa sasa kipo readily available
 
Wewe ingia kwenye ndoa mambo yote utayakuta huko huko hakunaga uzoefu kwenye ndoa....ili muishi ni ninyi wenyewe wawili mtavyoweka mambo yenu.....kama ni maneno ya busara, hekima, sijui upendo mtavijenga wenyewe kulingana na tabia zenu kila mmoja kwa mwenzake! Furu stopu nimemariza
 
Soma kitabu kinaitwa MEN ARE FROM MARS WOMEN ARE FROM VENUS kuna maarifa utapata conflicts utaziepuka sana
 
Kiasili mwnamke huongozwa na hisia ila mwaname unatakiwa utumie akili ili mwendane sawa ....neno samahani lisipunguke kinywani mwako .....sisi wanaume mara nyingi ndo chanzo cha mikwaruzano kwenye familia jitahidi kupunguza hilo ,.......mwisho kabisa ........ ndoa ni mfano wa gari alafu nyie ni madereva tafteni namna ya kuendesha gari lenu wenyewe msiruhusu mtu mwingine akawaongoza ..... hofu ya MUNGU ikatawale kwenye usukani wenu .....kila lahkeri ..... vipi kadi ya mchango hujatupa boss 😎
 
Usiamini sana mambo ya cousin. Sio kila utakaetambulishwa ni ndugu wa kiume basi ni ndugu kweli. Wengine mabwana zake.
 
Ndoa siyo upatu,hatuoi kufuata kipato Cha mke
Kuna wanaume wajinga wajinga huwinda kipato cha mwanamke wakioa wanashangaa wenyewe walichokuwa wakiwinda kwenye pochi ya mwanamke hakiwindiki .Kuchomoa pesa ya Mwanamke sio rahisi !!

Mwanaume aoe saizi yake kuwinda winda wanawake waliomzidi kipato au yeue akiwa hana kitu anawinda mwanamke wa kumlea kama yeye ndie mke atashangaa mbele ya safari na ulaghai wake .Ndoa itamchemkia mapema sana jua likiwa linawaka na kuporomoshewa mitusi kuwa kibwana hiki lofa kinanitia umaskini tu humu ndani sikitaki kifie mbele huko
 
Ndoa ni jambo la kheri na baraka. ila nina walakini na ww kua ww siomoaji !!!
Siku zote Anaetaka kuoa anajipanga kisha anapewa msaada wa hali na mali. ww unataka ushauri wa ndoa kabla hujaoa? Hapo rudi ukajipange tena...ila kwa faida ya kwetu sote nakusihi na nakumbushia nafsi yangu Kua " Kuamua kuoa sio kwenda chooni na kurudi kitandani. Ukiwa ndani ya ndoa ni sawa na safari yenye raha na karaha. Ukiwa mjuaji safarini unageuzwa mjinga na ukiwa kipofu wa kupitiliza unageuzwa dampo la kutupia takataka..."
Nakutakia kheri ya maesha ya ndoa ukifanyikisha washike mkono wengine
 
Achana na cm yakeee...only that...matured people tu ndio watanielewa hapa
 
Kitu kikubwa sana mwanaume hakikisha mambo ya chakula una
unayashika mwenyewe

Hakikisha chakula kipo ndani cha kutosha kwa gharama zako usisukumize hilo jukumu.kwa mke hata awe na kipato kikubea vipi

Eneo la chakula ni Nyeti wadomaji wa Biblia mnajua kilichomkuta Adamu.Siku hiyo Eva mkewe alimletea chakula matunda Adamu akapokea akala kilichokea wote eakasnxa kuona maluweluwe kwa chakula alicholets mke

Sisemi mke asinunue chakula akijisikia no ni ninachosema jukumu hilo kwa adilimis 99 libebebwe na mume sio mke
Ndoa nyingi vurumai huanzia hapo kwenye.chakula ohh hatulishi,hela ya chakula kidogo nk baadaye yatakayofuata mimi simo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…