Natarajia kufunga ndoa, nipe maneno ya hekima yatakayonisaidia

Mwee....msaidizi wako maana yake kama ana hela anapaswa kukusaidia sasa wats the point ya kuwa na mtu kisa mbususu tuu wakati kitu hicho kwa sasa kipo readily available
Kijana,hatuoi ili kupata msaada wa kifedha wa mwanamke
 
Huwa hayo mambo yanaelezwa ukishaingia.
Big up Mkuu, karibu sana.
 
Tambua ya kwamba mwanamke ni binadamu ana matamanio ya kimwili so kigegedwa na wanaume wengi ni jambo la kawaida. Usije ukavunja ndoa eti kisa mke katombwer huko nje
mzabzab hapo unaharibu sasaaa
 
mzabzab hapo unaharibu sasaaa
sasa naharibu nini wakati ndio hali halisi ya sasa kwenye ndoa nyingi.
wewe tatizo lako unataka kudanganyana kuwa ni wakamilifu wakati ukishakubali madhaifu yetu tunakuwa huru.
mie siewezi kuoa mwanamke breki pumbuz alafu nitegemee kuwa hatagegedwa na wanaume wengine eti tuu kisa tuna cheti cha ndoa. thats just inane.
 
🙏🙏🙏
 
Huyu anaingia kwenye ndoa sasa unapomwambia namna hiyo unamjenga hofu ambayo hakupaswa kuwa nayo
 
Umesema yote brother
 
Kuna tabia hukuwahi kuzijua za mkeo,utazijua ukianza kuishi nae,nyumba Moja,chumba kimoja,kitwnda kimoja.
Weka msimamo wako wazi mapema,bila hivyo Kuna siku utaambiwa ukakate vitunguu,wakati shemeji yupo ana chart insta.
Kama uliaminishwa Ke,Huwa hapigwi,acha hizo mambo,Kuna wakati Ke Inabidi atiwe hata Kofi,akili ikae sawa!!(usipige kuumiza).
Tegemea maneno ya shombo,kama mbona huna Hela/nguvu kama Fulani,usipanik,ukiwa na hasira,Toka ndani,nenda gym,au jogging,au kwa washikqji kwpige story,ukitunza sana mahasira utakuja kupiga mtoto wa watu uue!!
Akizaliwa mtoto,hata kama hufanani nae,(unless awe machina na wewe mbongo),huyo ni wako,mpe jinq,mpende,mtunze.
Ishi maisha unsyotaka wewe,sio kuiga,kama wewe kwa Sasa friji sio kipaumbele,usinunue kwa vile jilani kanunua,wewe nunua gari,nyumba,shamba,anzisha kampuni!
Ni hayo TU kutoka kwa muhenga
 
Inabidi ipigwe Lamination na iwe pinned ukiingia tu JF unaisoma kama laboratory rules 😁
 
Naamini swali langu litakua la Pekee na Muhimu zaidi.

● Ndoa yako umeiweka katika msingi upi?

maana inajulikana kabisa dhoruba ipo na itakupata tu, vip umepanga utajiokoa na nini
 
MUNGU awe nanyi muwe na ndoa yenye heri amani furaha na baraka...
Apart from that, kama huna roho ya kiuanaume ndoa itakushinda... All in all tambua kuna kumegewa na ukigundua kaa kimya kwasabab ni maisha ya kawaida tu sikuhiz kumegeana...
By the way hujachelewa KATAA NDOA UISHI KWA AMANI UIMARIKE KIUCHUM
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…