Nategemea hii ndio itakuwa story ya mwisho kuileta humu kumuhusu huyu mwanaume

Ukweli ni kwamba mwambie haya masikitiko yako uso kwa uso huku ukimpa makataa,kwamba hii ni mara ya mwisho asipobadilika muache,black namba zake za simu na wewe fata hamsininzako,utampata mwanaume wa nyota yako
 
Ukisikia wanawake ni wapumbavu na bora kutafuta bikira ndo hivi; wewe unataka leta mazoea yako ya wanaume uliokuwa unawafanya watumwa

“kupambania penzi haswa kwenye upande wa mawasiliano”

Kwa kifupi huna thamani unayofikiri unayo!
 
Siku si nyingi unaenda kuwa mwehu! wanaume wote tupo zaidi ya milioni 30,mmoja ndio anakuchanganya hadi unajaza server za Jf
 
Uko kwa mahusiano na mume wa mtu ndomana inakua hivyo. Hemfikiri

1.Akiwa kazini haruhusiwi kupokea cm ( hii huenda nikweli)
Kazi ni masaa 12 tu hata kama ni binafsi au kuajiriwa

2.Kuna mda anahitaji kutuliza hakili hii labda kwa masaa ma wili au moja. Haitaji usumbufu wa mtu.(hii pia huenda nikweli) . Kunawakat unahitaj utulivu sana no stress no communication no eny thing zaid ya utulivu tu.

3. Mda ulio baki yuko kwake na mke wake. Hapa we ni mchepuko hupasi kupokelewa cm utaharibu ndoa ya watu. J3 had J3 yuko bize hujiongez unaomba ushauri. Kweli mapenz ni upofu ila inakubid ufumbue macho na kwakua mapenz hayashauriki na anaujua uzaifu wako. Chunga mana siku ukimbebea mimba ndo utajua kua kuna ulazima gan wakuchuchumaa wakati wa haja. Me niushauritu muamuz weww
 
Ukweli ni kwamba mwambie haya masikitiko yako uso kwa uso huku ukimpa makataa,kwamba hii ni mara ya mwisho asipobadilika muache,black namba zake za simu na wewe fata hamsininzako,utampata mwanaume wa nyota yako
Kumuonesha mwanaume kuwa namuhitaji sana ndio nilishindwa mkuu
 
Katika huo muda unaosubiri, jitulize badala ya kuhaha na mambo kama haya.
Ni mtu mzima wewe. Huchoki kubadili wanaume?
Una rundo la ma-ex na bado unajinadi kwamba una muda. Hopeless!
Una uhakika kuwa nina rundo la ma ex mkuu au unaropoka tu
 
Kwenye kuwa mume wa mtu hapana ni mtu ambae tunafahamiana nae muda mrefu kabla ya mahusiano isitoshe ni bachelor boy ambae anaishi kigetogeto tu.. kubwa zaidi naloona ni kuwa hanipendi tu labda ana mtu wake anaempenda yeye ila hajaoa mkuu
 
Ukisikia wanawake ni wapumbavu na bora kutafuta bikira ndo hivi; wewe unataka leta mazoea yako ya wanaume uliokuwa unawafanya watumwa

“kupambania penzi haswa kwenye upande wa mawasiliano”

Kwa kifupi huna thamani unayofikiri unayo!
Okay vizuri
 
Haya mambo ya kipumbavu Huwa mnapenda kuyajali sana hivi ndoa mtaziweza?
 
Umezoea kudate na vivulana umekutana na mwanaume sasa; enzi za kutukuza mbususu tulikuwa nazo tulipokuwa jobless mtaani
 
Muache huyo anakupotezea muda..!!
Pesa hakupi, muda wake hakupi ila yeye akitaka kipapa unakipeleka 😹😹
Pesa hampi? Kama mbususu ingekuwa yakulipia si angeenda tu riverside pale akapata ya bei chee
 
Ikiwa ulikuwa kwenye mahusiano mengine hapo awali, usijaribu kulinganisha uhusiano wako wa sasa na ule wa zamani. Watu hubadilika na kukua, na uhusiano wako wa sasa ni tofauti na ule wa zamani. Grow up girl.
 
Mwanamke akishaona hastail kuteseka umalaya ndio unaanzia hapo.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…