Nategemea hii ndio itakuwa story ya mwisho kuileta humu kumuhusu huyu mwanaume

Sio roho mbaya jitahidi kujipa furaha mwenyewe usitegemee wala kusubiri watu wakupatie furaha.

Wanaume tupo na vitu fungi sikuizi.

Hua nawaza hata babu yangu enzi hizo alioa akiwa na miaka 17 angezaliwa miaka ya 90 angekua single mpaka saiv.
Amini mwanangu mambo yamebadilika sana
 
kuna sababu nyingi pengine jamaa anakujaribu uvumilivu wako, pengine ni life style yake, pengine amebanwa na kazi hebu jaribu kufanya uchunguzi vizuri moja kwa moja kutoka kwake ndipo uchukue hatua
hivi kweli wewe ni genius, yani mapenzi nayo ni ya kufanyia uchunguz?
 
Sio roho mbaya jitahidi kujipa furaha mwenyewe usitegemee wala kusubiri watu wakupatie furaha.

Wanaume tupo na vitu fungi sikuizi.

Hua nawaza hata babu yangu enzi hizo alioa akiwa na miaka 17 angezaliwa miaka ya 90 angekua single mpaka saiv.
Mwenyewe huwa nawaza kitu kama hiki.
 
Hatukupi ushauri hapa, we ni Singomaza mwingine tu.
Karibu uraiani.
Kuna jinga moja huwa linapiga simu zaidi ya masaa matano mpk kumi kwa siku, huku mi nampa mihogo ya kutosha huyo binti kimyakimya. Miaka sasa.
Lenyewe ni kupiga kubembeleza punyenye huku mi nagonga bure bilashi.
 
Sio roho mbaya jitahidi kujipa furaha mwenyewe usitegemee wala kusubiri watu wakupatie furaha.

Wanaume tupo na vitu fungi sikuizi.

Hua nawaza hata babu yangu enzi hizo alioa akiwa na miaka 17 angezaliwa miaka ya 90 angekua single mpaka saiv.
Nimechokaa kujipa furaha mwenyewe nataka na yeye anipe
 
Kati ya wanaume wote waliokuzunguka hakuna hata mmoja anayetaka ama kuonesha nia ya kukuoa?
Kitu usichokijua sio kila mwanaume ni mume kama ilivyo sio kila mke ni mke wako.. uwezi kusema tu naolewa kwakuwa tu amejitokeza wa kukuoa… haijalishi itachukua muda gani ninajua nitaolewa nimetulia sitaki kukurupuka nikaolewa nikaachika sitaki hilo jambo linitoke… kikubwa zaidi bado nina muda wa kutosha kuendelea kusubiri mtu sahihi
 
mkipigiwa simu mara nyingi ni kero, msipopigiwa ni kero mtajijua wenyewe kama ulikua na anaekupigia simu Sana ukampuuza hayo ndio malipo kwa sasa unalipwa wala usilaumu komaa nae tu
 
Yeap mlembo😂 hiii kitu hilinitokea wakati nipo form 6 up chuo wifi yenu halikuwa hanalalamika kuhusu tabiya Kam ya mtu wako sema tumetofautian kweny call na txt mm nilikuwa najitahid call hila naweza kaha 2 week ndy na call na txt hapan siyo mpnz sana wa txt lkn halikuwa kila mda hanapenda ni call ua ni mtumie txt sas kwa upande wang nilijitahidi hila Kuna mda nilibindi nimweleze kuwa nipo hustle mamb yakikaa saw ntakuwa call au txt nahona hiyo hali ndy shem wangu hanapitia Kuna mda mind hasa kwa wanaume Huwa hinatutokea hila kupenda kunakuwa tunawapenda sana sema life hila mambo yakiwa sawa hatakuja kwako tuuu naludia hatamimi nilipitia hiiii hali wife ❤️ hakawa hana wambia ndungu zangu washikaji zangu labda alidhani namchezea
Mkuu wewe ni wa kanda ya ziwa??
 
mkipigiwa simu mara nyingi ni kero, msipopigiwa ni kero mtajijua wenyewe kama ulikua na anaekupigia simu Sana ukampuuza hayo ndio malipo kwa sasa unalipwa wala usilaumu komaa nae tu
Sikuwahi kumpuuzA tulikuwa twapendana
 
Yeap mlembo😂 hiii kitu hilinitokea wakati nipo form 6 up chuo wifi yenu halikuwa hanalalamika kuhusu tabiya Kam ya mtu wako sema tumetofautian kweny call na txt mm nilikuwa najitahid call hila naweza kaha 2 week ndy na call na txt hapan siyo mpnz sana wa txt lkn halikuwa kila mda hanapenda ni call ua ni mtumie txt sas kwa upande wang nilijitahidi hila Kuna mda nilibindi nimweleze kuwa nipo hustle mamb yakikaa saw ntakuwa call au txt nahona hiyo hali ndy shem wangu hanapitia Kuna mda mind hasa kwa wanaume Huwa hinatutokea hila kupenda kunakuwa tunawapenda sana sema life hila mambo yakiwa sawa hatakuja kwako tuuu naludia hatamimi nilipitia hiiii hali wife ❤️ hakawa hana wambia ndungu zangu washikaji zangu labda alidhani namchezea
Sasa hwehwe ......hau basi
 
Kitu usichokijua sio kila mwanaume ni mume kama ilivyo sio kila mke ni mke wako.. uwezi kusema tu naolewa kwakuwa tu amejitokeza wa kukuoa… haijalishi itachukua muda gani ninajua nitaolewa nimetulia sitaki kukurupuka nikaolewa nikaachika sitaki hilo jambo linitoke… kikubwa zaidi bado nina muda wa kutosha kuendelea kusubiri mtu sahihi
Katika huo muda unaosubiri, jitulize badala ya kuhaha na mambo kama haya.
Ni mtu mzima wewe. Huchoki kubadili wanaume?
Una rundo la ma-ex na bado unajinadi kwamba una muda. Hopeless!
 
Ko unataka nyapu upewe buree? Lol
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Kwani ni biashara hiyo kama ni biashara halali basi iwe tunabagain kabisa kabla atujaingia gheto isiwe kuwa tunauziana kwa kisingizio cha mahusiano na kuna wengine hawana huruma wanakupiga haswa swala la kuhudumiwa inabidi mwanaume ndio aamue yeye na ni haki yako but sio mnakomand kama hivyo
 
Back
Top Bottom