Nategemea hii ndio itakuwa story ya mwisho kuileta humu kumuhusu huyu mwanaume

Nategemea hii ndio itakuwa story ya mwisho kuileta humu kumuhusu huyu mwanaume

Trust your insticts cause They know what you deserve.

And never settle for less than what you deserve
 
kimbia futi mia usigeuke hata nyuma. ana wake tayari wewe ni mchepuko. kama hupo tayari kuwa mchepuko vumilia.
 
We mburukenge Huyo sasa ndio umepata mwanaume.Mwanaume hapigagi simu for no reason mwanaume anatafuta pesa
 
Mara moja moja sana, kuongea na simu dakika 5 ni nyingi mno
Sasa wewe ni sawa mimi hata sekunde 1 sijawahi ongea nae kwa simu ukiachana na siku ambazo tunaonana tu.. yaani mawasiliano yangu na yeye ni through text
 
We mburukenge Huyo sasa ndio umepata mwanaume.Mwanaume hapigagi simu for no reason mwanaume anatafuta pesa
Sijakataa ila yeye hapigi kabisaaaaa ukiona kapiga ni siku mnaenda kuonana na ile kuulizauliza umefika wapi pitia huko sijui nini mkimaliza hapo ni sms kwenda mbele
 
Umezoea kudate na vivulana umekutana na mwanaume sasa; enzi za kutukuza mbususu tulikuwa nazo tulipokuwa jobless mtaani
Hahaha tatizo wengi mna comments bila kuelewa nini nataka… mimi Sijasema kwamba nataka anitafute kila wakati hapana sio hivyo… unajua mtu anaekupenda utajua tu hata kama yu bize kiasi gani hawezi acha kutenga hata siku moja kwa ajili ya kuongea na mpnz wake kwa njia ya simu…hata kama ni dk 5 zinatoshaaa ili mradi tu ile communication iwepo
 
Back
Top Bottom