Nathibitishiwa hapa kiongozi wa banana republic ni mateka wa wanamtandao

Huu uzi umekaa ki ubuyuubuyu ila unapiga mshono Ile mbaya, Kuna siku utakuja fukuliwa kwa kumbukizi.
Kwan kuna new information gan kwenye huu uzi ambayo polepole hakusema?
 
Inawezekana ndio maana na mambo yote anafanya lakini kaenda kuchagua mtoto wake bila ya aibu
Majanga yanapompata mtu, marafiki wote hujitenga na wangine husaliti, matokeo yake mhanga hujikuta yeye peke yake na watu wake wa karibu kumsaidia....
Hapo ndipo alipofikia "Amiri Jeshi Mkuu"

Tutegemee kuona (Desperate moves) nyingi tu za kutosha! πŸ’¬
 
Kweli

Kwaiyo hadi sasa ajastuka kwamba atakuwa pekee yake huko mbele?
 
Father imagine hata mtangazaji unaogopa kumtaja jina lake tutapaje uhuru kwa uoga wa sampli hii?
 
Father imagine hata mtangazaji unaogopa kumtaja jina lake tutapaje uhuru kwa uoga wa sampli hii?
Oya simtaji na kipindi chake kimeisha hii asubuhi leo amekua tofauti sana naona ujumbe ameupata ingawa sijamtaja jina ila anajijua.. haaina haja ya kumtaja hapa mimi nimesema tu kwamba hafanyi vizuri ila sio kwamba nimekuja kumtaja huku
 
Oya simtaji na kipindi chake kimeisha hii asubuhi leo amekua tofauti sana naona ujumbe ameupata ingawa sijamtaja jina ila anajijua.. haaina haja ya kumtaja hapa mimi nimesema tu kwamba hafanyi vizuri ila sio kwamba nimekuja kumtaja huku
Uoga
 
state capture, kuna mtu humu ndani kiaka ya nyuma aliwahi gusia
Kuna kikundi so powerful that kinaweza amua rais awe nani na afanye nini
Powerful au corruptive? Nadhani ni muda muafaka wa kuita kisu kisu, panga panga na kijiko kijiko, mtu muovu ni dhaifu mbele ya ulimwengu wa watu waliostaarabika. Mwite kwa jina lake, mshenzi/washenzi au corruptive na sio powerful.
 
Nakushauri kasome vitabu kuna empire ngapi zimepita na zilikua na ubabe na nguvu lakini leo ziko wapi kuna wababe wa vita kina adolf hitler kina Musolin wako wapi na ubabe wao.Mama kapambana sana kajitoa sana kwa familia yake ije iishi maisha bora ila mwisho kaja kuharibu pakubwa sana na bado anaharibu kwa kushirikisha familia ktk uongozi mapambano yake hayana faida hata kwa wana familia kwa sasa maisha yao yako hatarini kwa chuki.
Jaribuni kua mnamshauri mambo ya msingi.
 
NA BADO πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…