Johnny Impact
JF-Expert Member
- Sep 12, 2017
- 5,502
- 9,070
Ona ulivyo empty! Ardhi ya Urusi pekee ina utajiri mkubwa alafu bado Urusi hiyohiyo inabana maslahi ya USA.
Jibu unalo kwamba hadhubutu kusogeza pua huko ulikotaja sio kwamba hawezi pata malighafi
Au njia nyingine badala ya kuficha hisia Ni Bora kuchambua kwa kusema ukweli mtupu huku roho ikiwa inamuuma.Ni vigumu sana kujadili jambo bila kuwa na upande kwa sababu, lakini mchambuzi mahiri anajitahidi kuficha kabisa muegemeo wa emotions zake, a hata kama ikitokea zikajionyesha atakuwa na hoja zenye nguvu kulinda na kutetea jambo hilo.
Na Ni sawa na Cuba amkaribishe Urusi kuweka kituo Cha kijeshi nchini Cuba.Urusi haina busara. Ukraine ni sovereign country, shida ni nini akiamua kujiunga na NATO? Kwa nini achaguliwe marafiki na urusi?
Basi ukoloni bado upo kama nchi huru hairuhusiwi kujiamulia mambo.Na Ni sawa na Cuba amkaribishe Urusi kuweka kituo Cha kijeshi nchini Cuba.
Hakuna nchi dunian inayoweza kujiamulia kila kituBasi ukoloni bado upo kama nchi huru hairuhusiwi kujiamulia mambo.
Unajua Hadi leo Cuba imewekewa vikwazo na Marekani na washirika wake kwa sababu Cuba nchi huru kabisa iliamua tu kufuata Siasa za kikomunisti.Basi ukoloni bado upo kama nchi huru hairuhusiwi kujiamulia mambo.
Naomaba nikukumhushe kitu unachokijua naona umesahau.Basi ukoloni bado upo kama nchi huru hairuhusiwi kujiamulia mambo.
Frank Wanjiru,najua kuwa unajua Nia na malengo ya Marekani katika ukanda wa Balkan na nchi zilizojitenga na Umoja wa Kisoviet.Kujihami gani kwa kuvamia Nchi huru?
Kwa hiyo wanachofanya Urusi ni vibaya..lkn wanachofanya NATO kumzunguka urusi na kutaka kuingia kabisa mlangoni kwake ni sawa sio??Mfano wewe ndo Rais wa Urusi ungefanyaje?Anachofanya Urusi hata Hitler alianza hivyo hivyo,mwishoe akajitanua na kuota mapembe. Kama hujui kuwa Ulaya wanalichukulia hili jambo seriously subiri uone moto wake. Nchi kama Poland, Romania,Norway na Sweden wanalichukulia kwa uzito mkubwa sana.
Ivi we akili za kufananisha Tanzania na Urusi umezitoa wapi?..Urusi anatengeneza kila kitu kwenye nchi yake, mpaka ndege wanatumia za kwao...ndo maana wana uwezo wa kuvimbiana na Marekani kwa sababu wapo juu mpaka kwenye technology.Nenda shule ukasome. Tanzania ina rasilimali nyingi sana lkn bado masikini. Sembuse atakuwa Urusi wako? Urusi anawekea vikwazo na Marekani na siyo UN. Kasome First world 1 & 2, Great depression, Neo colonialism kisha malizia na Capitalism & Socialism
Ndiyo ujue umuhimu wa kwenda shule.
Ivi we akili za kufananisha Tanzania na Urusi umezitoa wapi?..Urusi anatengeneza kila kitu kwenye nchi yake,,, mpaka ndege wanatumia za kwao...ndo maana wana uwezo wa kuvimbiana na Marekani kwa sababu wapo juu mpaka kwenye technology.
Kwa iyo we shida yako unataka uchumi wao uwe kama Marekani? Kuna kitu gani ambacho Marekani wana fanya alafu Urusi wakashindwa kufanya pamoja URUSI uchumi wake tofauti na Marekani.Shule ni muhimu sana. Kuna mfano na mlinganisho. Nimetolea mfano na siyo mlinganisho.
Kwa akili yako ndogo, unaweza kuilinganisha Tanzania na Urusi?
Nikisema unafanana na Barack Oback kwa sura haimaniishi una kila kitu kama Obama. Sijui ulisoma shule ya wapi ww mwana Jf.
Urusi anatengeneza kila kitu, mbona hajamfikia Marekani kwa uchumi? Urusi ni silaha tu ila kwa suala la uchumi, Urusi atasubiri sana kwahiyo bado Marekani anamzidi Urusi ndiyo maana anawekewa vikwazo
Mzee kumbe bado hz nchi hujazijua vzr, pamoja na marekan kuwa na uchumi mkubwa ila anuogopa RUSSIA vibaya coz hawa jamaa wana teknology kubwa za silaha kuna zingne had USA haoni ndani. Kuprove hili that's y NASA inategemea vituo vya RUSSIA Kwenda anga la mbali fuatilia miji ya RUSSIA inaitwa STAR CITY & CARPUSTIN YARDShule ni muhimu sana. Kuna mfano na mlinganisho. Nimetolea mfano na siyo mlinganisho.
Kwa akili yako ndogo, unaweza kuilinganisha Tanzania na Urusi?
Nikisema unafanana na Barack Oback kwa sura haimaniishi una kila kitu kama Obama. Sijui ulisoma shule ya wapi ww mwana Jf.
Urusi anatengeneza kila kitu, mbona hajamfikia Marekani kwa uchumi? Urusi ni silaha tu ila kwa suala la uchumi, Urusi atasubiri sana kwahiyo bado Marekani anamzidi Urusi ndiyo maana anawekewa vikwazo
That's y Putin akiwekewa vikwazo uta sikia anasema "vikwazo unavoniwekea havitakuwa na impact kwangu tu Bali hata kwako" coz pamoja na USA kuwa na uchumi mkubwa but kiteknolojia anamtegemea RUSSIA especially teknolojia ya ANGA ZA MBALI.Kwa iyo we shida yako unataka uchumi wao uwe kama Marekani? Kuna kitu gani ambacho Marekani wana fanya alafu Urusi wakashindwa kufanya pamoja URUSI uchumi wake tofauti na Marekani.
Kuhusu vikwako anawekewa au wanawekeana?
Mzee kumbe bado hz nchi hujazijua vzr .......pamoja na marekan kuwa na uchumi mkubwa ila anuogopa RUSSIA vibaya coz hawa jamaa wana teknology kubwa za silaha kuna zingne had USA haoni ndani .......kuprove hili that's y NASA inategemea vituo vya RUSSIA Kwenda anga la mbali fuatilia miji ya RUSSIA inaitwa STAR CITY & CARPUSTIN YARD
RUSSIA ni hatare sema tu WESTERN MEDIA ZINA I VICTIMIZE
Anachokifanya Putin kwa Rusia ni sawa na alichoanza kufanya Magufuli kwa Tanzania kua yeye ndo yeye na bila yeye nchi hakiwezi kufanya mazuri. Kwa vile yeye siyo mchanga akitoweka ataiacha Rusia kwenye shida tena.
Hajifunzi kwa mpinzani wake USA ambae mifumo ndo inazungumza siyo mtu.
laiti ungejua kuwa Putin ndo aliyeirejesha RUSSIA kuwa powerful country, usingeongea hivoAnachokifanya Putin kwa Rusia ni sawa na alichoanza kufanya Magufuli kwa Tanzania kua yeye ndo yeye na bila yeye nchi hakiwezi kufanya mazuri. Kwa vile yeye siyo mchanga akitoweka ataiacha Rusia kwenye shida tena.
Hajifunzi kwa mpinzani wake USA ambae mifumo ndo inazungumza siyo mtu.
Hoja yangu imejikita kwa Putin kutengeneza mifumo imara kama mpinzani USA na iwe na uwezo wa kupandikiza viongozi huko USA na kwingineko siyo yeye kua ndo kila kitu...ikitokea akifa leo ndo tena RUSIA irudi ilikotoka? nisome vizuri tena.laiti ungejua kuwa Putin ndo aliyeirejesha RUSSIA kuwa powerful country ....usingeongea hivo
USA alipandikiza marais mbalimbali walioivunja USSR na kuivuruga kabisa RUSSIA kwenye military powerful countries ......mfano GORBACHEV, BUT UJIO WA PUTIN NDIO UMEIJENGA TENA RUSSIA KAMA UNAVOISIKIA NOW
Mkuu kwani hujawahi sikia tuhuma za Russia kuingilia uchaguzi wa USA kumsupport TRUMP .......na ukiconect dot ni kwamba trump alianza kuivuruga USA sema tu CIA waliona mbali wakampiga chin second term MAMBO YANAYOONESHA TRUMP KUWA KIVURUGEHoja yangu imejikita kwa Putin kutengeneza mifumo imara kama mpinzani USA na iwe na uwezo wa kupandikiza viongozi huko USA na kwingineko siyo yeye kua ndo kila kitu...ikitokea akifa leo ndo tena RUSIA irudi ilikotoka? nisome vizuri tena.