Mfano Dar es salaam watu wa aina hiyo wako kibao wanaitwa mamessenger wa watu binafsi unamtuma popote ofisi yeyote Hata kupeleka gari kuoshwa au gereji ,au kufuatilia maswala ya TRA,Benki,bandari,Tanesco ,kuwatuma hata wakuketee chakula kizuri kutoka restaurant unaipenda wakuketee ofisini ,kupokea mizigo stendi au abiria watoka mikoani au nje ya nchi na kuwafikisha nyumbani au hoteli nk Kwa malipo sio makubwa sana huku wewe ukiendelea na kazi yeye anasimamia huko Kila kitu.Badala wewe mfano hata kuacha kazi ukakeshe stendi kusubiri basi la nduguyo Toka mkoani waweza lala nyumbani akampokea akaja naye nyumbani bila shida nk kununua sanda ,kutafuta mahema viti, kusindikiza watoto shule na nkAisee ni akili tu kumbe kazi zipo kibao.
Asante sana, inawezekana ndiyo.Habari Dodoma messengers
Nafurahi kwa huduma hii hakika Unatakiwa kuigwa, Na wengi wanaosema hawana ajira na wako mtaani..
Sasa ningeomba kuuliza unaweza kufika Mpaka Kongwa au Unaishia Dodoma Mjini maana kuna kazi nataka nikupe ila Inahitaji kwenda kongwa
Asante sana mkuu.Hongera kwa idea nzuri mkuu. Hakika ajira hakuna ila kazi zipo.
Watu hamko serious na kazi za watu 😂Interview unapiga? Ya Chemical Processing Engineering
Mwanza hakuna ishu kubwa kubwa tena za haraka hasa za serikalini kama Dar na Dodoma mana target kubwa ya mtoa mada ipo kwa serikalinadhani waliopo mwanza na kuingineko wataiga