Natoa huduma za kushughulikia masuala mbalimbali Dodoma bila wewe kulazimika kufika hapa

Tafuta mtu Taesa tufanye mpango wa kibali cha kufanya kazi nje ya nchi..documents za mchongo..hapa dar wamenyooka hawataki kulamba asali
 
Hata wewe mhitaji wa kitambulisho cha NIDA,yawezekana uko mbali na DODOMA kwasasa,fanya mawasiliano uchukuliwe na utumiwe kama wenzako.
 
Waweza kuokoa gharama za muda na safari,kwa wewe kufanya mawasiliano kwenye 0765920855,badala ya kuja hadi DODOMA kwa jambo ambalo siyo lazima kufika sehemu ya kupatiwa huduma.
Hata wewe ambaye unapiga simu ofisi yoyote ambayo iko huku na hawapokei,usihangaike,waweza kufanya mawasiliano,ukasaidiwa kufikisha jambo lako sehemu husika.
 
Good idea ,kuna mmoja yupo dar naye anatoa huduma kama social service helper tuu yani unahitaji kununua chochote na huna muda una mpigia simu anakuletea ,una shida ya bidhaa analeta, unahita kwenda posta na hujisikii anaenda kutokana na utakavyo muelekeza, una mgeni wako wa kumpokea unamuunganisha anakupokelea mgeni wako na kukuletea hadi kwako, unahitaji kuagiza mzigo kutoka Dar na wewe upo mkoani ana kufanyia kila kitu hadi kukupakilia mzigo kwenye magari ,yani anaishi mjini kwa kazi hiyo tu , kweli watu wabunifu
 
Endelea kufanya mawasiliano kama wenzako,urahisishiwe kushughulikia suala lako ambalo halikulazimu kuwepo Dodoma sehemu ya kupatiwa huduma.Utasaidiwa kwa gharama nafuu kuliko kusafiri na kuja kulala loji,kupoteza muda na mengineyo,kusumbuliwa na hali ya hewa hasa kipindi hiki ambacho mvua inanyesha n.k
Namba ya mawasiliano ni ileile kwa kupiga au WhatsApp.0765920855 utasaidiwa kama wengine wengi.
 
JAMAa nilimpigia last month nadhani nimpe kazi,akasema ameacha hii ishu Yuko mwanza kwa Sasa.

Nashangaa Bado anapost anafanya hii ishu
Mkuu acha uongo,mbona huduma bado zinatolewa na ni wengi tu wanaendelea kuhudumiwa?
Acha uongo bhana kwa faida yako.Kama sipost huku inamaana nakua bize mimi na wenzangu,yaani kazi ni nyingi,siyo kila muda ntapost.
 

Attachments

  • IMG-20241203-WA0024.jpeg
    1.2 MB · Views: 9
Mkuu acha uongo,mbona huduma bado zinatolewa na ni wengi tu wanaendelea kuhudumiwa?
Acha uongo bhana kwa faida yako.Kama sipost huku inamaana nakua bize mimi na wenzangu,yaani kazi ni nyingi,siyo kila muda ntapost.
Sio wewe nilikupigia ukasema umepata kazi mwanza?

Nilikupa ishu ya tra.
Ukasema utakuja huku ku update Uzi kuwa hufanyi tena?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…