Ambition plus
JF-Expert Member
- Feb 23, 2018
- 6,101
- 11,381
Tafuta mtu Taesa tufanye mpango wa kibali cha kufanya kazi nje ya nchi..documents za mchongo..hapa dar wamenyooka hawataki kulamba asali
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Karibu sana.Kumekucha
Maeneo gani hapo mchele unalika zaidiUnarahisishiwa kwa kusaidiwa kutatuliwa shida yako Dodoma,kwa shughuli zis8zokulazimu wewe kuwepo Dodoma.Tuwasiliane unufaike kama wenzako.
Soko la majengo ndo kuna wanunuzi wakubwa wa mchele.Maeneo gani hapo mchele unalika zaidi
Niulizie wanavyonunua nilete maliSoko la majengo ndo kuna wanunuzi wakubwa wa mchele.
Good idea ,kuna mmoja yupo dar naye anatoa huduma kama social service helper tuu yani unahitaji kununua chochote na huna muda una mpigia simu anakuletea ,una shida ya bidhaa analeta, unahita kwenda posta na hujisikii anaenda kutokana na utakavyo muelekeza, una mgeni wako wa kumpokea unamuunganisha anakupokelea mgeni wako na kukuletea hadi kwako, unahitaji kuagiza mzigo kutoka Dar na wewe upo mkoani ana kufanyia kila kitu hadi kukupakilia mzigo kwenye magari ,yani anaishi mjini kwa kazi hiyo tu , kweli watu wabunifuMimi ni mkazi wa Dodoma, nimekuwa nikiagizwa sana na baadhi ya wadau hasahasa wale wa mbali na Dodoma na hata waliopo Dodoma,kuwatatulia matatizo mbalimbali ambayo hayawalazimu wao kufika huku (Dodoma) au sehemu husika kama wapo hapahapa Dodoma.
Kwa kufanya hivyo, huwa wanaokoa gharama za usafiri na malazi na badala yake, huchangia kiasi cha fedha, nikishamaliza kuwashughulikia hayo matatizo na kuridhika na huduma niliyoombwa kuifanya.
Mfano wa huduma ambazo mara kadhaa huambiwa niwashughulikie ni kama kwenda kwenye Wizara mbalimbali kama wizara ya mambo ya ndani, wizara ya mambo ya nje na uhusiano wa kimataifa,kupeleka barua za kuomba uanzishwaji wa viwanda vya vilipuzi, pia kwenda bodi ya mikopo ya wanafunzi wa elimu ya juu kuomba statements za mikopo yao, kwa wale wanaokuwa na lengo la kumaliza madeni yao (loan liquidation), kufuatilia barua za wale walioachishwa kazi na wameomba kurudishwa kazini, kufuatilia kwa wale waliostaafu mafao yao kwa kupeleka viambatanisho husika kwenye mifuko waliokua wanachangia, kufuatilia hati za viwanja, kuwachukulia leseni za udaktari (practicing licenses) pale Medical Council of Tanganyika (MCT), kuwachukulia transcripts baadhi ya wadau wanaozihitaji pale NACTE VET n.k
Endapo wewe ni mmoja wa wale wanaohitaji huduma zenye kushabihiana na nilizotolea mfano hapo juu na hata kuuliza tu, karibu PM au hapahapa, kama utakuwa na la kuuliza.
Asanteni.
Mawasiliano: 0765920855
Bolashaka tayari.Asante kwa ushirikiano.Niulizie wanavyonunua nilete mali
Tuko pamoja nduguBolashaka tayari.Asante kwa ushirikiano.
Wachache Sana.Hivi Kuna waliofanikiwa kupitia huyu mwamba???
Ingependeza zaidi kama wangekuja kutoa updates!
Inapendeza sana
Cc Smart911
JAMAa nilimpigia last month nadhani nimpe kazi,akasema ameacha hii ishu Yuko mwanza kwa Sasa.Wachache Sana.
Mkuu acha uongo,mbona huduma bado zinatolewa na ni wengi tu wanaendelea kuhudumiwa?JAMAa nilimpigia last month nadhani nimpe kazi,akasema ameacha hii ishu Yuko mwanza kwa Sasa.
Nashangaa Bado anapost anafanya hii ishu
Sio wewe nilikupigia ukasema umepata kazi mwanza?Mkuu acha uongo,mbona huduma bado zinatolewa na ni wengi tu wanaendelea kuhudumiwa?
Acha uongo bhana kwa faida yako.Kama sipost huku inamaana nakua bize mimi na wenzangu,yaani kazi ni nyingi,siyo kila muda ntapost.