Natoa huduma za kushughulikia masuala mbalimbali Dodoma bila wewe kulazimika kufika hapa

Natoa huduma za kushughulikia masuala mbalimbali Dodoma bila wewe kulazimika kufika hapa

Aisee ni akili tu kumbe kazi zipo kibao.
Mfano Dar es salaam watu wa aina hiyo wako kibao wanaitwa mamessenger wa watu binafsi unamtuma popote ofisi yeyote Hata kupeleka gari kuoshwa au gereji ,au kufuatilia maswala ya TRA,Benki,bandari,Tanesco ,kuwatuma hata wakuketee chakula kizuri kutoka restaurant unaipenda wakuketee ofisini ,kupokea mizigo stendi au abiria watoka mikoani au nje ya nchi na kuwafikisha nyumbani au hoteli nk Kwa malipo sio makubwa sana huku wewe ukiendelea na kazi yeye anasimamia huko Kila kitu.Badala wewe mfano hata kuacha kazi ukakeshe stendi kusubiri basi la nduguyo Toka mkoani waweza lala nyumbani akampokea akaja naye nyumbani bila shida nk kununua sanda ,kutafuta mahema viti, kusindikiza watoto shule na nk

Ni hudumu ya muda ila mtu kupewa Huwa anakuwa anajulikana sana uaminifu wake.
 
Kwa wewe ambaye huna ulazima wa kusafiri hadi Dodoma Kwa masuala yasiyokuhitaji wewe mwenyewe kuwepo eneo la kutolea huduma,wasiliana na 'Dodoma messengers' usaidiwe kupata huduma ukiwa hukohuko uliko.Hii itakufanya uokoe gharama za kusafiri,malazi,chakula na muda.
Namba ni +255765920855.
 
Mdau ambaye una jambo la kufuatilia,liwe la kiofisi au siyo la kiofisi,na halikulazimu wewe kuwepo Dodoma au upo Dodoma ila umebanwa na kazi nyingi,wasiliana na 'DODOMA MESSENGERS' kwa 0765920855,usaidiwe kulifuatilia na kulitatua ukiwa hukohuko uliko,kwa gharama nafuu
 
Je unashida na transcript NACTE na uko mbali na Dodoma,na sms yako Ina zaidi ya siku kumi toka utumiwe?
Chakufanya ni kuwasiliana na Dodoma messengers,ili urahisishiwe kuchukua na kutumiwa huko uliko.Namba ni +255765920855
 
Wewe wa Bukoba,Mwanza,Tabora na kwingineko,fanya mawasiliano kwa namba tajwa hapo juu,uweze kuwekwa kwenye orodha ya wale watakaoshughuliiwa.
 
Mawasiliano bado yanafanyika,tuwasiliane kwa wewe ambaye una shughuli Dodoma,huna wa kumuagiza na shughuli yenyewe haikulazimu wewe kuwepo eneo la huduma.
 
Epuka kusafiri kusiko na ulazima,kutoka;Chunya,Mbozi,K'manjaro,na kwingineko hadi Dodoma na kuacha shughuli zako kisa unafuatilia jambo la kiofisi au lisilo la kiofisi,lisilolazimu uwepo wako.
Wasiliana na 'DODOMA MESSENGERS' kwa 0765920855, utasaidiwa kwa gharama nafuu
 
Je uko mbali na una shida ya kuchukuliwa leseni MCT, transcript NACT VET au una jambo lolote lisilokulazimu wewe kuwepo eneo la kutolea huduma na huna wa kumuagiza?
Wasiliana na Dodoma messengers kwa 0765920855,usaidiwe.
 
Back
Top Bottom