Jicho la mganga
Member
- Feb 12, 2023
- 97
- 150
Mimi kama "Jicho la Mganga" nafikisha ujumbe huu kutoka kwa Wilfred kwenda kwa viongozi wa Tanesco! Wilfred anasema!
Takribani miezi miwili sasa Tanesco wananihangaisha!
Uungwana wangu hauna maana kwao!
Niliomba umeme pale tanesco tankibovu, kwa kufuata taratibu zote, wakaja kunipimia na kuniambia niwape laki tano ili waniletee umeme!
Nikawapatia ili wanipatie umeme, baadae nikashangaa tena wananitumia Bili ya kulipia ya zaidi ya milioni 3;
Nikahoji ile laki tano mlichukua ya nini? Nikaona ni utapeli
Nikaamua kuripoti kwa viongozi wakubwa ili kupata msaada!
Wakubwa Wakamwamuru yule samweli na wenziwe aliyechukua ile laki tano wanirejeshee, wakaniita nikaifuata ile laki tano pale tanesco mbezi!
Baada ya hapo wale viongozi wakatuma mpimaji mwingine kutoka mikocheni, yule mpimaji akasema ile gharama inarekebishika, akadai imekuwa kubwa vile kwasababu ya kibanda,
Akashauri endapo kama kingejengwa chumba cha tofali gharama ingepungua angalau 1.6mil
Nikasema nikotayali kujenga na kulipa hiyo 1.6mil lakini siyo ile zaidi ya 3mil
Chumba cha tofali kilijengwa, na vifaa vya umeme tukafunga upya kwenye chumba kipya!
Nimeomba tena umeme upya tanesco!
Tanesco Wala hawajataka hata kuja kukagua bali wamenijibu juu kwa juu tu kwamba nilipie Ile bili kubwa ya zamani ya zaidi ya 3mil!
Nilichogundua wananikomoa kwa kuwadai laki tano yangu pia wanalindana, viongozi wanawalinda hawa walionichukulia laki tano ndiyo maana hata sijarudishiwa repoti ya kipi kinaendelea zaidi ya kukomolewa tu!
Viongozi mikocheni hawajanisaidia zaidi wananiambia nirudi kwa walewale walionichukulia laki tano!
Nimetafakali nimegundua kama viongozi wanawakingia kifua wafanyakazi matapeli huenda ndiyo maana hawakuogopa kunitapeli ile laki tano!
Nimekuwa muungwana kuwafikishia malalamiko yangu viongozi, lakini badala ya kushukuru na kunishauri kwa hekima ya kunisaidia hawana zaidi ya kunikomoa ili walindane wao!
Sasa kwakuwa wanatumia mamlaka yao kunikomoa na kuninyima umeme ili walindane!
Nawapa siku 14 kwa viongozi wote tanesco niliowafikishia malalamiko yangu na hawataki na umeme wao!
Baada hapo namuachia Mungu atajua pa kuwapeleka na hili ni tamko la mwisho!