Natoa siku 14 kwa viongozi wa Tanesco walioshiriki kuninyima umeme mbezi beach!

Natoa siku 14 kwa viongozi wa Tanesco walioshiriki kuninyima umeme mbezi beach!

TANESCO ni nini mnafanya mnatukatia umeme ovyo ovyo makunyanzi kabisa haya umeme siku nzima mnakata na mda huu pia mnakata
 
Mtu amepewa usafiri,nyumba,vocha na mshahara mnono halafu anakula rushwa kwa mvuja jasho.
Nchi inalaana ya rushwa. Wakikosea hawaadhibiwi bali wanahamishwa
Sijui watanzania tukoje

Ova
 
Wanalipwa mshahara,wanapewa magari,wanalipiwa nyumba
Lakini kwenye kutoa huduma...mpk rushwa
Hivi hii si laana au

Ova
 
Back
Top Bottom