Natoa siku 14 kwa viongozi wa Tanesco walioshiriki kuninyima umeme mbezi beach!

Natoa siku 14 kwa viongozi wa Tanesco walioshiriki kuninyima umeme mbezi beach!

Tanesco kuna wala rushwa wakubwa
Siku moja niliulizia kwenye gari lao la emergency utaratibu wa kupata mita ya ziada
Bwanae wakaniambia epuka usumbufu kama una laki tano tukufungie sasa hivi nikawapa kweli wakafunga
Siku ya pili likaja lile Lori lao la nguzo wakaruka watano na kudai risiti za hiyo mita kama sina niwape laki nne au waing'oe na kunipeleka polisi kwa kukutwa na mita ya wizi,nikawapa laki na nusu wakaondoka. Nikatafuta kishoka akaimg'oa ni angalie zali kwanza ,wiki moja baadaye likaja lile half truck la wakiulizia iwapi ile mita sikuwajibu kitu wakaondoka
Nyumba imo ndani ndani sio hata barabarani
Tanesco Magomeni Mungu anawaona
Yaani umetumia gharama uliyoukwepa
 
Panahitaji nguzo ngapi?
Umeme wa nyumbani/kiwanda au workshop?
 
Viongozi wote wanayo taarifa na wameamua kuipuuzia! Siku 14 zikiisha mmoja mmoja Mungu atashughulika naye!
Kwa sababu wao wa ndani wameshindwa kusuluhisha, inabidi taasisi zingine zenye mamlaka zisuluhishe. Kama una hofu, unaweza kuwasiliana na wakili yoyote ukampa hiyo kazi.
 
Uliposema unawapa siku 14 enhee nikajua sasa kinachofata hapo ni ubandidu [emoji4] but umenikata maini kabisa hapo mwisho uliposema unamuachia Mungu [emoji16][emoji16]
 
Ni kosa la jinai kutoa ama kupokea rushwa ama kushawishi rushwaaa
 
Ni kosa la jinai kutoa ama kupokea rushwa ama kushawishi rushwaaa
Wafanyakazi ndiyo wataalam! Walisema ni laki tano ni ya umeme! Baada ya kutuma tena bili nyingine ndo ilishangaza laki tano walichukua ya nn!
Mtaalam akisema lipa hivi nikupe ume e si utamuamini hata kama anakutapeli? Aliyetakiwa kumuelekeza mwenzake nani?
 
UliWafanyakazi ndiyo wataalam! Walisema ni laki tano ni ya umeme! Baada ya kutuma tena bili nyingine ndo ilishangaza laki tano walichukua ya nn!
Mtaalam akisema lipa hivi nikupe ume e si utamuamini hata kama anakutapeli? Aliyetakiwa kumuelekeza mwenzake nani?
Ulitoa 500k ukiwa unatambua ni kiwahonga ama ulikuwa hujui? Manake apa umeamua mwaga mboga nao watamwaga ugalii, upewapo majibu nasi tupe mrejesho
 
Back
Top Bottom