Natoa siku 14 kwa viongozi wa Tanesco walioshiriki kuninyima umeme mbezi beach!

Yani mashirika haya sijui ya kiserikali hovyo sana, ukidai haki yako wanakupa mabili ya kukukomoa zaidi..
yani wanataka wakisema million 3 utoe kama kondoo
Kunatakiwa kuwe na Ushindani wa mashirika binafsi na wao kwa kuliona hilo imekua ngumu naona..Maana kungekua na Tanesco wengine, dawasco wengine nk
Nguzo si bure
 
Ni noma. Sema tu kwakuwa mazingira hatujayaona labda mtu ungeweza kumpa ushauri wa kitaalamu.
😅 😅 😅 😅 avunje nyumba aweke ndogo kwa kweli,
huu uhuni wa kujenga kakibanda pembeni kisha unavuta 1phase, kisha wanasambaza kwenye hekalu, ni mtindo ambao unashika kasi, hata nilipo huku

washauri wakiwa ni artisans wa tanesco

maana yake ikifika saa 1 usiku, umeme unasoma 130V
 
Inawezekana ni eneo la biashara pia. Ila mafundi mitaani wao wanachujua ni kukeketa nyaya na kutandaza conduit.

Unaweza kwenda site ukaona ujinga uliofanyika mpaka ukajiuliza huyu mtu kama hata ana ABC za umeme au hata problem solving skills.
 
😅 😅 😅 😅
nilipata ona sehemu, jamaa alivuta 2.5mm² akalisha block la ofisi zima, lenye vyumba 12, ofisi ina AC kama 10 hivi, achilia mbali vifaa vingine

pigwa na butwaa moja hatari sana,
 
😅 😅 😅 😅 avunje nyumba aweke ndogo kwa kweli,
huu uhuni wa kujenga kakibanda pembeni kisha unavuta 1phase, kisha wanasambaza kwenye hekalu, ni mtindo ambao unashika kasi, hata nilipo huku

washauri wakiwa ni artisans wa tanesco

maana yake ikifika saa 1 usiku, umeme unasoma 130V
Umeme uko hapohapo jilani kabisa na watu wengine jilani wanatumia ni mbezi beach hapo nyuma ya ghorofa la Kkkt CCM mnaweza sogea kujionea!
 
kiongozi wajuu ndio tatizo.enzi za magu hawatenesko tuliwasifu kwa ufanyaji kazi wao.

kiongozi wajuu shidaaa siasa nyingii ndio Mana magu alipiga lock siasa watu wakachapa kazi na matunda tuliyaona kwamda mfupi.wachache walilalamika wengi walifurahi
GharAma za kuvuta umeme 3 phase umbali wa mita 100 yaani span 2 nilitozwa mil 2.5
kuhamisha DB unaokoa pesa kiduchu maana bado iko kwenye compound humohumo

inavyoonekana nyumba ni kubwa, so ni haki kuvuta fezi 3, mpaka hapo gharama zishapanda

kupata nguzo ya fez 3 iko mbali na nyumba, mf: mita 120 huko, so hapo gharama zinapanda tena kuvuta mpaka kwake, achilia mbali vikwazo vililivyo njiani line inapopita, gharama tena

kashauriwa ajenge kakibanda kadogo wapige wiring ili wamvutie 1 phase kupunguza gharama , alafu waongeze tatizo za Low Voltage 😬 baadaye huko
Gharama ya 3 phase kwa span 2 yaani mita 100 mm niliambiwa kulipa mil 2.5. Hiyo mita 120 kwa milion 3 inaweza ikawa sawa. Nakushauri alipie afungiwe maana mm niko mkoa tofauti na yeye bado gharama zinaonekana zina uwiano fulani.

hivi enzi za magu watu walifungiwa kwa Bei sawa na bure.sasa hivi kunashindikana Nini?
 
GharAma za kuvuta umeme 3 phase umbali wa mita 100 yaani span 2 nilitozwa mil 2.5

Gharama ya 3 phase kwa span 2 yaani mita 100 mm niliambiwa kulipa mil 2.5. Hiyo mita 120 kwa milion 3 inaweza ikawa sawa. Nakushauri alipie afungiwe maana mm niko mkoa tofauti na yeye bado gharama zinaonekana zina uwiano fulani.
Umeme uko hapo hapo jilani nguzo unaiona hivi! Mje muone hapa nyuma ya ghorofa la kkkt ccm!
Umeme upo
 
Watu waajabu kabisa, Weng wanalaumu kwa kuambiwa wana laana Au kwa kuitwa manyani na sio kwamb wanaonewa ila ni Jambo la kweli. BLACKs ni Abnormal Human Being. Hapo wanafurah kumkomoa mwenzao kwa kutopewa Rushwa at first place as if it's something they deserve. Inhumanity na ignorance ndo mambo yametawala kwa Blacks and can't vanish ni Kama vile something inborn kutok Huyu Muumba wa Ulimwengu

Pole sana Mkuu
Ifike mahala waafrika tupendane tuache kufanyiana tamaa na ubinafsi baina yetu.
 
Hiyo nia ya kila mwananchi anufaike na umeme na gesi. Iko wapi?

Uzuri mmoja Haki haifi wala kupotea. Watanzania wanapenda kufurahia maliasili za nchi yao.

Ndio mana awamu ya 5. Alikubalika ingawa maisha yalikuwa hayana tofauti ama magumu zaidi ya sasa.

Kwanini Wahusika mmevia Brains hampendi kujifunza?
 
Tanesco kuna wala rushwa wakubwa
Siku moja niliulizia kwenye gari lao la emergency utaratibu wa kupata mita ya ziada
Bwanae wakaniambia epuka usumbufu kama una laki tano tukufungie sasa hivi nikawapa kweli wakafunga
Siku ya pili likaja lile Lori lao la nguzo wakaruka watano na kudai risiti za hiyo mita kama sina niwape laki nne au waing'oe na kunipeleka polisi kwa kukutwa na mita ya wizi,nikawapa laki na nusu wakaondoka. Nikatafuta kishoka akaimg'oa ni angalie zali kwanza ,wiki moja baadaye likaja lile half truck la wakiulizia iwapi ile mita sikuwajibu kitu wakaondoka
Nyumba imo ndani ndani sio hata barabarani
Tanesco Magomeni Mungu anawaona
 
Jamaa wamemtoa upepo
 
Mil 3 for what au umeme wa kiwandani,Mimi nililipia elfu 27,siku 14 wakawasha umeme,
Ila nakushauri lipia wacha Karma ifanye kazi yake,dunian hakuna haki tutalipana kwa muumba
 
Back
Top Bottom