Nguzo si bureYani mashirika haya sijui ya kiserikali hovyo sana, ukidai haki yako wanakupa mabili ya kukukomoa zaidi..
yani wanataka wakisema million 3 utoe kama kondoo
Kunatakiwa kuwe na Ushindani wa mashirika binafsi na wao kwa kuliona hilo imekua ngumu naona..Maana kungekua na Tanesco wengine, dawasco wengine nk
😅 😅 😅 😅 avunje nyumba aweke ndogo kwa kweli,Ni noma. Sema tu kwakuwa mazingira hatujayaona labda mtu ungeweza kumpa ushauri wa kitaalamu.
Inawezekana ni eneo la biashara pia. Ila mafundi mitaani wao wanachujua ni kukeketa nyaya na kutandaza conduit.😅 😅 😅 😅 avunje nyumba aweke ndogo kwa kweli,
huu uhuni wa kujenga kakibanda pembeni kisha unavuta 1phase, kisha wanasambaza kwenye hekalu, ni mtindo ambao unashika kasi, hata nilipo huku
washauri wakiwa ni artisans wa tanesco
maana yake ikifika saa 1 usiku, umeme unasoma 130V
😅 😅 😅 😅Unaweza kwenda site ukaona ujinga uliofanyika mpaka ukajiuliza huyu mtu kama hata ana ABC za umeme au hata problem solving skills.
Umeme uko hapohapo jilani kabisa na watu wengine jilani wanatumia ni mbezi beach hapo nyuma ya ghorofa la Kkkt CCM mnaweza sogea kujionea!😅 😅 😅 😅 avunje nyumba aweke ndogo kwa kweli,
huu uhuni wa kujenga kakibanda pembeni kisha unavuta 1phase, kisha wanasambaza kwenye hekalu, ni mtindo ambao unashika kasi, hata nilipo huku
washauri wakiwa ni artisans wa tanesco
maana yake ikifika saa 1 usiku, umeme unasoma 130V
GharAma za kuvuta umeme 3 phase umbali wa mita 100 yaani span 2 nilitozwa mil 2.5kiongozi wajuu ndio tatizo.enzi za magu hawatenesko tuliwasifu kwa ufanyaji kazi wao.
kiongozi wajuu shidaaa siasa nyingii ndio Mana magu alipiga lock siasa watu wakachapa kazi na matunda tuliyaona kwamda mfupi.wachache walilalamika wengi walifurahi
Gharama ya 3 phase kwa span 2 yaani mita 100 mm niliambiwa kulipa mil 2.5. Hiyo mita 120 kwa milion 3 inaweza ikawa sawa. Nakushauri alipie afungiwe maana mm niko mkoa tofauti na yeye bado gharama zinaonekana zina uwiano fulani.kuhamisha DB unaokoa pesa kiduchu maana bado iko kwenye compound humohumo
inavyoonekana nyumba ni kubwa, so ni haki kuvuta fezi 3, mpaka hapo gharama zishapanda
kupata nguzo ya fez 3 iko mbali na nyumba, mf: mita 120 huko, so hapo gharama zinapanda tena kuvuta mpaka kwake, achilia mbali vikwazo vililivyo njiani line inapopita, gharama tena
kashauriwa ajenge kakibanda kadogo wapige wiring ili wamvutie 1 phase kupunguza gharama , alafu waongeze tatizo za Low Voltage 😬 baadaye huko
kuhamisha DB unaokoa pesa kiduchu maana bado iko kwenye compound humohumo
inavyoonekana nyumba ni kubwa, so ni haki kuvuta fezi 3, mpaka hapo gharama zishapanda
kupata nguzo ya fez 3 iko mbali na nyumba, mf: mita 120 huko, so hapo gharama zinapanda tena kuvuta mpaka kwake, achilia mbali vikwazo vililivyo njiani line inapopita, gharama tena
kashauriwa ajenge kakibanda kadogo wapige wiring ili wamvutie 1 phase kupunguza gharama , alafu waongeze tatizo za Low Voltage 😬 baadaye huko
hivi enzi za magu watu walifungiwa kwa Bei sawa na bure.sasa hivi kunashindikana Nini?GharAma za kuvuta umeme 3 phase umbali wa mita 100 yaani span 2 nilitozwa mil 2.5
Gharama ya 3 phase kwa span 2 yaani mita 100 mm niliambiwa kulipa mil 2.5. Hiyo mita 120 kwa milion 3 inaweza ikawa sawa. Nakushauri alipie afungiwe maana mm niko mkoa tofauti na yeye bado gharama zinaonekana zina uwiano fulani.
Umeme uko hapo hapo jilani nguzo unaiona hivi! Mje muone hapa nyuma ya ghorofa la kkkt ccm!GharAma za kuvuta umeme 3 phase umbali wa mita 100 yaani span 2 nilitozwa mil 2.5
Gharama ya 3 phase kwa span 2 yaani mita 100 mm niliambiwa kulipa mil 2.5. Hiyo mita 120 kwa milion 3 inaweza ikawa sawa. Nakushauri alipie afungiwe maana mm niko mkoa tofauti na yeye bado gharama zinaonekana zina uwiano fulani.
Ifike mahala waafrika tupendane tuache kufanyiana tamaa na ubinafsi baina yetu.Watu waajabu kabisa, Weng wanalaumu kwa kuambiwa wana laana Au kwa kuitwa manyani na sio kwamb wanaonewa ila ni Jambo la kweli. BLACKs ni Abnormal Human Being. Hapo wanafurah kumkomoa mwenzao kwa kutopewa Rushwa at first place as if it's something they deserve. Inhumanity na ignorance ndo mambo yametawala kwa Blacks and can't vanish ni Kama vile something inborn kutok Huyu Muumba wa Ulimwengu
Pole sana Mkuu
hahahaaamost likely ni 3 phase + umbali + vikwazo hapo kati kati
numbiiiiiiiiiiiiii kipenziii? hujambo?Ni mwendo wa kutoa masaa tu
Jamaa wamemtoa upepoTanesco kuna wala rushwa wakubwa
Siku moja niliulizia kwenye gari lao la emergency utaratibu wa kupata mita ya ziada
Bwanae wakaniambia epuka usumbufu kama una laki tano tukufungie sasa hivi nikawapa kweli wakafunga
Siku ya pili likaja lile Lori lao la nguzo wakaruka watano na kudai risiti za hiyo mita kama sina niwape laki nne au waing'oe na kunipeleka polisi kwa kukutwa na mita ya wizi,nikawapa laki na nusu wakaondoka. Nikatafuta kishoka akaimg'oa ni angalie zali kwanza ,wiki moja baadaye likaja lile half truck la wakiulizia iwapi ile mita sikuwajibu kitu wakaondoka
Nyumba imo ndani ndani sio hata barabarani
Tanesco Magomeni Mungu anawaona
Pole sana ndugu inamaana huyo aliyechukua laki tano ndiyo kakujibu hivyo!Aliyechukua laki tano eti huyohuyo ndo ndo tunatarajia awe savea wa mlalamikaji! Ajabu kweli Tanesco
Hiyo laki 5 ilirudishwa hivyi siyo rushwaMaisha yamekuwa magumu hadi mtoa rushwa anakuja kumshtaki mpokea rushwa kwenye mitandao ya kijamii bila kujali ni kina nani na nani watasoma alichoandika.