Natoa siku 14 kwa viongozi wa Tanesco walioshiriki kuninyima umeme mbezi beach!

Cna hamu na Tanesco chanika walikula 150,000/yangu mpaka leo sijawahi patiwa huduma,,,kile kirimoti chao kiliharibika nikawa nashindwa ilipia umeme nikawafata Tanesco wakaniambia hivyo virimoti vimepitwa na wakati ,,ivo nilipie mita mpya,waje wanifungie nikafanya ivo ,baada ya kupewa controlNumber,,,.nikaambiwa ndan ya cku tatu ,watakuja mpaka ,,Mpaka leo kimya.nimefatilia nimechoka ikabid nimtafute fundi wa pale akakata mfuniko ivo nikitaka kuweka umeme mpaka nitumie ngaz,,,Nawachukia Tanesco toka moyoni mwangu
 
Subili siku 14 kwani mbali basi! Si usubili! wao si wana mamlaka tutaona nani ana mamlaka zaidi
 
Hii taarifa PCCM waidake chap... Ili wafanye kazi yao
 
Naona JF imekuwa sehemu ya kupigana mikwara sasa..mwingine saa 72..wewe siku 14 .

Mimi ngoja nije na thread nitoe siku 10 tu kwa Benki waniwekee 100M kwenye akaunti yangu mimi run CMD baada ya hapo tusilaumiane
 
Mil 3 for what au umeme wa kiwandani,Mimi nililipia elfu 27,siku 14 wakawasha umeme,
Ila nakushauri lipia wacha Karma ifanye kazi yake,dunian hakuna haki tutalipana kwa muumba
Itakuwa jamaa wamemuona hamnazo
 
Unaweza kukuta malipo ni halali lakini kutokana na hiyo mizengwe hakuna anayewaamini tena.
Siyo kweli kutoka chumba kilipo hadi kwenye nguzo ya umeme ni hatua 25 tu! Na yule mpimaji wao wa pili alithibitisha hilo kwamba pakijengwa bei itakuwa chini! Lakini majibu ya TANESCO hapo juu ni dhahili amejibu yuleyule aliyekula laki tano
 
TANESCO mnaona mlivo matapeli.
Hii week toka imeanza umeme umekata mchana mara mbili usiku mara tatu.
Hii huu si upuuzi wa hali ya juu
 
Una moyo wa kipekee..mimi wangeirudisha hiyo hela
 
Mtu amepewa usafiri,nyumba,vocha na mshahara mnono halafu anakula rushwa kwa mvuja jasho.
Nchi inalaana ya rushwa. Wakikosea hawaadhibiwi bali wanahamishwa
Inaumiza sana mtu anakopa ili ajikwamue halafu anakwamishwa na watumishi waliotakiwa kumsaidia
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…