Kadhi Mkuu 1
JF-Expert Member
- Feb 4, 2015
- 19,687
- 23,689
Mbina mnapiga picha magongo tuu, wenye magongo wako wapi? Acha kuleta usanii nataka aje aliyekuwa kilema na kapona athibitishe siyo picha za magongo ambayo hayana wenyewe.Wote hawa wamelipwa?
View attachment 2387085
Sawa umeleta picha za magongo, hayo yanatengenezwa na mafundi seremala, wenye magongo wako wapi na kwanini wamebebewa ? Lete picha za wenye magongo siyo picha za magongo.Wote hao wamelipwa? Magongo zaidi ya 100,
View attachment 2387086
Ila hukuwapiga picha hao walemavu ukaenda kupiga picha magongo ndo usema walemavu?Hawa uwanjani tumewaona
Uende ukaharibu biashara za watu zenye leseni utamalizwa. Watoke waje!Kwanini hawa manabii wasifanye miujiza muhimbili kitengo.cha mifupa au milembe pale watu waokoe gharama. Hilo tu liwe live tv na radio zote+social media. Nami nitajiunga bila kupinga.
Acha ukichwa ngumu jibu swali la Demi au kama sio wewe hata ndugu yakoYani utapeli kivipi? Taja fact
Siwashangai,hata yesu kuna watu hawakumuamini mbaka siku ya mwisho .
Mimi nilikuwa simuamn,ila naanza kumuakini
Kwa Songea na njaa hii, debe mbili za mahindi tu kila mmoja atakubali kwenda na magongo na kujifanya ndio kaponywa.Kama kichwa cha habar hapo juu, ujio wa Mwamposa, Songea ni neema.
Umeleta uponyaji mkubwa sana, vilema wanatembea, vipofu wanaona, hiyo haina kupinga.
Mimi nilikuwa simuamini lakini kwasasa naanza kumuamini.
View attachment 2387081
Fuatilia maisha ya hao walemavu walioponywa hapo, maisha yao kiasi cha wiki mbili kabla ya kuponywa. Utakuta walikuwa wanatembea vizuri na kulima bila mkongojo. Baada tu ya Tapeli kuingia mjini mara wote walemavu.Yani utapeli kivipi? Taja fact
Magongo yote mapya! I see!Wote hao wamelipwa? Magongo zaidi ya 100,
View attachment 2387086
We jamaa tumia akili, magongo mapya hayo?
Kila mtu anasema utapeli ila ukimuulza utapeli kivipi anakuwa hana fact,
Alafu inaonekana fundi wa magongo ni mmoja🤣🤣 same designNitakuwa mtu wa mwisho kuamini hayo maigizo yenu.
yaani uwe kilema (mlemavu wa viungo), halafu from nowhere, utembee kwa sababu ya kuombewa na Mwamposa!!
Magongo yenyewe karibia yote yanaonekana kuwa ni mapya! Hakika hii nchi ina wajinga wengi kweli kweli. Wacha tu ccm iendlee kunufaika kupitia huu ujinga wa Watanzania walio wengi.
Kila mtu anasema utapeli ila ukimuulza utapeli kivipi anakuwa hana fact
Hyo sabbu namba 2 nakujibu hvi, kama zinatumika nguvu za mungu sasa kwann unampinga mwamposa wakati anatumia biblia ambalo ni neno la mungu?