Natubu: Nilikuwa simuelewi Mwamposa, ila kwa idadi ya viwete walioponyeshwa Songea naanza kumuamini

Natubu: Nilikuwa simuelewi Mwamposa, ila kwa idadi ya viwete walioponyeshwa Songea naanza kumuamini

Kwanini hawa manabii wasifanye miujiza muhimbili kitengo.cha mifupa au milembe pale watu waokoe gharama. Hilo tu liwe live tv na radio zote+social media. Nami nitajiunga bila kupinga.
Uende ukaharibu biashara za watu zenye leseni utamalizwa. Watoke waje!
 
Kama kakutuma Ili umpigie Promo hapa rudi Kwake kamwambie GENTAMYCINE namuuliza kama anatibu Vilema Wote mbona Mdogo wake wa Damu ( toka nitoke ) ana Ulemavu ila ameshindwa Kumponyesha?

Mpe pongezi zangu nyingi kwa Siku hizi kuwahama Wanaijeria na sasa Kutumia zaidi 'Ndumba' Kali kutoka Congo DR na Mozambique ambazo zinamsaidia Kuvutia Watu na Kuponya Watu Kiuchawi ( Kiunyangindo )

Mwambie kuwa haya huwa na mwisho.
 
Serikali unatumia magharama wizara ya afya wakati Mwamposa yupo [emoji13][emoji13][emoji13][emoji13]

Vita ya kiuchumi na nchi ina Mwamposa - Imagine [emoji13][emoji13][emoji13][emoji13]
 
😀😀mbona kama magongo ni mapya na yanafanana.

Kama kongamano linaendelea peleka kilema au kipofu unayemjua akipona mwamini
 
Kama kichwa cha habar hapo juu, ujio wa Mwamposa, Songea ni neema.

Umeleta uponyaji mkubwa sana, vilema wanatembea, vipofu wanaona, hiyo haina kupinga.

Mimi nilikuwa simuamini lakini kwasasa naanza kumuamini.

View attachment 2387081
Kwa Songea na njaa hii, debe mbili za mahindi tu kila mmoja atakubali kwenda na magongo na kujifanya ndio kaponywa.

Wajinga ndio waliwao, uchungaji ni ajira pevu. Ngoja nikaiangalie tena ile filamu ya "Fake pastors"
 
Yani utapeli kivipi? Taja fact
Fuatilia maisha ya hao walemavu walioponywa hapo, maisha yao kiasi cha wiki mbili kabla ya kuponywa. Utakuta walikuwa wanatembea vizuri na kulima bila mkongojo. Baada tu ya Tapeli kuingia mjini mara wote walemavu.
 
Nitakuwa mtu wa mwisho kuamini hayo maigizo yenu.
yaani uwe kilema (mlemavu wa viungo), halafu from nowhere, utembee kwa sababu ya kuombewa na Mwamposa!!

Magongo yenyewe karibia yote yanaonekana kuwa ni mapya! Hakika hii nchi ina wajinga wengi kweli kweli. Wacha tu ccm iendlee kunufaika kupitia huu ujinga wa Watanzania walio wengi.
Alafu inaonekana fundi wa magongo ni mmoja🤣🤣 same design
 
Kila mtu anasema utapeli ila ukimuulza utapeli kivipi anakuwa hana fact

Hyo sabbu namba 2 nakujibu hvi, kama zinatumika nguvu za mungu sasa kwann unampinga mwamposa wakati anatumia biblia ambalo ni neno la mungu?

Wewe Ni muongo. Mara ya kwanza ulisema ulikuwa humuamini ila jinsi unavyomtetea ni Kama ni shemasi wake tokea zamani.
 
Back
Top Bottom