Natubu: Nilikuwa simuelewi Mwamposa, ila kwa idadi ya viwete walioponyeshwa Songea naanza kumuamini

Mimi nipo Songea , pana siri kubwa usiyoijua . Hongera kwa kumwamini na kumtumikia rasmi mnyama atokeaye nchi kavu . Atawapoteza wengi kwa ishara na
Miujiza . Yamkini hata wataule
Hujaeleweka mkuu
 
Kama kichwa cha habar hapo juu, ujio wa mwamposa songea ni neema.

Umeleta uponyaji mkubwa sana, vilema wanatembea, vipofu wanaona, hiyo haina kupinga.

Mimi nilikuwa simuamini lakini kwasasa naanza kumuamini.

View attachment 2387081
Hao walioponywa, kuna uliyekuwa unamfahamu kabla kwamba alikuwa kiwete..!?
 
Nchi hii wajinga na wapumbav ni asilimia 90 ,unafikiri Una nchi hapo au misukule ? , yaani hivyo vichwa vilivyopo hapo na michango wanayotoa inajenga kiwanda kabisa ,yaani makanisa ya kipumbav na kitapeli yanaingiza pesa kuliko viwanda
Unavyojifanya unahuruma na hao watu utadhani walishakuja kwako kuomba hata mia..kaa kutulia.

#MaendeleoHayanaChama
 
Acha ujinga inamaana hujui hata Kristo alisema mkiamini mnaweza tenda matendo makubwa zaidi..au unawekea mipaka miujiza..chochote kinaweza kutumia kupitishia mujiza..mafuta yalitumika kama upako..pia kirsto alisha mponya kipofu kwa kumpaka tope machoni pake na kumwambia akanawe kisha akaona.

Acheni uhafidhina.

#MaendeleoHayanaChama
 
Nchi hii wajinga na wapumbav ni asilimia 90 ,unafikiri Una nchi hapo au misukule ? , yaani hivyo vichwa vilivyopo hapo na michango wanayotoa inajenga kiwanda kabisa ,yaani makanisa ya kipumbav na kitapeli yanaingiza pesa kuliko viwanda
Na ndio maana maccm Kila siku yanashinda kwa kishindo misukule ipo mingi sana
 
Iviii wewe mtoa mada akili yako fyatuuuu,,,,

Kusoma hujui hata picha uoni.... Inamaana uko uliko uko hao walemavu wako wa aina moja tu.... kwa nilivyo kategemea nilitegemea kuwaona walemavu wa aina tofauti tofauti mfano mlemavu wa akili,Macho,mikoni,miguu nk.....

Sasa hapo wewe ukiangalia kwa haraka-haraka ujiulizi k2....

Walemavu wote wa aina moja...


wewa si-bure kichwani hazimo na tena ninawasiwasi na wewe naisi UNATUMIA KICHWA CHA CHINI KUFIKIRIA BADALA YA_______________.....!!!!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…