Natubu: Nilikuwa simuelewi Mwamposa, ila kwa idadi ya viwete walioponyeshwa Songea naanza kumuamini

Natubu: Nilikuwa simuelewi Mwamposa, ila kwa idadi ya viwete walioponyeshwa Songea naanza kumuamini

Ushahidi huo kwenye picha
Ushahidi gani huo, mbona hakuna mtu ambaye anaonekana clearly hapo? Kwani hakuna picha hata ya mmoja ambaye anaonekana vizuri kabisa? Hiyo picha huwezi mtambua yeyote na mmefanya makusudi mana mnajua mtaumbuka. Weka picha ambayo mtu anaonekana vizuri tukupe details zake hapa hapa
 
Kama kichwa cha habar hapo juu, ujio wa Mwamposa, Songea ni neema.

Umeleta uponyaji mkubwa sana, vilema wanatembea, vipofu wanaona, hiyo haina kupinga.

Mimi nilikuwa simuamini lakini kwasasa naanza kumuamini.

View attachment 2387081
Usanii mtupu, hao baadae wanalipwa kwa igizo hilo. Kuna manabii wananunua wheelchairs mpya kabisa na ku train watu waigize kuwa walemavu ili kupata attention za watu na kuvuna sadaka. Hawa ma chalartan, watakokota wengi motoni. My people are destroyed by the lack of knowledge Hosea 4 :6.
Kama unatubu tubu kwa ajili ya dhambi zako mbele za Mungu wako na sio kwa sababu za miujiza fake.
 
Ushahidi gani huo, mbona hakuna mtu ambaye anaonekana clearly hapo? Kwani hakuna picha hata ya mmoja ambaye anaonekana vizuri kabisa? Hiyo picha huwezi mtambua yeyote na mmefanya makusudi mana mnajua mtaumbuka. Weka picha ambayo mtu anaonekana vizuri tukupe details zake hapa hapa
Hudhuria kwenye mkutano utajishuhudia
 
Ndiyo maana mimi naomba picha ya mmoja tu aliyepona
Utasikia ''amefufuliwa'' , utaona magongo ya walemavu kama hayo, lakini katu hutaona mtu unayemfahamu ambaye alikuwa mlemavu halafu anatembea au mtu aliyefariki halafu akafufuka. Huwa nasema hawa watu ndiyo wanafanya watu wazidi kukata tamaa na imani za dini kwa sababu hii hali ya kudanganya haiwezi kuendelea hivi muda wote. Kuna kipindi watu wengi watakuja kushitukia.
 
Kuna siku nlkuwa naangalia semina ya nabii flan simkumbuki jina, kuna mama alikuwa anatoa ushuhuda anasema alileta mtungi wa gesi miezi mitatu iliyopita na mpaka sasa bado anatumia kupikia kila kitu na gesi haijawahi kuisha.
 
Unaweza leta ushahidi wa mtu unayemfahamu kuwa alikuwa kiwete miaka yote lakini kwa sasa kaponywa?
Sina ndugu wakaribu wala jamaa ambao ni viwete...so sina huo ushahidi.

Wewe kama unao leta hujauziwa.

#MaendeleoHayanaChama
 
Kuna siku nlkuwa naangalia semina ya nabii flan simkumbuki jina, kuna mama alikuwa anatoa ushuhuda anasema alileta mtungi wa gesi miezi mitatu iliyopita na mpaka sasa bado anatumia kupikia kila kitu na gesi haijawahi kuisha.
[emoji23][emoji23][emoji23]
 
Kwangu imekuwa kinyume chake nilikuwa namuamini sana jamaa... Ila jana akiwa songea nimeshuhudia mtu anatoa ushuhuda eti ameponywa alikuwa hatembei miaka miwili wakati ni mkazi wa mbinga tena maarufu sana alikuwa afisa mazingira na hajawahi pata ulemavu hata siku moja... Nikafunguka akili namna pesa ilivokuwa ngumu.
 
Nitajie jina la huyo afisa[emoji16][emoji16][emoji16][emoji16]

Watu wanajua kuigiza bana[emoji16]
 
Back
Top Bottom