Hata kama ni Sovereignty state.
Serikali ya Tanzania imeonywa sana, acheni kuwanyanyasa wananchi wenu, acheni kuwaua wananchi wenu, acheni kuwatesa, kuwateka, kuwabambikia kesi.
UN imeonya, EU imeonya, US imewaonya hata Kanisa limewaonya achaneni na kesi ya mchongo ya Lissu, mruhusu demokrasia ya vyama nchini, uhuru wa kujieleza, uhuru wa vyombo vya habari.
Khamenei alionywa kwa muda mrefu kama tunavyoonywa sisi asiue wananchi wake, he ordered 'shoot to kill' thousands of Iranian people, leo wamekula kichwa ndani ya masaa 2 tu baada ya vita kuanza.
Kama serikali ya CCM haijajifunza na kama hajajifunza atajifunzia kaburini.
Who are you!?Hata kama ni Sovereignty state.

Walishamjibu wakampa homework kwa Maduro leo wamempa homework nyingine kwa khamenei kama hataelewa somo basi kichwa chake kitakuwa kigumu.Who are you!?
nonsense,Hata kama ni Sovereignty state.
Ayatollah Khamenei na serikali yake ya Islamic Republic of Iran walionywa kwa muda mrefu kama tunavyoonya sisi, he ordered 'shoot to kill' thousands of Iranian people, leo wamekula kichwa ndani ya masaa 2 tu baada ya vita kuanza.
Serikali ya Tanzania imeonywa sana, kuwa, acheni kuwanyanyasa wananchi wenu, acheni kuwaua wananchi wenu, acheni kuwatesa, kuwateka, kuwabambikia kesi.
UN imetuonya, EU imetuonya, US imetuonya hata Kanisa limetuonya, achaneni na kesi ya mchongo ya Lissu, mruhusu demokrasia ya vyama nchini, uhuru wa kujieleza, uhuru wa vyombo vya habari.
Kama hakujifunza kwa Maduro na kama hatajifunza kwa Ayatollah basi atajifunzia kaburini.
Sawa mshauri wa Ayatollah wa Tanzania.nonsense,
Tz haina cha kujifunza nonsense Iran
ni muhimu kuachana na ramli nonsense na kuwahadaa mamluki wa vibaraka wa mabwnyenye ya magharibiSawa mshauri wa Ayatollah wa Tanzania.
Hauna akilinonsense,
Tz haina cha kujifunza nonsense Iran
tuliza bas mihemko ndugu muerevu wa malofaHauna akili
Mnaomtegemea mchina na mrusi mjifunze yeye biashara ikiisha hana habari na wewe.ni muhimu kuachana na ramli nonsense na kuwahadaa mamluki wa vibaraka wa mabwnyenye ya magharibi
Tanzania inajitosheleza kwa kiasi cha kutosha na inajitegemea kwa kiasi kikubwa kisiasa, kijamii na kiuchumi, na kamwe haitegemei marafiki kwa chochote.Mnaomtegemea mchina na mrusi mjifunze yeye biashara ikiisha hana habari na wewe.
Mkileta upuuzi mtauliwa tu! Hakuna kucheka na wapuuzi.Keytima sindio anawafundisha kutukana viongozi wa Nchi! Mtachezea njugu tu na udini wenuHata kama ni Sovereignty state.
Ayatollah Khamenei na serikali yake ya Islamic Republic of Iran walionywa kwa muda mrefu kama tunavyoonya sisi, he ordered 'shoot to kill' thousands of Iranian people, leo wamekula kichwa ndani ya masaa 2 tu baada ya vita kuanza.
Serikali ya Tanzania imeonywa sana, kuwa, acheni kuwanyanyasa wananchi wenu, acheni kuwaua wananchi wenu, acheni kuwatesa, kuwateka, kuwabambikia kesi.
UN imetuonya, EU imetuonya, US imetuonya hata Kanisa limetuonya, achaneni na kesi ya mchongo ya Lissu, mruhusu demokrasia ya vyama nchini, uhuru wa kujieleza, uhuru wa vyombo vya habari.
Kama hakujifunza kwa Maduro na kama hatajifunza kwa Ayatollah basi atajifunzia kaburini.
Sikio la kufa huwa halisikii dawa,we mpeni kichwa huyo dictator wenu, aje afukiwe kwenye rubbleni muhimu kuachana na ramli nonsense na kuwahadaa mamluki wa vibaraka wa mabwnyenye ya magharibi
kwamba hizo nonsense zako ndio dawa?Sikio la kufa huwa halisikii dawa,we mpeni kichwa huyo dictator wenu, aje afukiwe kwenye rubble
Lini unaenda msibani.Mkileta upuuzi mtauliwa tu! Hakuna kucheka na wapuuzi.Keytima sindio anawafundisha kutukana viongozi wa Nchi! Mtachezea njugu tu na udini wenu
Mama ataenda kujificha wapi, maana Oman kwa moto Saudia kwa moto UAE kwa moto Iran ndio usiseme.kwamba hizo nonsense zako ndio dawa?
labda ni dawa ya kupandisha mihemko ya kiofa JF
nonsenseMama ataenda kujificha wapi, maana Oman kwa moto Saudia kwa moto UAE kwa moto Iran ndio usiseme.
Umeshaanda sanda, mshirika wa meli pendwa za mizigo yetu ilee katangulizwa.nonsense
Watakwambia USA inataka mafutaš¤£š¤£Hata kama ni Sovereignty state.
Ayatollah Khamenei na serikali yake ya Islamic Republic of Iran walionywa kwa muda mrefu kama tunavyoonya sisi, he ordered 'shoot to kill' thousands of Iranian people, leo wamekula kichwa ndani ya masaa 2 tu baada ya vita kuanza.
Serikali ya Tanzania imeonywa sana, kuwa, acheni kuwanyanyasa wananchi wenu, acheni kuwaua wananchi wenu, acheni kuwatesa, kuwateka, kuwabambikia kesi.
UN imetuonya, EU imetuonya, US imetuonya hata Kanisa limetuonya, achaneni na kesi ya mchongo ya Lissu, mruhusu demokrasia ya vyama nchini, uhuru wa kujieleza, uhuru wa vyombo vya habari.
Kama hakujifunza kwa Maduro na kama hatajifunza kwa Ayatollah basi atajifunzia kaburini.
Nimefurahi sanaMama ataenda kujificha wapi, maana Oman kwa moto Saudia kwa moto UAE kwa moto Iran ndio usiseme.