GENTAMYCINE
JF-Expert Member
- Jul 13, 2013
- 60,660
- 121,325
1. Je, Heshima ya Cheo cha Ukuu wa Wilaya imepanda au imeshuka?
2. Je, mwenye Umri wa Miaka kuanzia 45 au 50 anastahili kuitwa Kijana?
3. Je, Kuteua Makundi Maalum Kiuweledi ( Professionally ) kuwa Wakuu wa Wilaya ni Political Failure au Political Success?
4. Je, ni kweli kwamba kila Mtu tu ( ili mradi anapumua na kujamba 24/7 ) basi anapashwa kuwa Political Figure na Kuteuliwa?
5. Je, Teuzi za Ukuu wa Wilaya ni takwa la Uongozi wa Kisayansi au ni Gulio Maalum la Kulipana Fadhila?
6. Je, Teuzi zimezingatia Historia ya Kiutendaji ya Mteuliwaji na hata Uwezo wake wa Kifikra na Kupambanua 'Issues' zenye Kuhitaji Akili Kubwa?
7. Je, kama ' JF Great Thinkers' tumeshajiuliza ni kwanini Watanzania wametumia muda mrefu Kusubiria huu Uteuzi na kwanini baada ya Uteuzi kutoka tunajadili sana 'Personalities' na si Kazi ngumu iliyoko mbeleni mwa Wateuliwa huku wengine tukiona kwamba Walioteuliwa ndiyo wanaenda kuwa Msaada wetu wa Maisha yetu Magumu na Njaa tulizonazo mpaka katika Kope za Macho yetu?
Haya GENTAMYCINE nasubiri Majibu yenu kwa haya Maswali yangu Saba ( 7 ) tu hapa ila namalizia kwa Kusema Tanzania bado ina Safari ndefu kufika kule inakotaka kwenda na sasa pengine ni wakati Muafaka Watanzania wenye Kuitakia Mema nchi hii ili iondokane na 'Uswahili' huu ninaouona tukaungana na kuomba Katiba Mpya.
Dogo uliyeula 'Siha' usiniangushe huko.