kina kirefu
JF-Expert Member
- Dec 14, 2018
- 15,188
- 18,583
Hizi ni asante tu na ccm wasione aibu kuiiga chadema(kama kawaida yao serikali),wabebe na hili LA majimbo (nchi kuendeshwa kimajimbo
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Sasa yeye ndo akili zitamrudi vizuri mpaka ataomba po.Huyo mshamba alikuwa anapita kwangu ,Sasa Kuna brother mtoto wake alikuwa ana birthday na watoto wenzie wapo hapo ghafla akasimamisha gari yake akaamuru muziki uzimwe kila mtu arudi kwake saa 10 jioni hiyo.Kumfata anaanza kuleta habari za mnanijua mimi Nani? Tukamjibu hatukujui Mara akanyanyua simu polisi hawa hapa.Kufika kituoni ye yuko nyuma akadai tumemtukana na tunapiga makelele kwa majirani ( wakati hiyo birthday watoto wa majirani wote walikuepo na baadhi ya wazazi).Akashupaa tuwekwe ndani siku mbili ili akili ziturudi .Kwa bahati nzuri walikuwa na hekaheka za Mwenge mkuu wa mkoa akatukuta hapo kituoni akatuombea msamaha ndio ikawa salama yetu.Vinginevyo ningelala sakafuni siku hiyo.
Sasa yeye ndo akili zitamrudi vizuri mpaka ataomba po
Hayo maswali ungeanzia kuuliza kwa kipindi cha mwendazake1. Je, Heshima ya Cheo cha Ukuu wa Wilaya imepanda au imeshuka?
2. Je, mwenye Umri wa Miaka kuanzia 45 au 50 anastahili kuitwa Kijana?
3. Je, Kuteua Makundi Maalum Kiuweledi ( Professionally ) kuwa Wakuu wa Wilaya ni Political Failure au Political Success?
4. Je, ni kweli kwamba kila Mtu tu ( ili mradi anapumua na kujamba 24/7 ) basi anapashwa kuwa Political Figure na Kuteuliwa?
5. Je, Teuzi za Ukuu wa Wilaya ni takwa la Uongozi wa Kisayansi au ni Gulio Maalum la Kulipana Fadhila?
6. Je, Teuzi zimezingatia Historia ya Kiutendaji ya Mteuliwaji na hata Uwezo wake wa Kifikra na Kupambanua 'Issues' zenye Kuhitaji Akili Kubwa?
7. Je, kama ' JF Great Thinkers' tumeshajiuliza ni kwanini Watanzania wametumia muda mrefu Kusubiria huu Uteuzi na kwanini baada ya Uteuzi kutoka tunajadili sana 'Personalities' na si Kazi ngumu iliyoko mbeleni mwa Wateuliwa huku wengine tukiona kwamba Walioteuliwa ndiyo wanaenda kuwa Msaada wetu wa Maisha yetu Magumu na Njaa tulizonazo mpaka katika Kope za Macho yetu?
Haya GENTAMYCINE nasubiri Majibu yenu kwa haya Maswali yangu Saba ( 7 ) tu hapa ila namalizia kwa Kusema Tanzania bado ina Safari ndefu kufika kule inakotaka kwenda na sasa pengine ni wakati Muafaka Watanzania wenye Kuitakia Mema nchi hii ili iondokane na 'Uswahili' huu ninaouona tukaungana na kuomba Katiba Mpya.
Dogo uliyeula 'Siha' usiniangushe huko.
Hivi unaweza kua na akili timamu ukawaza cheo kama hiki!?? Mm siamini kwa kweliMkuu kama umepaniki hivi jina lako halipo
Mzee wa nitakuminya pumbu wa Rorya katemwa.Naombeni list ya walio temwa..
Naona list ya walioteuliwa lakini waliotemwa siioni
Uteuzi uko vizuri sana tena sana.1. Je, Heshima ya Cheo cha Ukuu wa Wilaya imepanda au imeshuka?
2. Je, mwenye Umri wa Miaka kuanzia 45 au 50 anastahili kuitwa Kijana?
3. Je, Kuteua Makundi Maalum Kiuweledi ( Professionally ) kuwa Wakuu wa Wilaya ni Political Failure au Political Success?
4. Je, ni kweli kwamba kila Mtu tu ( ili mradi anapumua na kujamba 24/7 ) basi anapashwa kuwa Political Figure na Kuteuliwa?
5. Je, Teuzi za Ukuu wa Wilaya ni takwa la Uongozi wa Kisayansi au ni Gulio Maalum la Kulipana Fadhila?
6. Je, Teuzi zimezingatia Historia ya Kiutendaji ya Mteuliwaji na hata Uwezo wake wa Kifikra na Kupambanua 'Issues' zenye Kuhitaji Akili Kubwa?
7. Je, kama ' JF Great Thinkers' tumeshajiuliza ni kwanini Watanzania wametumia muda mrefu Kusubiria huu Uteuzi na kwanini baada ya Uteuzi kutoka tunajadili sana 'Personalities' na si Kazi ngumu iliyoko mbeleni mwa Wateuliwa huku wengine tukiona kwamba Walioteuliwa ndiyo wanaenda kuwa Msaada wetu wa Maisha yetu Magumu na Njaa tulizonazo mpaka katika Kope za Macho yetu?
Haya GENTAMYCINE nasubiri Majibu yenu kwa haya Maswali yangu Saba ( 7 ) tu hapa ila namalizia kwa Kusema Tanzania bado ina Safari ndefu kufika kule inakotaka kwenda na sasa pengine ni wakati Muafaka Watanzania wenye Kuitakia Mema nchi hii ili iondokane na 'Uswahili' huu ninaouona tukaungana na kuomba Katiba Mpya.
Dogo uliyeula 'Siha' usiniangushe huko.
Km Kasesela acha apigwe chini alikuwa anawaonea sana upinzani.Warioba - wa Ryora
Kasesela - Iringa mjini
#YNWA
BangiBarida...!!
Mkuu ukiwa rais chondechonde hii ID yangu usiisahau unipe nami japo uDC,hakika sitakuangushaUwepo wangu 24/7 hapa JamiiForums na Mawazo yangu yenye Tafakuri Tunduizj ( Critical Thinking ) nyingi ambaye yameshatumika na Kusaidia mengi katika nchi yako hii GENTAMYCINE sina Hadhi ya Kuwa DC au RC na hata Ubunge, ila kwa Urais au kuwa Presidential Chief Advisor
ndiko naweza Kukuelewa na nina uhakika kwa jinsi nilivyobarikiwa na Mola ( Maulana ) nitakuwa Msaada mkubwa kwa Tanzania yako ( yetu )
Na naomba Mwenyezi Mungu siku moja niwe Rais wenu na mumpate Nyerere mwingine ili si tu Tanzania au Uganda au Rwanda ifaidike nami bali Bara zima la Afrika lifaidike na GENTAMYCINE ambapo nitapenda Kuongoza kwa miaka yangu Mitano ( 5 ) tu ila najua kwa mtakavyopenda 'Unyerere' wangu mtaniomba nitawale Tanzania mpaka nitakapochoka.
1. Ukuu wa Wilaya kiheshima bado uko pale ila wateuliwa hovyo, hawajielewi.1. Je, Heshima ya Cheo cha Ukuu wa Wilaya imepanda au imeshuka?
2. Je, mwenye Umri wa Miaka kuanzia 45 au 50 anastahili kuitwa Kijana?
3. Je, Kuteua Makundi Maalum Kiuweledi ( Professionally ) kuwa Wakuu wa Wilaya ni Political Failure au Political Success?
4. Je, ni kweli kwamba kila Mtu tu ( ili mradi anapumua na kujamba 24/7 ) basi anapashwa kuwa Political Figure na Kuteuliwa?
5. Je, Teuzi za Ukuu wa Wilaya ni takwa la Uongozi wa Kisayansi au ni Gulio Maalum la Kulipana Fadhila?
6. Je, Teuzi zimezingatia Historia ya Kiutendaji ya Mteuliwaji na hata Uwezo wake wa Kifikra na Kupambanua 'Issues' zenye Kuhitaji Akili Kubwa?
7. Je, kama ' JF Great Thinkers' tumeshajiuliza ni kwanini Watanzania wametumia muda mrefu Kusubiria huu Uteuzi na kwanini baada ya Uteuzi kutoka tunajadili sana 'Personalities' na si Kazi ngumu iliyoko mbeleni mwa Wateuliwa huku wengine tukiona kwamba Walioteuliwa ndiyo wanaenda kuwa Msaada wetu wa Maisha yetu Magumu na Njaa tulizonazo mpaka katika Kope za Macho yetu?
Haya GENTAMYCINE nasubiri Majibu yenu kwa haya Maswali yangu Saba ( 7 ) tu hapa ila namalizia kwa Kusema Tanzania bado ina Safari ndefu kufika kule inakotaka kwenda na sasa pengine ni wakati Muafaka Watanzania wenye Kuitakia Mema nchi hii ili iondokane na 'Uswahili' huu ninaouona tukaungana na kuomba Katiba Mpya.
Dogo uliyeula 'Siha' usiniangushe huko.
Well said, me naona tuwape muda tutaona utendaji wao, wahenga walisema umdhaniaye ndiye kumbe siye. I hope kati yao humo kuna viongozi wazuri tu.Uteuzi uko vizuri sana tena sana.
Kuteuliwa na Rais ni Heshima Kubwa sana.
Wote walio teuliwa ni watanzania wenzetu wa kuzaliwa hakuna mhamiaji wa kigeni, lkn pia wote walio teuliwa ni watu wenye uzoevu wa kuitumikia jamii ktk nafasi mbalimbali.
wote walio teuliwa ni watu wenye kuheshimika ktk jamii, hakuna mwizi wala muhuni, wanajiheshimu, hivyo nafasi ya U DC imeheshimishwa vilivyo, hakuna kasoro kwa wateuliwa.
tatizo la baadhi ya watanzania tulizoea au kudhani kuwa vyeo vya u DC au hata vingine ni kwa watu maaluum sana, hapana! kila mtanzania mwenye sifa ana uwezo wa kuwa kiongozi wa kulitumikia taifa lake, tuache mazoea na kudharauliana.
Pongezi kwa wateule wote, mara baada ya kula kiapo mchape kazi kwa bidii.tunawaamini sana kuwa mtaleta mabadiliko makubwa ya kimaendeleo.