Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kasesera arudi tu Kawe tucheze Karata.Warioba - wa Ryora
Kasesela - Iringa mjini
#YNWA
Mkuu hujui kusoma nini? Jerry Muro kahamishiwa huko Mkoani Singida.Kinara wao ( Waliotemwa ) Jerry Muro.
Una Mimba yake ya ngapi mpaka sasa?Kusoma hujui?
Jerry Muro kapelekwa ikungi - Singida
Barida...!!Yupo ikungi wewe
Nimeshataarifiwa hivyo Noted tu Mkuu.Yupogo
Pamoja na kuendesha baiskeli koote hayumo, naona baba wa njia panda ya kwenda Tanga kamuacha kijana wake kwenye mataa, ameshindwa kumtetea kwa mama. labda anaweza kuteuliwa ubunge au ubalozi, kwani nafasi bado zipo nyingi bana.Kasesera arudi tu Kawe tucheze Karata.
Jery Muro kahamishiwa wilaya ya Ikungi, SingidaKinara wao ( Waliotemwa ) Jerry Muro.
Unajikutaga una akili kumbe bwege tu...sasa wew unaona hyo roho ya kwann huna?...hyo roho ndo inakukwamisha kaka...acha hyo mambo...U DC hauna maajab...DED ndio ana maajab...yan unajikutaga unajua kumbe ms.enge tuUna IQ 'Kiduchu' ya Kuujadili huu Uzi unaotaka utulivu wa Akili ( ambazo bahati mbaya pia huna ) katika Kuujadili.
Tafadhali wapishe tu wale 'Great Thinkers' niliowakusudia Wajadili kwani hata Mtiririko wako Mbovu Kiuandishi unaakisi Upumbavu ulionao na uliokukomaa vyema Kichwani mwako.
Noted.Jerry Muro yumo anaelekea Ikungi
Naona Sindano yangu imekuingia hasa.Unajikutaga una akili kumbe bwege tu...sasa wew unaona hyo roho ya kwann huna?...hyo roho ndo inakukwamisha kaka...acha hyo mambo...U DC hauna maajab...DED ndio ana maajab...yan unajikutaga unajua kumbe ms.enge tu
Dadavua tumsagie kunguniKomanya Kitwala katemwa Safi sana alitaka kunisweka ndani kisa birthday tena ya mtoto.
Yule wa Rorya ambae mwananchi alimtolea uvivu sijui kasevu?Komanya Kitwala katemwa Safi sana alitaka kunisweka ndani kisa birthday tena ya mtoto.
Yule wa Rorya ambae mwananchi alimtolea uvivu sijui kasevu?
Komanya Kitwala katemwa Safi sana alitaka kunisweka ndani kisa birthday tena ya mtoto.
Unajikutaga una akili kumbe bwege tu...sasa wew unaona hyo roho ya kwann huna?...hyo roho ndo inakukwamisha kaka...acha hyo mambo...U DC hauna maajab...DED ndio ana maajab...yan unajikutaga unajua kumbe ms.enge tu
Huyo mshamba alikuwa anapita kwangu ,Sasa Kuna brother mtoto wake alikuwa ana birthday na watoto wenzie wapo hapo ghafla akasimamisha gari yake akaamuru muziki uzimwe kila mtu arudi kwake saa 10 jioni hiyo.Kumfata anaanza kuleta habari za mnanijua mimi Nani? Tukamjibu hatukujui Mara akanyanyua simu polisi hawa hapa.Kufika kituoni ye yuko nyuma akadai tumemtukana na tunapiga makelele kwa majirani ( wakati hiyo birthday watoto wa majirani wote walikuepo na baadhi ya wazazi).Akashupaa tuwekwe ndani siku mbili ili akili ziturudi .Kwa bahati nzuri walikuwa na hekaheka za Mwenge mkuu wa mkoa akatukuta hapo kituoni akatuombea msamaha ndio ikawa salama yetu.Vinginevyo ningelala sakafuni siku hiyo.Dadavua tumsagie kunguni