Natumai wote tumeshamaliza 'Kuushangaa' Utezi wa Mama, sasa kama JF 'Great Thinkers' jibuni Maswali yangu haya....

Natumai wote tumeshamaliza 'Kuushangaa' Utezi wa Mama, sasa kama JF 'Great Thinkers' jibuni Maswali yangu haya....

Yaani ukiangalia list ni surprise kibao. Nimeiangalia najiuliza sana maswali, je baadhi yao wanatosha kuwa wenyeviti wa kamati ya ulinzi na usalama? Je wanatosha kusimamia team ya management ya wilaya? Mungu anajua na namuachia Mungu tu
Walioteuliwa hawajaenda kuwa wana usalama. Kule kuna watendaji kwenye kazi hizo. DC yeye ni kiongozi tu.
 
Niko hapa kushuhudia comment za roho za kwann.hahahahah......
Mi naona kaz ya u Dc sio kaz ngum sana hao walioteuliwa kushindwa kuifanya...

Sasa mnataka apewe nan...?business as usual hamtak.bo yanabadilishwa hamtak..mnataka nin..ndomana unaambiwa..mtu yuko radhi ampe deal mtu wa mbal kuliko ampe deal rafik yake wa karib ambae muda wote yuko nae..roho za kwann achen ndugu zangu..tupambane sana.uchawa unafaida...nawew kuwa chawa..kulamba miguu kuna faida.nawew lamba..dunia nzima iko hvyo..hata ukienda kwa trump..hata obama hata biden..aliweka washkaj zake vitengo ili awe salama...hata ningekua mm..
Teuzi za mama hazijakamilika 100% lakini ziko tofauti sana na watangulizi wake. Zimelenga mabadiliko. Mimi bado nampongeza sana
 
Uteuzi uliojaza watangazaji ,wasanii , sijui kama utakuwa na tija , wengi wametoka sekta binafsi hata uelewa wa utendaji serikalini hawaujui ndio wanaenda kujifunza tutegemea vituko vya mwaka , incompetence , unsuccessfully , violation of law , order , time will tell.
 
Tusibeze mapema ngoja tuone...

Maana hivyo vyeo havina dhamana...
 
Uwepo wangu 24/7 hapa JamiiForums na Mawazo yangu yenye Tafakuri Tunduizj ( Critical Thinking ) nyingi ambaye yameshatumika na Kusaidia mengi katika nchi yako hii GENTAMYCINE sina Hadhi ya Kuwa DC au RC na hata Ubunge, ila kwa Urais au kuwa Presidential Chief Advisor
ndiko naweza Kukuelewa na nina uhakika kwa jinsi nilivyobarikiwa na Mola ( Maulana ) nitakuwa Msaada mkubwa kwa Tanzania yako ( yetu )

Na naomba Mwenyezi Mungu siku moja niwe Rais wenu na mumpate Nyerere mwingine ili si tu Tanzania au Uganda au Rwanda ifaidike nami bali Bara zima la Afrika lifaidike na GENTAMYCINE ambapo nitapenda Kuongoza kwa miaka yangu Mitano ( 5 ) tu ila najua kwa mtakavyopenda 'Unyerere' wangu mtaniomba nitawale Tanzania mpaka nitakapochoka.
Haahahaa,hatari sana
 
Uteuzi uliojaza watangazaji ,wasanii , sijui kama utakuwa na tija , wengi wametoka sekta binafsi hata uelewa wa utendaji serikalini hawaujui ndio wanaenda kujifunza tutegemea vituko vya mwaka , incompetence , unsuccessfully , violation of law , order , time will tell.
Napenda JF Members Werevu kama Wewe.
 
Uwepo wangu 24/7 hapa JamiiForums na Mawazo yangu yenye Tafakuri Tunduizi ( Critical Thinking ) nyingi ambaye yameshatumika na Kusaidia mengi katika nchi yako hii GENTAMYCINE sina Hadhi ya Kuwa DC au RC na hata Ubunge, ila kwa Urais au kuwa Presidential Chief Advisor
ndiko naweza Kukuelewa na nina uhakika kwa jinsi nilivyobarikiwa na Mola ( Maulana ) nitakuwa Msaada mkubwa kwa Tanzania yako ( yetu )

Na naomba Mwenyezi Mungu siku moja niwe Rais wenu na mumpate Nyerere mwingine ili si tu Tanzania au Uganda au Rwanda ifaidike nami bali Bara zima la Afrika lifaidike na GENTAMYCINE ambapo nitapenda Kuongoza kwa miaka yangu Mitano ( 5 ) tu ila najua kwa mtakavyopenda 'Unyerere' wangu mtaniomba nitawale Tanzania mpaka nitakapochoka.
Sijui ni kwanini hapa Tanzania Kila mtu anawaza kuwa Rais.

Hata UDC tu watu walikua wanasubiri kuona majina yao.

Yaani mpaka huko vijinini watu wanasubiria teuzi tu.

My poor country.
 
Niko hapa kushuhudia comment za roho za kwann.hahahahah......
Mi naona kaz ya u Dc sio kaz ngum sana hao walioteuliwa kushindwa kuifanya...

Sasa mnataka apewe nan...?business as usual hamtak.bo yanabadilishwa hamtak..mnataka nin..ndomana unaambiwa..mtu yuko radhi ampe deal mtu wa mbal kuliko ampe deal rafik yake wa karib ambae muda wote yuko nae..roho za kwann achen ndugu zangu..tupambane sana.uchawa unafaida...nawew kuwa chawa..kulamba miguu kuna faida.nawew lamba..dunia nzima iko hvyo..hata ukienda kwa trump..hata obama hata biden..aliweka washkaj zake vitengo ili awe salama...hata ningekua mm..
Tatizo la Watumishi wa Umma wakijuwa tu boss wao hajiui Mambo ya utumishi,lazima Mara nyingi watakuwa wanakuinhiza Chaka,alafu lawama zote unabeba wwe Kiongozi!!
 
Yaani ukiangalia list ni surprise kibao. Nimeiangalia najiuliza sana maswali, je baadhi yao wanatosha kuwa wenyeviti wa kamati ya ulinzi na usalama? Je wanatosha kusimamia team ya management ya wilaya? Mungu anajua na namuachia Mungu tu
Hatari hii, hapa mama kazingua sana. But ccm wanatuonaga watz mazezeta sana
 
Hii ndio sababu ya kumuweka MTU ndani hawa wajinga wanatumia mamlaka yao vibaya sana?

Hivi UDC hauwezi kufutwa, tubaki na waurugenzi kama watendaji then RC wahudumu kusimamia wilaya.
Huyo mshamba alikuwa anapita kwangu ,Sasa Kuna brother mtoto wake alikuwa ana birthday na watoto wenzie wapo hapo ghafla akasimamisha gari yake akaamuru muziki uzimwe kila mtu arudi kwake saa 10 jioni hiyo.Kumfata anaanza kuleta habari za mnanijua mimi Nani? Tukamjibu hatukujui Mara akanyanyua simu polisi hawa hapa.Kufika kituoni ye yuko nyuma akadai tumemtukana na tunapiga makelele kwa majirani ( wakati hiyo birthday watoto wa majirani wote walikuepo na baadhi ya wazazi).Akashupaa tuwekwe ndani siku mbili ili akili ziturudi .Kwa bahati nzuri walikuwa na hekaheka za Mwenge mkuu wa mkoa akatukuta hapo kituoni akatuombea msamaha ndio ikawa salama yetu.Vinginevyo ningelala sakafuni siku hiyo.
 
Yaani ukiangalia list ni surprise kibao. Nimeiangalia najiuliza sana maswali, je baadhi yao wanatosha kuwa wenyeviti wa kamati ya ulinzi na usalama? Je wanatosha kusimamia team ya management ya wilaya? Mungu anajua na namuachia Mungu tu
Ma OCD watawaingiza kingi Kama walivyomuingiza kingi Sabaya,saa hizi anasota jela peke yake!!
 
Hii ndio sababu ya kumuweka MTU ndani hawa wajinga wanatumia mamlaka yao vibaya sana?

Hivi UDC hauwezi kufutwa, tubaki na waurugenzi kama watendaji then RC wahudumu kusimamia wilaya.
Jinga sana kagombana na watu wengi sana huyo mshamba kwa vitu vidogo .Now yuko benchi sasa kuimba kupokezana.
 
1. Je, Heshima ya Cheo cha Ukuu wa Wilaya imepanda au imeshuka?

2. Je, mwenye Umri wa Miaka kuanzia 45 au 50 anastahili kuitwa Kijana?

3. Je, Kuteua Makundi Maalum Kiuweledi ( Professionally ) kuwa Wakuu wa Wilaya ni Political Failure au Political Success?

4. Je, ni kweli kwamba kila Mtu tu ( ili mradi anapumua na kujamba 24/7 ) basi anapashwa kuwa Political Figure na Kuteuliwa?

5. Je, Teuzi za Ukuu wa Wilaya ni takwa la Uongozi wa Kisayansi au ni Gulio Maalum la Kulipana Fadhila?

6. Je, Teuzi zimezingatia Historia ya Kiutendaji ya Mteuliwaji na hata Uwezo wake wa Kifikra na Kupambanua 'Issues' zenye Kuhitaji Akili Kubwa?

7. Je, kama ' JF Great Thinkers' tumeshajiuliza ni kwanini Watanzania wametumia muda mrefu Kusubiria huu Uteuzi na kwanini baada ya Uteuzi kutoka tunajadili sana 'Personalities' na si Kazi ngumu iliyoko mbeleni mwa Wateuliwa huku wengine tukiona kwamba Walioteuliwa ndiyo wanaenda kuwa Msaada wetu wa Maisha yetu Magumu na Njaa tulizonazo mpaka katika Kope za Macho yetu?

Haya GENTAMYCINE nasubiri Majibu yenu kwa haya Maswali yangu Saba ( 7 ) tu hapa ila namalizia kwa Kusema Tanzania bado ina Safari ndefu kufika kule inakotaka kwenda na sasa pengine ni wakati Muafaka Watanzania wenye Kuitakia Mema nchi hii ili iondokane na 'Uswahili' huu ninaouona tukaungana na kuomba Katiba Mpya.

Dogo uliyeula 'Siha' usiniangushe huko.
Mambo ya CCM tuwaachie CCM...
 
Hatari hii, hapa mama kazingua sana. But ccm wanatuonaga watz mazezeta sana
Ndiyo maana tunaambiwa siku moja ina masaa 48 na mwingine kasema tunahangaika bure,hata tusipoipigia kura CCM wataunda serikali. Huyohuyo kasema polisi wao wakishindwa kulenga risasi 3 wanawajibishwa...kumbe kuna polisi wa CCM?
 
Back
Top Bottom