Natumai wote tumeshamaliza 'Kuushangaa' Utezi wa Mama, sasa kama JF 'Great Thinkers' jibuni Maswali yangu haya....

Kasesera arudi tu Kawe tucheze Karata.
Pamoja na kuendesha baiskeli koote hayumo, naona baba wa njia panda ya kwenda Tanga kamuacha kijana wake kwenye mataa, ameshindwa kumtetea kwa mama. labda anaweza kuteuliwa ubunge au ubalozi, kwani nafasi bado zipo nyingi bana.
 
Unajikutaga una akili kumbe bwege tu...sasa wew unaona hyo roho ya kwann huna?...hyo roho ndo inakukwamisha kaka...acha hyo mambo...U DC hauna maajab...DED ndio ana maajab...yan unajikutaga unajua kumbe ms.enge tu
 
Ukuu wa Wilaya ni kama Sarpong kusajiliwa na Utopolo...

Unabebwa na machela Airport... Ukifika uwanjani huoni goli lilipo...
 
Unajikutaga una akili kumbe bwege tu...sasa wew unaona hyo roho ya kwann huna?...hyo roho ndo inakukwamisha kaka...acha hyo mambo...U DC hauna maajab...DED ndio ana maajab...yan unajikutaga unajua kumbe ms.enge tu
Naona Sindano yangu imekuingia hasa.
 
Unajikutaga una akili kumbe bwege tu...sasa wew unaona hyo roho ya kwann huna?...hyo roho ndo inakukwamisha kaka...acha hyo mambo...U DC hauna maajab...DED ndio ana maajab...yan unajikutaga unajua kumbe ms.enge tu

Logically: Organisational systems kila cheo ni muhimu sana regardless...
 
Dadavua tumsagie kunguni
Huyo mshamba alikuwa anapita kwangu ,Sasa Kuna brother mtoto wake alikuwa ana birthday na watoto wenzie wapo hapo ghafla akasimamisha gari yake akaamuru muziki uzimwe kila mtu arudi kwake saa 10 jioni hiyo.Kumfata anaanza kuleta habari za mnanijua mimi Nani? Tukamjibu hatukujui Mara akanyanyua simu polisi hawa hapa.Kufika kituoni ye yuko nyuma akadai tumemtukana na tunapiga makelele kwa majirani ( wakati hiyo birthday watoto wa majirani wote walikuepo na baadhi ya wazazi).Akashupaa tuwekwe ndani siku mbili ili akili ziturudi .Kwa bahati nzuri walikuwa na hekaheka za Mwenge mkuu wa mkoa akatukuta hapo kituoni akatuombea msamaha ndio ikawa salama yetu.Vinginevyo ningelala sakafuni siku hiyo.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…