Natumai wote tumeshamaliza 'Kuushangaa' Utezi wa Mama, sasa kama JF 'Great Thinkers' jibuni Maswali yangu haya....

Yaani ukiangalia list ni surprise kibao. Nimeiangalia najiuliza sana maswali, je baadhi yao wanatosha kuwa wenyeviti wa kamati ya ulinzi na usalama? Je wanatosha kusimamia team ya management ya wilaya? Mungu anajua na namuachia Mungu tu
Walioteuliwa hawajaenda kuwa wana usalama. Kule kuna watendaji kwenye kazi hizo. DC yeye ni kiongozi tu.
 
Teuzi za mama hazijakamilika 100% lakini ziko tofauti sana na watangulizi wake. Zimelenga mabadiliko. Mimi bado nampongeza sana
 
Uteuzi uliojaza watangazaji ,wasanii , sijui kama utakuwa na tija , wengi wametoka sekta binafsi hata uelewa wa utendaji serikalini hawaujui ndio wanaenda kujifunza tutegemea vituko vya mwaka , incompetence , unsuccessfully , violation of law , order , time will tell.
 
Tusibeze mapema ngoja tuone...

Maana hivyo vyeo havina dhamana...
 
Haahahaa,hatari sana
 
Napenda JF Members Werevu kama Wewe.
 
Sijui ni kwanini hapa Tanzania Kila mtu anawaza kuwa Rais.

Hata UDC tu watu walikua wanasubiri kuona majina yao.

Yaani mpaka huko vijinini watu wanasubiria teuzi tu.

My poor country.
 
Tatizo la Watumishi wa Umma wakijuwa tu boss wao hajiui Mambo ya utumishi,lazima Mara nyingi watakuwa wanakuinhiza Chaka,alafu lawama zote unabeba wwe Kiongozi!!
 
Yaani ukiangalia list ni surprise kibao. Nimeiangalia najiuliza sana maswali, je baadhi yao wanatosha kuwa wenyeviti wa kamati ya ulinzi na usalama? Je wanatosha kusimamia team ya management ya wilaya? Mungu anajua na namuachia Mungu tu
Hatari hii, hapa mama kazingua sana. But ccm wanatuonaga watz mazezeta sana
 
Hii ndio sababu ya kumuweka MTU ndani hawa wajinga wanatumia mamlaka yao vibaya sana?

Hivi UDC hauwezi kufutwa, tubaki na waurugenzi kama watendaji then RC wahudumu kusimamia wilaya.
 
Ma OCD watawaingiza kingi Kama walivyomuingiza kingi Sabaya,saa hizi anasota jela peke yake!!
 
Hii ndio sababu ya kumuweka MTU ndani hawa wajinga wanatumia mamlaka yao vibaya sana?

Hivi UDC hauwezi kufutwa, tubaki na waurugenzi kama watendaji then RC wahudumu kusimamia wilaya.
Jinga sana kagombana na watu wengi sana huyo mshamba kwa vitu vidogo .Now yuko benchi sasa kuimba kupokezana.
 
Mambo ya CCM tuwaachie CCM...
 
Hatari hii, hapa mama kazingua sana. But ccm wanatuonaga watz mazezeta sana
Ndiyo maana tunaambiwa siku moja ina masaa 48 na mwingine kasema tunahangaika bure,hata tusipoipigia kura CCM wataunda serikali. Huyohuyo kasema polisi wao wakishindwa kulenga risasi 3 wanawajibishwa...kumbe kuna polisi wa CCM?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…