Natumia approximately laki 3 kwenda kwenye interview ya kazi ambayo ni Mungu tu ndo anajua kama ntaipata

siku zote kazi atakayokupa Mungu ndio utaifurahia, izo unazorandaranda kwa akili yako huwa hazidumu, unafukuzwa au unaifanya kwa machungu everyday. mwombe Mungu akupe kazi.
 
Nyie mnaenda kusindokiza washawapata watu wao.
Jpm alikuwa ameweza huu upuuzi wa kujuana na kupeana kazi, watu walipata kazi kutokana na sifa zao sasa hivi aiiiiiii kazi mnayo.
Na vyeti feki watapata kazi hilo msisahau.
Ndio Tanzania yetu ilivyo, tunapiga hatua 2 mbele tunarudi 10 nyuma. Vyeti feki vipo sana
 
Nyie mnaenda kusindokiza washawapata watu wao.
Jpm alikuwa ameweza huu upuuzi wa kujuana na kupeana kazi, watu walipata kazi kutokana na sifa zao sasa hivi aiiiiiii kazi mnayo.
Na vyeti feki watapata kazi hilo msisahau.

Unajiskiaje baada ya kumkatisha tamaa? Ndo unajiona mwanaume kamili sio? Very stupid.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…