Ndege Tai
JF-Expert Member
- May 6, 2020
- 4,439
- 8,184
Kama huna imani na kitu yanini kujaribu kukifanya?Mimi natumia laki 2 kwenda na nina hakika nitakosa hiyo kazi, last time nilitumia laki mbili pia
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kama huna imani na kitu yanini kujaribu kukifanya?Mimi natumia laki 2 kwenda na nina hakika nitakosa hiyo kazi, last time nilitumia laki mbili pia
Kuna muda huwa nafanya tu jambo ili baadae nisijepata yale majuto ya "huenda ningepata hii kazi"Kama huna imani na kitu yanini kujaribu kukifanya?
Tupe uchambuzi yakinifu wa hyo laki tatu ila kama unaenda na ndege usitupeNaam ni izi selection zilizoitwa juzi hapa za utumishi serikalini. Tunaenda pambana watu zaidi ya buku kusaka ajira za kudumu.
Gharama za nauli+chakula+malazi nenda rudi inakaribia 300k dah. Inaniuma lkn kwny maisha haya huwez pata kitu bila kurisk.
Ama kweli maisha bongo ni magumu sana, acha tukapambane.
Jpm jpm unajua kuwa kuna maafisa tarafa na watendaji kata walichaguliwa na Mh Rais bila hta kupita interview?? Tumsifie Kwa mwingne kwenye hili la ajira alivurundaaa big timeNyie mnaenda kusindokiza washawapata watu wao.
Jpm alikuwa ameweza huu upuuzi wa kujuana na kupeana kazi, watu walipata kazi kutokana na sifa zao sasa hivi aiiiiiii kazi mnayo.
Na vyeti feki watapata kazi hilo msisahau.
[emoji16][emoji16]Wanaweza wasikuelewe mkuu kwa hii statement ila mimi ninakuelewa kwa asilimia 200%
Niliomba kazi ,nikaipata kazi kufanya kazi ikawa kazi sana daah
HahahahaWatu mna hela za kuchezea
Hio lk 3 ni mtaji tosha
.1.goli la mitumba nguo na viatuBiashara kama ipi..tupe one and two chief
Kama mtu anatafuta kweli ajira kwa nia...basi hatakiwi kuwaza kuhusu hiz habari za connection!Nyie mnaenda kusindokiza washawapata watu wao.
Jpm alikuwa ameweza huu upuuzi wa kujuana na kupeana kazi, watu walipata kazi kutokana na sifa zao sasa hivi aiiiiiii kazi mnayo.
Na vyeti feki watapata kazi hilo msisahau.
Biashara gani?Sasa hyo laki tatu si mtaji huo wa biashara
Kibanda cha chips mpaka ukisimike tu ni zaidi ya hiyo laki 3.nyie motivation speakers huwa mnapenda sana kudanganya watu..1.goli la mitumba nguo na viatu
2.kibanda cha chips
3.Kuuza matunda
4.Kulima bustani
5.Kukaanga samaki
6.
Vipo vya kukodi Man na vifaa vyake ni wewe tu kuingiza mtaji tuKibanda cha chips mpaka ukisimike tu ni zaidi ya hiyo laki 3.nyie motivation speakers huwa mnapenda sana kudanganya watu.
Yan n changamoto sana, tatizo teknolojia yetu ni ndogo sana. Wanaweza wakawa wamefikiria hivo lakini kufanya kwa vitendo ikaonekana process ndefu. Mimi ndo kilichonikuta iko.mi ningeshauri mtu a confirm kanda atakayo pigia pepa ya usahili then ndipo apewe number ya usahili lkn sio kama sasa wamechukua details za zamani halafu wanakupeleka mbeya kwenye usaili. dar -mbeya 50k nauli ujala ujalala,bdo kama utaingia oral uende domu. aiseeh utumishi ni miyeyusho mno kwa sisis ma absolute jobless