- Thread starter
- #21
Mkuu 300k ndio ni mtaji lkn at the same time ukifanikiwa kuajiriwa serikalini kuna faida nyingi mno haswa faida ya kuwa na ajira ya kudumu.Sasa hyo laki tatu si mtaji huo wa biashara
Biashara zinaporomoka mda wwt ndo changamoto yake na ukiangalia asilimia kubwa ya wafanyabiashara ni wawekezaji ambao awali walikua ni watumishi.