Mkuu 300k ndio ni mtaji lkn at the same time ukifanikiwa kuajiriwa serikalini kuna faida nyingi mno haswa faida ya kuwa na ajira ya kudumu.Sasa hyo laki tatu si mtaji huo wa biashara
Kwanza hakutoa ajira nyingi km JK. NyongezaAcha ufala, JPM ndio takataka gani? We kichaa nini, yule mwehu alijaza wasukuma kila idara.
Ningependa kufahamu unatokea wapi kwenda wapi ilipo venueNaam ni izi selection zilizoitwa juzi hapa za utumishi serikalini. Tunaenda pambana watu zaidi ya buku kusaka ajira za kudumu.
Gharama za nauli+chakula+malazi nenda rudi inakaribia 300k dah. Inaniuma lkn kwny maisha haya huwez pata kitu bila kurisk.
Ama kweli maisha bongo ni magumu sana, acha tukapambane.
Mungu anashuka geto kwako anakuoabidhi Kazi au ulimaanisha nini hapa non sensesiku zote kazi atakayokupa Mungu ndio utaifurahia, izo unazorandaranda kwa akili yako huwa hazidumu, unafukuzwa au unaifanya kwa machungu everyday. mwombe Mungu akupe kazi.
Wapi nimemkatisha tamaa? Kwahiyo nisimwambie ukweli? Asante mimi ni stupid ila nadhani wewe ni zaidi.Unajiskiaje baada ya kumkatisha tamaa? Ndo unajiona mwanaume kamili sio? Very stupid.
Kabisa atuambieNingependa kufahamu unatokea wapi kwenda wapi ilipo venue
Wanaweza wasikuelewe mkuu kwa hii statement ila mimi ninakuelewa kwa asilimia 200%siku zote kazi atakayokupa Mungu ndio utaifurahia, izo unazorandaranda kwa akili yako huwa hazidumu, unafukuzwa au unaifanya kwa machungu everyday. mwombe Mungu akupe kazi.
Kama ushaweka imani utakosa kwanini unaenda ?Mimi natumia laki 2 kwenda na nina hakika nitakosa hiyo kazi, last time nilitumia laki mbili pia
Are you sure about this?Sekretarieti ya Ajira wanatoa kazi kwa vigezo vya UDINI...
Vijana wanaoomba kazi ni wengi tena wa dini zote watakao itwa kazini kama ni 100 ni chini ya 10 tu ndo wa Dini X na 90 wa dini Y
Hivi kama interview ingefanywa online, gharama si ingekuwa bando tu? Yaani 10k nyingi!Naam ni izi selection zilizoitwa juzi hapa za utumishi serikalini. Tunaenda pambana watu zaidi ya buku kusaka ajira za kudumu.
Gharama za nauli+chakula+malazi nenda rudi inakaribia 300k dah. Inaniuma lkn kwny maisha haya huwez pata kitu bila kurisk.
Ama kweli maisha bongo ni magumu sana, acha tukapambane.
Ni Wapi au nchi gani ambako maisha sio magumu?Naam ni izi selection zilizoitwa juzi hapa za utumishi serikalini. Tunaenda pambana watu zaidi ya buku kusaka ajira za kudumu.
Gharama za nauli+chakula+malazi nenda rudi inakaribia 300k dah. Inaniuma lkn kwny maisha haya huwez pata kitu bila kurisk.
Ama kweli maisha bongo ni magumu sana, acha tukapambane.
Uthibitishe mwenyewe kwa ku apply utapata jibu unless una connection. Au mwambie ndugu yako atume maombi jibu atakupa mkuuUnaweza kuthibitisha?
Nlishachaga uo upumbavu wa kiwango Cha lami,..Naam ni izi selection zilizoitwa juzi hapa za utumishi serikalini. Tunaenda pambana watu zaidi ya buku kusaka ajira za kudumu.
Gharama za nauli+chakula+malazi nenda rudi inakaribia 300k dah. Inaniuma lkn kwny maisha haya huwez pata kitu bila kurisk.
Ama kweli maisha bongo ni magumu sana, acha tukapambane.
JPM alitoa ajira gani sasa, yeye si ndio alikua akijitapa sasa hivi anajenga nchi kipaumbele chake si ajira na hakuahidi kutoa zaidi akaja na ile Kiki yake ya viwanda. In fact yeye ndio kaongeza hili tatizo la ajira mara 1000.Nyie mnaenda kusindokiza washawapata watu wao.
Jpm alikuwa ameweza huu upuuzi wa kujuana na kupeana kazi, watu walipata kazi kutokana na sifa zao sasa hivi aiiiiiii kazi mnayo.
Na vyeti feki watapata kazi hilo msisahau.
We mbwa Jpm alimwajiri nani zaidi ya kujaza misukuma kwenye kila idaraNyie mnaenda kusindokiza washawapata watu wao.
Jpm alikuwa ameweza huu upuuzi wa kujuana na kupeana kazi, watu walipata kazi kutokana na sifa zao sasa hivi aiiiiiii kazi mnayo.
Na vyeti feki watapata kazi hilo msisahau.
Utajuaje hyo kazi kma ndio imepangwa aipate hyosiku zote kazi atakayokupa Mungu ndio utaifurahia, izo unazorandaranda kwa akili yako huwa hazidumu, unafukuzwa au unaifanya kwa machungu everyday. mwombe Mungu akupe kazi.