Ww nae una bwabwaja tu kipindi cha huyo mfu ndio watu walikua wanatembeza bahasha na kujuana kwa sana nyie sjui mlifumbwa macho na naniNyie mnaenda kusindokiza washawapata watu wao.
Jpm alikuwa ameweza huu upuuzi wa kujuana na kupeana kazi, watu walipata kazi kutokana na sifa zao sasa hivi aiiiiiii kazi mnayo.
Na vyeti feki watapata kazi hilo msisahau.
Ww na dini yako ambayo unaona hampewi kipaumbeke mlizembea kusoma mkawa mnavaa madera na kwenda kukariri lugha ya wenzenu sasa mambo yamewafika kooni mnaanza lalamika endeleeni kuvaa madera na shanga kabisaSekretarieti ya Ajira wanatoa kazi kwa vigezo vya UDINI...
Vijana wanaoomba kazi ni wengi tena wa dini zote watakao itwa kazini kama ni 100 ni chini ya 10 tu ndo wa Dini X na 90 wa dini Y
Ingekua simple hivyo ,nadhani kila mtu angekua billionea nchi hiiLaki 3
Tafuta vijana 10 andika karatasi zitoe kopi unatafuta watoto class 7 leaver wambie mshahara 150,000 /= plus sehem ya kuishi. Nunua sufuria kubwa la lita 60
Kanunue mayai trei 20 kwa 120,000/= nunua kuni za 10000. Chemsha mayai yako alfajiri then wape wazungushe kila mtu trei 2. Jion utakuwa na mauzo ya laki 3 maananyai moja ni 500. Na trei una mayai 30 so utakuwa na mayai 600. Kila mtu mpe chake 5000 ambayo itakugarimu elf 60. Utabakian na laki 240000 kama faida yako toa uchakavu elf 40 zingine weka bank fanya hivi ndani ya mwezi utakuja kurudisha mrejesho
Ila wewe dada ni lijinga.Nyie mnaenda kusindokiza washawapata watu wao.
Jpm alikuwa ameweza huu upuuzi wa kujuana na kupeana kazi, watu walipata kazi kutokana na sifa zao sasa hivi aiiiiiii kazi mnayo.
Na vyeti feki watapata kazi hilo msisahau.
Usipende theories, wewe omba na jiandae kisawasawa.Uthibitishe mwenyewe kwa ku apply utapata jibu unless una connection. Au mwambie ndugu yako atume maombi jibu atakupa mkuu
Utumishi sekretarieti napo kuna connection mkuu ?Uthibitishe mwenyewe kwa ku apply utapata jibu unless una connection. Au mwambie ndugu yako atume maombi jibu atakupa mkuu
wewe huwa unasali? unaamini kuna Mungu? kama jibu ni ndio, hujui namna Mungu anavyosaidia wanadamu?Mungu anashuka geto kwako anakuoabidhi Kazi au ulimaanisha nini hapa non sense
Mosi Mungu hasaidii bali huneemesha, neema zake anzipitisha kwa visababishi alivyoweka na miongozo mfano alivyofanya mtoa mada ndipo yeye anaoitisha anapata kazi basi hionkazi ndio amepewa na Mungu.wewe huwa unasali? unaamini kuna Mungu? kama jibu ni ndio, hujui namna Mungu anavyosaidia wanadamu?
kwahiyo hapo ndio umetumia akili zako zoote kung'amua nini nimemaanisha kwenye hiyo sentence? au umebakisha walau kidogo kichwani.Mosi Mungu hasaidii bali huneemesha, neema zake anzipitisha kwa visababishi alivyoweka na miongozo mfano alivyofanya mtoa mada ndipo yeye anaoitisha anapata kazi basi hionkazi ndio amepewa na Mungu.
Sasa unachoandika wewe as if mtu alale geto na Mungu anamletea kazi
Ukisikia majobless mafogo/ wanene/ washua, ndio hao kama mtoa madaWatu mna hela za kuchezea
Nimejikuta nacheka hiz hesabu za makaratasi nzur sanaLaki 3
Tafuta vijana 10 andika karatasi zitoe kopi unatafuta watoto class 7 leaver wambie mshahara 150,000 /= plus sehem ya kuishi. Nunua sufuria kubwa la lita 60
Kanunue mayai trei 20 kwa 120,000/= nunua kuni za 10000. Chemsha mayai yako alfajiri then wape wazungushe kila mtu trei 2. Jion utakuwa na mauzo ya laki 3 maananyai moja ni 500. Na trei una mayai 30 so utakuwa na mayai 600. Kila mtu mpe chake 5000 ambayo itakugarimu elf 60. Utabakian na laki 240000 kama faida yako toa uchakavu elf 40 zingine weka bank fanya hivi ndani ya mwezi utakuja kurudisha mrejesho
Na huyu aliyeandika haya yooooote Ni mwajiriwa wa Serikali.Laki 3
Tafuta vijana 10 andika karatasi zitoe kopi unatafuta watoto class 7 leaver wambie mshahara 150,000 /= plus sehem ya kuishi. Nunua sufuria kubwa la lita 60
Kanunue mayai trei 20 kwa 120,000/= nunua kuni za 10000. Chemsha mayai yako alfajiri then wape wazungushe kila mtu trei 2. Jion utakuwa na mauzo ya laki 3 maananyai moja ni 500. Na trei una mayai 30 so utakuwa na mayai 600. Kila mtu mpe chake 5000 ambayo itakugarimu elf 60. Utabakian na laki 240000 kama faida yako toa uchakavu elf 40 zingine weka bank fanya hivi ndani ya mwezi utakuja kurudisha mrejesho
Acha uongo dada yangu ..Nyie mnaenda kusindokiza washawapata watu wao.
Jpm alikuwa ameweza huu upuuzi wa kujuana na kupeana kazi, watu walipata kazi kutokana na sifa zao sasa hivi aiiiiiii kazi mnayo.
Na vyeti feki watapata kazi hilo msisahau.
Anaitwa mwamba jiwe, mtumbua majipu, mkomesha majizi, mzalendo wa watanzania si mwingine ni mkomesha vyeti feki tiriiiiiiiiiiiiiiii from chattle upo dogo?Ila wewe dada ni lijinga.
JPM kafanya kazi yake kamaliza.
Ila wewe umekuwa kama limsukule.
Sasa we unataka watu wafanyeje wakamfufue JPM aje aongoze.??
Jinga sana wewe.....
Mkuu mimi sitafuti kazi. Kazi zenyewe za kupelekesha naweza basi? Uko nishatokaKama mtu anatafuta kweli ajira kwa nia...basi hatakiwi kuwaza kuhusu hiz habari za connection!
Watu wanapata kazi bila kutumia connection yyte...Omba Mungu, weka juhudi utafanikiwa..