Mfano NENO CODE ni nini tuanze hapo kwanza, au kwanini watu wakiomba wanasema wananena kwa lugha kwanini wanene kwa lugha tofauti ni nini? tujifunze tartibu Mungu ni wetu sote tuweke mihemko pembeniNJIA YA MUNGU NI MOJA TU KUOMBA
UKISEMA WATU WAFUATE CODE HAYA CODE ZIKIGOMA WATATAFUTA CODE NYINGINE [emoji23][emoji1]
NJIA ZA MUNGU SIO KAMA VPN ZA FREE INTERNET
MUHIMU NI KUWAFUNDISHA WATU KUOMBA BILA KUCHOKA MAANA MUNGU YEYE HAFIKIWI KWA CODE[emoji23]
NA SADAKA KUU INAYO MPENDEZA YESU KRISTO NI MSAADA KWA WASIO JIWEZA VIWETE, YATIMA,WAJANE NK.Yeah upo sahihi lakini kinginge sadaka ni muhimu na sadaka iwe ya kukuumiza yani utoe sadaka ambayo imo ndani ya uwezo wako, pia matendo yako yani wanasema imani bila matendo ni kazi bure ni sahihi yani uwe na matendo mazuri ya kumpendeza Mungu ndiyo maombi hujibiwa kwa haraka...
Neno Code Ni Neno Lenye Kificho lisilo Wazi mfano password (nywila)Mfano NENO CODE ni nini tuanze hapo kwanza, au kwanini watu wakiomba wanasema wananena kwa lugha kwanini wanene kwa lugha tofauti ni nini? tujifunze tartibu Mungu ni wetu sote tuweke mihemko pembeni
SAWA NITAJIE NJIA NYINGINE YA MUNGU ILIYO TOFAUTI NA KUOMBAMungu hana njia moja huko ni kumshusha heshima
Mungu ana njia nyingi sana ndo maana kwwnye kanisa kuna huduma nyingi sana zote zinalengo moja la kufunuo utukufu wa Mungu
Mfano wazo la hospital limetoka kwa Mungu ila watu wengine atawaponya kwa miujiza wengine hospitalini sio sahii kwamba Mungu ana njia moja ni uongo
NA SADAKA KUU INAYO MPENDEZA YESU KRISTO NI MSAADA KWA WASIO JIWEZA VIWETE, YATIMA,WAJANE NK.
MAANA YEYE ALIFANYIKA MSAADA KWETU KWA KUPIGWA KWAKE SISI TUMEPONA
NA AMRI YAKE KUU NI "UPENDO" UPENDO WAKE NDIO ULIFANYIKA MSAADA KWETU.
Neno Code Ni Neno Lenye Kificho lisilo Wazi mfano password (nywila)
Mimi kuhusu kunena kwa lugha sijui bado sifahamu kunena kwa lugha huanzaje mimi ninacho fahamu ni kumuomba Mungu Katika Hali Ya Utulivu Bila Hata Kunena Kwa Lugha Mungu Hujibu Maombi
SIJAKATAA KWAMBA KUNENA KWA LUGHA HAKUPO KUPO ILA MIMI BADO HAKUJANIFIKIA [emoji120]Anna mama yake samweli aliomba mpaka eli akamwambia mbona umelewa sababu alikua ana nena kwa lugha
Paulo anasema Kuna mtu alienda mbingu ya tatu kule alikuta watu wanaongea lugha ya ajabu ambayo hakuwa kusikia huyo mtu
Namsidia hilo kujobu, njia nyingine ni matendo yako yani kuachana na dhambi, pia unyenyekevu mbele za bwana, pia sadaka ni ibada kabisa so kutoa ni njia pia, misaada pia umesema hapo ni njia pia nyingine, lakini mengine ni kama kuvunja madhabahu za mizimu ya ukoo wenuSAWA NITAJIE NJIA NYINGINE YA MUNGU ILIYO TOFAUTI NA KUOMBA
Hata Yesu hawakumwamin wote wako waliokua wanampingaSIJAKATAA KWAMBA KUNENA KWA LUGHA HAKUPO KUPO ILA MIMI BADO HAKUJANIFIKIA [emoji120]
NDIO MAANA NINASEMA SIO KWAMBA UKISHINDWA KUNENA KWA LUGHA BASI MUNGU HATOWEZA KUJIBU MAOMBI NO
UNAELEWA KAZI YA DAMU YA YESU?Nakubaliana nawe kabisa upo sahihi lakini mfano sadaka unayosema unajua ni sadaka ya huruma sadaka ya kuomba rehema ndiyo unasaidia hawa special group lakini kuna zaka kuna aina nyingi ya sadaka ambazo zina majibu tofuati sijui kama unalijua hilo **** sadaka ya toba yani unataka kufanya toba lazima utoe sadaka hiyo, kuna sadaka ya shukrani yani umshukuru Mungu kwa yale aliyoyajibu ni sadaka ya shukrani hiyo kwahiyo ndugu sadaka zipo na ni sehemu ya ibada kabisa na zima impact zake
Hizi code zote nazozituma nazinyunyuzia damu ya yesu kwa njia ya maombi kila siku ili ziwe active na siwe msaada kwa wanaotumiaUNAELEWA KAZI YA DAMU YA YESU?
Mungu Haitaji fedha yako mfano mtu hana pesa je Toba anayo Omba itagomewa sababu hana fedha!
HAPANA MIMI NAAMINI KATIKA KUOMBA BILA KUCHOKA ILA MASUALA YA CODE NA KUNENA KWA LUGHA IT'S NOT A BIG ISSUE KWA MUNGU ANAYE TENDA KAZI KWA MWANAE YESU KRISTOHata Yesu hawakumwamin wote wako waliokua wanampinga
Wewe kutokukubali sio jambo la ajabu kwa sababu sio lazima
Kuna sehemu nimewaambia watu wasiombe na unajua kuomba ni karama sio kila mtu anaweza kaa masaa wawili hadi kumi anaombea tu watu wengineHAPANA MIMI NAAMINI KATIKA KUOMBA BILA KUCHOKA ILA MASUALA YA CODE NA KUNENA KWA LUGHA IT'S NOT A BIG ISSUE KWA MUNGU ANAYE TENDA KAZI KWA MWANAE YESU KRISTO
NYIE NDIO MNAO FANYA INJILI YA YESU IONEKANE INA MAMBO MENGI WEE WAKATI SIVYO MSIFANYE HIVYO.
UNAELEWA KAZI YA DAMU YA YESU?
Mungu Haitaji fedha yako mfano mtu hana pesa je Toba anayo Omba itagomewa sababu hana fedha!
HUJAELEWA NENO ULILO TUMIA LINA ATHARI GANI UNAPOSEMA WATU WATUMIE CODE KUNA WALE AMBAO MAOMBI YAO HAYAJAJIBIWA KWA MDA MREFUKuna sehemu nimewaambia watu wasiombe
Huyo anaongea mambo asiyoyajuaHapo ndipo unapotea mkuu hivi unakumbuka yule mama alietoa sadaka ya coin yesu akasema tena yesu mwenyewe akasema kati yenu huyo mama ndiyo katoa sadaka kubwa kushinda wote ingawa wapo waliotoa mavitu ya thamani lakini Yesu akaonyesha amependezwa na sadaka ya yule masikini ,
Sadaka sio lazima utoa milioni au bilioni unatoa kadri umebarikiwa
Athari zipi nawakati hizo code ni mistari ya bibliaHUJAELEWA NENO ULILO TUMIA LINA ATHARI GANI UNAPOSEMA WATU WATUMIE CODE KUNA WALE AMBAO MAOMBI YAO HAYAJAJIBIWA KWA MDA MREFU
WATAACHA KUOMBA NA KUANZA KUOMBA KWA KUFUATA CODE UNAZO ZITAJA WEWE WAKIWEKEZA NGUVU YAO SANA KWAMBA MUNGU ATAWAJIBU KWA CODE ZAKO
NA JE WAKISIPO JIBIWA SI NDIO WATAACHA KABISA KUOMBA
HAKUNAGA MAJIBU YANAYOPATIKANA BILA KUOMBA NA KUFUNGA BILA KUCHOKA NIPO PALEE [emoji117]
OMBA TU BILA KUCHOKA MASUALA YA CODE HAMNAGA MUNGU HAJIBU KWA WEWE KUFAHAMU ETI NIKIFANYA CODE FULANI ATANIJIBU [emoji23] ANAENDA TOFAUTI NA AKILI ZETU.
WEWE OMBA TU