Gibbethon bible code
JF-Expert Member
- Oct 9, 2023
- 439
- 677
- Thread starter
- #261
Bible code number 39:- MENE MENE MENE TESE
Kazi yake; Kukuonyesha fulsa ambazo watu wengine hawazioni nyakati ngumu sana
(Mwanzo 26:18-24)
Kazi yake; Kukuonyesha fulsa ambazo watu wengine hawazioni nyakati ngumu sana
(Mwanzo 26:18-24)
- Kwenye biashara yako
- Kwenye kazi yako ya kuajiriwa
- Ukiwa ugenini unatafuta maisha
- unatamka jina na bible code kimoyo moyo kwa pamoja baada ya mara tatu unaendelea na code peke yake kwa dakika 15 kwa siku au nazaidi ukiamua (kwa siri jirani yako asijue) kwa imani na msisitizo wowote ule mpaka utakapoona hizo fulsa sehemu husika