Natumia Biblia kutatua changamoto

Natumia Biblia kutatua changamoto

Bible code number 39:- MENE MENE MENE TESE
Kazi yake; Kukuonyesha fulsa ambazo watu wengine hawazioni nyakati ngumu sana
(Mwanzo 26:18-24)
  • Kwenye biashara yako
  • Kwenye kazi yako ya kuajiriwa
  • Ukiwa ugenini unatafuta maisha
UNATUMIAJE
  1. unatamka jina na bible code kimoyo moyo kwa pamoja baada ya mara tatu unaendelea na code peke yake kwa dakika 15 kwa siku au nazaidi ukiamua (kwa siri jirani yako asijue) kwa imani na msisitizo wowote ule mpaka utakapoona hizo fulsa sehemu husika
(Aina ya biashara unayofanya/aina kazi unayofanya-unatamka mara tatu tu kwa siku)(unatamka bible code angalau dakika 15 kwa siku na ukiendelea ni vizuri)
 
Bible code number 65:- NETE NETE TEKELI PERESI
Kazi yake;-kuondoa tatizo la kurithi linaloisumbua familia au nchi
(2 Samweli 21:1-14, Mathayo 27:50)
  • Ugonjwa wa kurithi
  • Ukame wa kurithi
  • Tabia ya urithi
UNATUMIAJE
  1. Binafsi-unatamka jina na bible code kimoyo-moyo kwa pamoja baada ya mara tatu unaendelea na code peke yake kwa dakika 15 kwa siku au nazaidi ukiamua (kwa siri jirani yako asijue) kwa imani na msisitizo mpaka tatizo litakapoondoka
(Majina yako matatu-unatamka mara tatu tu kwa siku)(tatizo la kurithi linalokusumbua)(unatamka bible code angalau dakika 15 kwa siku na ukiendelea ni vizuri)
  1. Kumwombea mtu-unatamka jina na bible code kimoyo moyo kwa pamoja baada ya mara tatu unaendelea na code peke yake kwa dakika 15 kwa siku au nazaidi ukiamua (kwa siri jirani yako asijue) kwa imani na msisitizo mpaka tatizo litakapoondoka
(Majina matatu unayemuombea/uhusiano wako na yeye-unatamka mara tatu tu kwa siku)(tatizo la kurithi linalomsumbua) (unatamka bible code angalau dakika 15 kwa siku na ukiendelea ni vizuri)
 
Bible code number 76:- PERESI SENE SENE SENE
Kazi yake;- Mungu kupambana na adui zako wote unaowajua na usiowajua
(2 Samweli 22:1-51, 2 samweli 23:1-7, isaya 49:26)​
Wale maadui usiowajua ila wanakufanyia fitna wakuangushe​
  • Kwenye biashara zako
  • Kwenye kazi uliyoajiriwa
UNATUMIAJE
  1. Binafsi-unatamka jina na bible code kimoyo-moyo kwa pamoja baada ya mara tatu unaendelea na code peke yake kwa dakika 15 kwa siku au nazaidi ukiamua (kwa siri jirani yako asijue) kwa imani na msisitizo mpaka kiu itakapoondoka
(Majina yako matatu-unatamka mara tatu tu kwa siku)(shughuli na jina la ofisi unayofanya kazi/sehemu uliyojiajiri)(unatamka bible code angalau dakika 15 kwa siku na ukiendelea ni vizuri)
  1. Kumwombea mtu-unatamka jina na bible code kimoyo moyo kwa pamoja baada ya mara tatu unaendelea na code peke yake kwa dakika 15 kwa siku au nazaidi ukiamua (kwa siri jirani yako asijue) kwa imani na msisitizo mpaka kiu itakapoondoka
(Majina matatu unayemuombea/sehemu aliyoajiriwa/kujiajiri-unatamka mara tatu tu kwa siku)(unatamka bible code angalau dakika 15 kwa siku na ukiendelea ni vizuri)
 
Bible code number 29:- LESE LESE LESE TEKELI
Kazi yake;- Mungu kukulinda katika safari
(Matendo ya mitume 27:1-44, 28:1-16)​
UNATUMIAJE
  1. Binafsi-Unatamka jina na bible code kimoyo-moyo kwa pamoja baada ya mara tatu unaendelea na code peke yake kwa dakika 15 kwa siku au nazaidi ukiamua (kwa siri jirani yako asijue) kwa imani na msisitizo ukiwa safarini
(Majina yako matatu-na sehemu unayoenda-unatamka mara tatu tu kwa siku)(unatamka bible code angalau dakika 15 kwa siku na ukiendelea ni vizuri)
  1. Kumwombea mtu-unatamka jina na bible code kimoyo moyo kwa pamoja baada ya mara tatu unaendelea na code peke yake kwa dakika 15 kwa siku au nazaidi ukiamua (kwa siri jirani yako asijue) kwa imani na msisitizo mpaka atakapo-fika
(Majina matatu unayemuombea-sehemu anayoenda-unatamka mara tatu tu kwa siku)(unatamka bible code angalau dakika 15 kwa siku na ukiendelea ni vizuri)
 
Bible code number 77:- TEKELI SENE PERESI SENE
Kazi yake;- Mungu kukupa mbinu ya kupata faida kwenye biashara ambayo ni ngumu kupata faida na imewashinda wengi.
(Isaya 48:17, Zaburi 32:8)​
UNATUMIAJE
  1. Binafsi-Unatamka jina na bible code kimoyo-moyo kwa pamoja baada ya mara tatu unaendelea na code peke yake kwa dakika 15 kwa siku au nazaidi ukiamua (kwa siri jirani yako asijue) kwa imani na msisitizo mpaka utakapopata mbinu
(Majina yako matatu na jina la biashara yako-unatamka mara tatu tu kwa siku)(unatamka bible code angalau dakika 15 kwa siku na ukiendelea ni vizuri)
  1. Kumwombea mtu-unatamka jina na bible code kimoyo moyo kwa pamoja baada ya mara tatu unaendelea na code peke yake kwa dakika 15 kwa siku au nazaidi ukiamua (kwa siri jirani yako asijue) imani na msisitizo mpaka utakapopata mbinu
(Majina matatu unayemuombea na Jina la biashara yake-unatamka mara tatu kwa siku)(unatamka bible code angalau dakika 15 kwa siku na ukiendelea ni vizuri)
 
Bible code number 65:- NETE NETE TEKELI PERESI
Kazi yake;-kuondoa tatizo la kurithi linaloisumbua familia au nchi
(2 Samweli 21:1-14, Mathayo 27:50)​
  • Ugonjwa wa kurithi
  • Ukame wa kurithi
UNATUMIAJE
  1. Binafsi-Unakua unatamka kimoyo kimoyo mda wowote mpaka kiu itakapoondoka
(Majina yako matatu) (tatizo la kurithi linalokusumbua)(unatamka bible code)
  1. Kumwombea mtu-unatamka jina lake alafu zinafuata code mpaka kiu itakapoondoka
(Majina matatu unayemuombea/uhusiano wako na yeye) (tatizo la kurithi linalomsumbua) (unatamka bible code)
Kwanini usianzishe whatsapp group mkuu?
 
Bible code number 78:- TEKELI TEKELI LENE MENE
Kazi yake;- kufunga milango ya bahari iliyofunguka
(Mithali 8:29, Ayubu 38:8)
  • Kuongezeka kwa bahari kunakotishia kupotea kwa kisiwa au eneo la nchi
UNATUMIAJE
  1. Unatamka jina na bible code kimoyo moyo kwa pamoja baada ya mara tatu unaendelea na code peke yake kwa dakika 15 kwa siku au nazaidi ukiamua (kwa siri jirani yako asijue) kwa imani na msisitizo mpaka Mungu atakapokupa kibali cha kuifunga au atakunyima
(Kutaja eneo bahari ilipozidi-unatamka mara tatu tu kwa siku )(unatamka bible code angalau dakika 15 kwa siku na ukiendelea ni vizuri)
 
Anzisha whatsapp group
Kule watu wanakuwa serious,akiingia anajua nini anataka,tofauti na humu
Jokes sna
 
Bible code number 79:-TEKELI LEPE TEKELI TEKELI
Kazi yake;-Kumtegemea Mungu katika mazao yanayotokana na ardhi
(Ayubu 28:1-17)​
Utavuna kulingana na mapenzi ya Mungu​
  • Mazao yote ya kilimo
  • Dhahabu
  • Almasi
  • Mafuta (crude oili)
  • Mengineyo

UNATUMIAJE
  1. Binafsi-Unatamk jina na bible code kimoyo-moyo kwa pamoja baada ya mara tatu unaendelea na code peke yake kwa dakika 15 kwa siku au nazaidi ukiamua (kwa siri jirani yako asijue) kwa imani na msisitizo unapokua katika shughuli zako za kuchimba madini mpaka kiu kitakapokuja tena
(Majina yako matatu na aina ya zao la ardhini unalojihushisha nalo-unatamka mara tatu tu kwa siku)(unatamka bible code angalau dakika 15 kwa siku na ukiendelea ni vizuri)
  1. Kumwombea mtu-unatamka jina na bible code kimoyo moyo kwa pamoja baada ya mara tatu unaendelea na code peke yake kwa dakika 15 kwa siku au nazaidi ukiamua (kwa siri jirani yako asijue) kwa imani na msisitizo mpaka kiu itakapoondoka
(Majina matatu unayemuombea na aina ya zao la ardhini analojihusisha nalo-unatamka mara tatu tu kwa siku)(unatamka bible code angalau dakika 15 kwa siku na ukiendelea ni vizuri)
 
Bible code number 80:- TERE TERE PERESI TERE
Kazi yake;- Kumuomba Mungu kuleta barafu na theluji mahali flani kutoka kwenye hazina yake
(Ayubu 38:22, 37:6, 37:10)​

UNATUMIAJE
  1. Binafsi-Unatamka jina na bible code kimoyo-moyo kwa pamoja baada ya mara tatu unaendelea na code peke yake kwa dakika 15 kwa siku au nazaidi ukiamua (kwa siri jirani yako asijue) kwa imani na msisitizo mpaka Mungu atakapokupa kibali/ruhusa
(Majina ya sehemu/enao flani-unatamka mara tatu tu kwa siku)(unatamka bible code angalau dakika 15 kwa siku na ukiendelea ni vizuri)
 
Bible code number 03:- MENE NENE TETELI TETESI
Kazi yake;-Kuwasha nuru na moto ndani yako
(Mambo ya walawi 6:12-13, Isaya 60:20)
  • Kama huna bahati
  • Kama una roho ya kukataliwa
  • Nyota yako ina-giza
  • Mianga yote ya mbinguni iangazayo juu yako imekua giza
  • Jua limefunikwa kwa wingu dhidi yako
  • Mwezi hautoi nuru yake kwako
UNATUMIAJE
  1. Binafsi-Unatamka jina na bible code kimoyo moyo kwa pamoja baada ya mara tatu unaendelea na code peke yake kwa dakika 15 kwa siku au nazaidi ukiamua (kwa siri jirani yako asijue) kwa iman na msisitizo mpaka nuru itakapowaka ndani yako
(Majina yako matatu-unatamka mara tatu tu kwa siku)unatamka bible code angalau dakika 15 kwa siku na ukiendelea ni vizuri)
  1. Kumwombea mtu-unatamka jina na bible code kimoyo moyo kwa pamoja baada ya mara tatu unaendelea na code peke yake kwa dakika 15 kwa siku au nazaidi ukiamua (kwa siri jirani yako asijue) kwa imani na msisitizo mpaka nuru itakapowaka ndani yako
(Majina matatu unayemuombea/uhusiano wako na yeye-unatamka mara tatu tu kwa siku) (unatamka bible code angalau dakika 15 kwa siku na ukiendelea ni vizuri)
 
Bible code number 81:-LESE LESE LESE TEKELI
Kazi yake;- kujenga msingi wa upendo katika ndoa
(Wimbo ulio bora 1:1-17)​
  • Sheria ya ulimwengu wa roho itajenga msingi wa upendo kwenye ndoa yenu
UNATUMIAJE
  1. Mwanaume-Unakua unatamka jina na bible code kimoyo moyo kwa pamoja baada ya mara tatu unaendelea na code peke yake kwa dakika 15 kwa siku au nazaidi ukiamua (kwa siri jirani yako asisikie) kwa imani na msisitizo mpaka msingi utapokuwepo
(Unataja majina ya mke wako-unatamka mara tatu tu kwa siku)(unatamka bible code angalau dakika 15 kwa siku na ukiendelea ni vizuri)
  1. Mwanamke- unatamka jina na bible code kimoyo moyo kwa pamoja baada ya mara tatu unaendelea na code peke yake kwa dakika 15 kwa siku au nazaidi ukiamua (kwa siri jirani yako asijue) kwa imani na msisitizo mpaka kiu itakapoondoka
(Majina matatu ya mme wako-unatamka mara tatu tu kwa siku)(unatamka bible code angalau dakika 15 kwa siku na ukiendelea ni vizuri)
 
Bible code number 82:- TEKELI TEKELI TELE TELE
Kazi yake;- Kumsifia mke/mme wako
(Wimbo ulio bora 4:1-16)​
UNATUMIAJE
  1. Mwanaume-Unatamka jina na bible code kimoyo moyo kwa pamoja baada ya mara tatu unaendelea na code peke yake kwa dakika 15 kwa siku au nazaidi ukiamua (kwa siri jirani yako asijue) kwa imani na msisitizo mpaka kiu itakapoondoka
(Unataja majina ya mke wako-unatamka mara tatu tu kwa siku)(unatamka bible code angalau dakika 15 kwa siku na ukiendelea ni vizuri)
  1. Mwanamke- unatamka jina na bible code kimoyo moyo kwa pamoja baada ya mara tatu unaendelea na code peke yake kwa dakika 15 kwa siku au nazaidi ukiamua (kwa siri jirani yako asijue) kwa imani na msisitizo mpaka kiu itakapoondoka
(Majina matatu ya mme wako-unatamka mara tatu tu kwa siku)(unatamka bible code angalau dakika 15 kwa siku na ukiendelea ni vizuri)
 
Bible code number 83:- KEKE RERE LELE MESE
Kazi yake;- kuamsha upendo uliolala katika ndoa
(Wimbo ulio bora 6:1-13)​
  • Sheria ya ulimwengu wa roho itaamsha upendo uliolala
  • Mungu atakupa akili ya kuamsha upendo ulio-lala
UNATUMIAJE
  1. Mwanaume-Unatamka jina na bible code kimoyo moyo kwa pamoja baada ya mara tatu unaendelea na code peke yake kwa dakika 15 kwa siku au nazaidi ukiamua (kwa siri jirani yako asijue) kwa imani na msisitizo mpaka upendo utakapoamka
(Unataja majina ya mke wako-unatamka mara tatu tu kwa siku)(unatamka bible code angalau dakika 15 kwa siku na ukiendelea ni vizuri)
  1. Mwanamke- unatamka jina na bible code kimoyo moyo kwa pamoja baada ya mara tatu unaendelea na code peke yake kwa dakika 15 kwa siku au nazaidi ukiamua (kwa siri jirani yako asijue) kwa imani na msisitizo mpaka upendo utakapoamka
(Majina matatu ya mme wako-unatamka mara tatu tu kwa siku) (unatamka bible code angalau dakika 15 kwa siku na ukiendelea ni vizuri)
 
Bible code number 84:- METE NENE MEKELI KERESI
Kazi yake;- kumfanya mwenza wako kuwa na hisia na wewe katika ndoa
(Wimbo ulio bora 7:1-13)​
  • Sheria ya ulimwengu wa roho itamfanya mme/mke wako kuwa na hisia na wewe
UNATUMIAJE
  1. Mwanaume-unatamka jina na bible code kimoyo moyo kwa pamoja baada ya mara tatu unaendelea na code peke yake kwa dakika 15 kwa siku au nazaidi ukiamua (kwa siri jirani yako asijue) kwa imani na msisitizo mpaka atakapokua na hisia na wewe
(Unataja majina ya mke wako-unatamka mara tatu tu kwa siku)(unatamka bible code angalau dakika 15 kwa siku na ukiendelea ni vizuri)
  1. Mwanamke- unatamka jina na bible code kimoyo moyo kwa pamoja baada ya mara tatu unaendelea na code peke yake kwa dakika 15 kwa siku au nazaidi ukiamua (kwa siri jirani yako asijue) kwa imani na msisitizo mpaka atakapokua na hisia na wewe
(Majina matatu ya mme wako-unatamka mara tatu tu kwa siku)(unatamka bible code angalau dakika 15 kwa siku na ukiendelea ni vizuri)
 
Bible code number 85:- MENE PERESI MENE LESE
Kazi yake;- kudumisha upendo katika nyakati ngumu ndoa inapopitia
(wimbo ulio bora 2:1-17)​
  • Mungu atakupa mbinu za kifikra za kumfanya mke/mme wako akuvumilie katika nyakati ngumu
UNATUMIAJE
  1. Mwanaume-Unatamka jina na bible code kimoyo moyo kwa pamoja baada ya mara tatu unaendelea na code peke yake kwa dakika 15 kwa siku au nazaidi ukiamua (kwa siri jirani yako asijue) kwa imani na msisitizo mpaka kiu itakapoondoka
(Unataja majina ya mke wako-unatamka mara tatu tu kwa siku)(unatamka bible code angalau dakika 15 kwa siku na ukiendelea ni vizuri)
  1. Mwanamke- unatamka jina na bible code kimoyo moyo kwa pamoja baada ya mara tatu unaendelea na code peke yake kwa dakika 15 kwa siku au nazaidi ukiamua (kwa siri jirani yako asijue) kwa imani na msisitizo mpaka kiu itakapoondoka
(Majina matatu ya mme wako-unatamka mara tatu tu kwa siku)(unatamka bible code angalau dakika 15 kwa siku na ukiendelea ni vizuri)
 
Bible code number 86:- MENE MENE KESE KESE
Kazi yake;- kudumisha upendo katika nyakati nzuri za ndoa
(Wimbo ulio bora 5:1-16)​
UNATUMIAJE
  1. Mwanaume-Unatamka jina na bible code kimoyo moyo kwa pamoja baada ya mara tatu unaendelea na code peke yake kwa dakika 15 kwa siku au nazaidi ukiamua (kwa siri jirani yako asijue) kwa imani na msisitizo mpaka kiu itakapoondoka
(Unataja majina ya mke wako-unatamka mara tatu tu kwa siku)(unatamka bible code angalau dakika 15 kwa siku na ukiendelea ni vizuri)
  1. Mwanamke- unatamka jina na bible code kimoyo moyo kwa pamoja baada ya mara tatu unaendelea na code peke yake (kwa siri jirani yako asijue) kwa imani na msisitizo mpaka kiu itakapoondoka
(Majina matatu ya mme wako-unatamka mara tatu tu kwa siku)(unatamka bible code angalau dakika 15 kwa siku na ukiendelea ni vizuri)
 
Back
Top Bottom