Gibbethon bible code
JF-Expert Member
- Oct 9, 2023
- 439
- 677
- Thread starter
- #301
Bible code number 54:- PENE MENE MENE PENE
UNATUMIAJE
Kazi yake;- Kukupa mbinu za kifikra za kukabiliana na uongozi/kiongozi mbovu
(Waamuzi 17:6, Waamuzi 21:25)
Uongozi mbovu iwe ni kwenye familia, nchi, kampuni, n.k na usimchukie., mfano ni;-
- Kiongozi mla rushwa
- Kiongozi anayeonea walioko chini yake
- Kiongozi mdini
- Kiongozi mwenye upeo mdogo
- Kiongozi dikteta na asiyefuata taratibi zake binafsi
UNATUMIAJE
- Unatamka jina na bible code kimoyo moyo kwa pamoja baada ya mara tatu unaendelea na bible code peke yake kwa dakika 15 kwa siku au nazaidi ukiamua (kwa siri jirani yako asijue) kwa imani na msisitizo mpaka utakapopata mbinu za kuishi naye kiakili.