Gibbethon bible code
JF-Expert Member
- Oct 9, 2023
- 439
- 677
- Thread starter
- #321
Bible code number 110:- MEPE MEPE MEPE TEKELI
UNATUMIAJE
kazi yake;- kufanya sayari izunguke ambayo haizunguki
(Mwanzo 1:4)
- Neptune
- Uranus
- Pluto
- Others
- Binafsi-Unatamka jina na bible code kimoyo moyo kwa pamoja baada ya mara tatu unaendelea na bible code peke yake kwa dakika 15 kwa siku au nazaidi ukiamua (kwa siri jirani yako asijue) kwa imani na msisitizo mpaka Mungu atakapo-huisha fikra zako
- Kumuombea mtu mwingine-unatamka jina na bible code kimoyo moyo kwa pamoja baada ya mara tatu unaendelea na bible code peke yake kwa dakika 15 kwa siku au nazaidi ukiamua (kwa siri jirani yako asijue) kwa imani na msisitizo mpaka Mungu atakapo-huisha fikra zako