Bible code number 65:- NETE NETE TEKELI PERESI
Kazi yake;-kuondoa tatizo la kurithi linaloisumbua familia au nchi
(2 Samweli 21:1-14, Mathayo 27:50)
- Ugonjwa wa kurithi
- Ukame wa kurithi
UNATUMIAJE
- Binafsi-Unakua unatamka kimoyo kimoyo mda wowote mpaka kiu itakapoondoka
(Majina yako matatu) (tatizo la kurithi linalokusumbua)(unatamka bible code)
- Kumwombea mtu-unatamka jina lake alafu zinafuata code mpaka kiu itakapoondoka
(Majina matatu unayemuombea/uhusiano wako na yeye) (tatizo la kurithi linalomsumbua) (unatamka bible code)